Pole sana Mkuu, hali ni tete...Ni kabila gani huyo? Kama Mpare basi kama hulka vileWakuu habari za humu ndani...
Mpaka sasa najiuliza why she don't care... Wakuu nipo na mahusiano lakini hata simwelewi huyu mwenzangu mpaka sasa.
Yupo careless an usipomtafuta sahau kutafutwa.
Hana time na wewe.
Kapeace naomba uwe miongoni mwa washauri hapa...
Why she don't care,
najitoa sana kwake lakini she don't care...
🙌🙌🙌🙌🙌 She turn me into play boy soon as possible...
Tangu unaingia nae kwenye mahusiano alikuwa hivyo hivyo au ameonesha baada ya muda fulani? Ni jibu hili swali kwanzaWakuu habari za humu ndani...
Mpaka sasa najiuliza why she don't care... Wakuu nipo na mahusiano lakini hata simwelewi huyu mwenzangu mpaka sasa.
Yupo careless an usipomtafuta sahau kutafutwa.
Hana time na wewe.
Kapeace naomba uwe miongoni mwa washauri hapa...
Why she don't care,
najitoa sana kwake lakini she don't care...
🙌🙌🙌🙌🙌 She turn me into play boy soon as possible...
Hiki kiingereza Sasa!!!Wakuu habari za humu ndani...
Mpaka sasa najiuliza why she don't care... Wakuu nipo na mahusiano lakini hata simwelewi huyu mwenzangu mpaka sasa.
Yupo careless an usipomtafuta sahau kutafutwa.
Hana time na wewe.
Kapeace naomba uwe miongoni mwa washauri hapa...
Why she don't care,
najitoa sana kwake lakini she don't care...
🙌🙌🙌🙌🙌 She turn me into play boy soon as possible...
Kwa kingereza hiki lazima upigwe chiniWakuu habari za humu ndani...
Mpaka sasa najiuliza why she don't care... Wakuu nipo na mahusiano lakini hata simwelewi huyu mwenzangu mpaka sasa.
Yupo careless an usipomtafuta sahau kutafutwa.
Hana time na wewe.
Kapeace naomba uwe miongoni mwa washauri hapa...
Why she don't care,
najitoa sana kwake lakini she don't care...
🙌🙌🙌🙌🙌 She turn me into play boy soon as possible...
Wakuu habari za humu ndani...

Uko wapiPiga chini chukua chombo kingine, wanawake tunaocare tupo tele, tunacare hadi unakereka yani..... Kwakifupi ni overcare
Muache kijana atafutwe 😂Utafutwe kwani umepotea?
NtakuvunjaHii kitu niko mbioni kwenda kuifanya,🥲 nimeongea hadi kuchoka wacha nmpe actions sasa.
sasa nitatembeaje kuringishia watu mifupa yanguNtakuvunja
Mkuu hali ni tete nimejaribu kukaza nisimtafute lakini naona nimeshindwa anPole sana Mkuu
Ipo ivi mwanzo alikuwa anakujali sana na kukupa kipaombele Yani ulikuwa kama green light kwake kwa Kila jambo ambalo alitegemea kufanya au kukufanyia lakini baada ya kufanya yote ayo bado ukujali Wala kuthamini ivyo akajitaid sana kukuelewesha na kukusamehe ukuweza kutega sikio na kukubari makosa Yako ivyo ikafika wakati ukatengeneza usugu wa kutokujali ndani ya moyo wake ndio maana Kila kitu ukifanya yeye anaona ni sawa tuu ata kama ukikosea au ukipatia mbaya zaidi umebadirika kwenye kipindi ambacho mwenzako ayupo tayari kukupa attention kama zamani lakini sio kama akupendi hapana anakupenda sema tuu ameamua ajiweke pembeni maana alijitoa kama Sargent akiwe mstari wa mbele vitani lkn Amna alicho kipata
Sasa Mimi nakushauri Fanya ivi
1. Una sababu ya kuwa play boy maana utajiumiza mwenyewe tuu na kupata Magonjwa ambayo ya tagharimu maisha Yako
2. Mwanamke huwa anasamehe lkn asahau ivyo anza kumpenda kana kwamba unamuona Leo ukifanya ivyo ndani ya mwezi Kila kitu kitakuwa poa
3. Usiache kumtafuta na kumjulia hali tena ongeza Kasi kama internet ya Star Link
4. Usiwe na mawazo hasi juu yake maana unaweza ukazani anachepuka kumbe mwenzio yupo clean kabisa
5. Kaa nae chini Kisha muombe msamaha kama Kuna sehemu ulimkosea