Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,103
- Thread starter
- #221
Ok, huyo mwanamke hana hisia na ww hakupendi na huwezi kumlazimisha akupende. Cha muhimu ni kumuacha kwa namna utayoona inafaa utafute atakayekupenda. Kumbuka mwanamke akipenda kweli lazima akujari n.k.
Aya hapa nimejitahidi kuongea non_dry.
Kumbuka mwanamke akipenda kweli lazima akujari n.k.....
ASANTE HII NIMEIPENDA JAPO NI NGUMU KUMEZA NGOJA NIJITAHIDI KUTAFUTA....
Yaani naongea hapa jasho jembamba lanitoka kwa hayo uliyo ongea