Mpaka sasa najiuliza why she doesn’t care

Mpaka sasa najiuliza why she doesn’t care

Nakupenda ndio maana nakwambia ukweli.

I am a woman , i know how i act when i am not interested/no longer interested!
Daaah aisee asante sana bint...
Ngoja nisikie sasa aiseeee.

Ila ujue nini nataka nikushirikishe kitu
Hivi ukute anafanya yote haya kwa kuwa bado sija jigijigi nae nini
 
Kumbe ujamla ndio maana demi anakuletea maringo demu ukimpiga machine vizuri lazima akuheshimu mimi demu wangu nikimwambia muda wowote aje anakuja hata anaumwa
Daaah oky oky mkuu sasa hapa ngoja nifanye kweli mana yupo mkoa hukooo daah
 
Duuh mbona dry hivo
Ok, huyo mwanamke hana hisia na ww hakupendi na huwezi kumlazimisha akupende. Cha muhimu ni kumuacha kwa namna utayoona inafaa utafute atakayekupenda. Kumbuka mwanamke akipenda kweli lazima akujari n.k.
Aya hapa nimejitahidi kuongea non_dry.
 
Kwahiyo kinachokuumiza ni vitu vyako ila si kwamba umefall?
Siku ya kumla niite hawezi kukusumbua hivi
Ku fall nime fall normal tuu na nataka ku mshape awe mama la mama ila sasa naona kwa comment hzi daaah wananichanganya kweli kweli an
 
Back
Top Bottom