Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 10,546
- 22,981
Nipende mimi tu kuanzia sasaSasa mwanaharamu unaposema nikae nae mbali we unaweza mkuu na mtu nampensa
Nipende mimi tu kuanzia sasaSasa mwanaharamu unaposema nikae nae mbali we unaweza mkuu na mtu nampensa
Nifungulie mlango basi bestOnhoo,,umenkumbsha,yawezekana aseeee
Njoo mama nateseka mimi.ooh na bado penzi la kutesa,,wacha nije nikutulize😌
Nakupenda nakupenda nakupenda nakupenda mamaNipende mimi tu kuanzia sasa
Jichanganye nikujutisheSirudii kuwaza ivo tena
Mkuu asante sana naona kabisa una kitu weweUsiogope, endelea kupambania kombe mpaka damu ikutoke.
Mimi silii mkuu labda ww ndo unaliakwa uandishi huu yupo sahihi, kuwa mwanaume bro acha kulialia
Vp mzigo anatoa ukihitaji?Sasa mwanaharamu unaposema nikae nae mbali we unaweza mkuu na mtu nampensa
Mkuu naomba nielekeze hapo kwenye kujua time zone ya mtuFrequency haziendani yeye ame tune 88.5 wewe ume tune 88.9
Chakufanya cheza na frequency zake hadi utampata
Then jaribu kujua time zone yake sio kila muda utampata mtu na kuongea mambo ya kumvutia au kuendana na akili yake.
Peoples are statics by nature you need to be dynamic as to match with them
Mkuuu hiyo kawaida tuy..Vp mzigo anatoa ukihitaji?
Nafanya nini nibaki peke anguMko wengi hapo
.. She doesnt care...Wakuu habari za humu ndani...
Mpaka sasa najiuliza why she don't care... Wakuu nipo na mahusiano lakini hata simwelewi huyu mwenzangu mpaka sasa.
Yupo careless an usipomtafuta sahau kutafutwa.
Hana time na wewe.
Kapeace naomba uwe miongoni mwa washauri hapa...
Why she don't care,
najitoa sana kwake lakini she don't care...
🙌🙌🙌🙌🙌 She turn me into play boy soon as possible...
Na wewe una mimavi kichwani..=Why she doesn't care,
kwani lazima utumie lugha usiyoijuwa?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Sikupingi comradeMkuuu hiyo kawaida tuy..
Mapenzi ni zaidi ya mzigo
Ndio.. She doesnt care...
Sasa nipo na huyu mtoto ms rSikupingi comrade
Ahahaha daah"She don't care!" badala ya "she doesn't care!"
Kuendekeza tu ngono kwenda shule aaah!
We kuwezaAchaneni na mapenzi.
Hapana ni mnyakyusaPole sana Mkuu, hali ni tete...Ni kabila gani huyo? Kama Mpare basi kama hulka vile