Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 8,407
- 28,838
Upo sahihi mkuu,facts sana umeongea mkuu, yawezekana anakauli ngumu ambazo alitoa mtu akaona akae kimya kwa muda na bahati mbaya sasa anataka kulipiza kisasi, ilihali mkuu yawezekana katupa mtihani wake wa mwisho kwa bi dada huyu
Kama mapenzi yamekuwa magumu, unaaga tu unaenda kwa amani,
Usilipize, karma never miss an address.!!