Fundi manyumba 01
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,113
- Thread starter
-
- #181
Japo mambo sio rahisi kama unavyozaniaUtaelewa vizuri siku una watoto naye 2 na she doesn’t care, achana naye, Kama ujaoa analeta stress hizo, imagine una watoto naye 2 na ndoa ya Miaka 7
Hata Kiswahili ni shida!Ujaelewq kwani
Sijaribu aseeeeJichanganye nikujutishe
uuuwweeeh hebu rudia tena ili nimalizie kupanga nguo beg la mwsho nije hukoNakupenda nakupenda nakupenda nakupenda mama
Mkuu show kaliPambana na ujenzi tu mkuu ....usimzingatie.
I love yuuuuuuwweeeh hebu rudia tena ili nimalizie kupanga nguo beg la mwsho nije huko
Umekula mchele mbichi weweHata Kiswahili ni shida!
Ujaelewa❌
Hujaelewa✔️
Nilishafuta homemateFuta bana... We wa nyumbani si vema kufanya hvi hh
Nifungulie mlangoI love yuuu
Mkuu mbona umeniita mimi ZEE LA NYETI..?[QUOTE =
🙌🙌🙌🙌🙌 She turn me into play boy soon as possible...
/QUOTE]
Huyo keshakupima kakuona unamtetemo kwake man(HIYO KITU MBAYA MAN) , Nenda kawe player tu MAN unaogopa nini mtoto wa kiume!! Tena utapata buyu moja limejaa asali tamu sana ya nyuki wadogo ila isisahau CONDOMS MAN, PLAY SAFE FOR HER AND SELF LOVE, Na ukimaliza njoo utupe Feedback kwasababu confidence utakayokuwa umeipata ITAMMALIZA SANA MZEE NIAMINI MIMI ZEE LA NYETI!!
Mlango upo wazi..Nifungulie mlango
Nateseka sasa...Achana na mapenzi yasije kukuua mdogo wangu
TuoneHela sio tatizo mkuu kuna mda natuma mpaka mwenyewe anasema mbona pesa nyingi
Ndivyo ilivyo kadri unavyojipendekeza ndivyo utakavyoumia zaidi, jilazimishe kumpotezeaNateseka sasa...
Nafanya nn ili nimpuuze japo kuna huyu mmoja ananikubali ila mimi daah simwelewi kabisa hata nikisema ni focus nae nashindwa...
Serious am gonna to be crazy
ukitaka nitakusimulia huko huko kisa kizimaMlango upo wazi..
Usije nitoa uhai tuu maana sijajua wewe ni kipi kimekutenganisha na ex wako
Kumbe ujamla ndio maana demi anakuletea maringo demu ukimpiga machine vizuri lazima akuheshimu mimi demu wangu nikimwambia muda wowote aje anakuja hata anaumwaMkuu ananiendesha sana huyu mtu kwa sasa yupo mkoa...
Na kiukweli sijawahi ku mla ila sasa nina mpango huo nataka nimkamie alafu ndo nianze kuzingua na mimi..
Baada ya hapo nitasambaza upendo wa namba kwa wenzangu wote