Mpaka sasa najiuliza why she doesn’t care

Mpaka sasa najiuliza why she doesn’t care

Hakutaki mpotezee au kama huwezi tafuta pisi kali kuliko yeye hakikisha ameijua, hata km ni kwa kuikodi tu umuonyeshe kuwa na wewe unao uwezo wa kumiliki demu mkali kumliko, atajileta kiulaini sana
Daaah kwa sasa yupo mkoa hiko kitendo nitafanya akirudi...
Hapo kwenye kutafuta dada mzri kuliko yeye naona kama tatoboa mfuko et 😭
 
Back
Top Bottom