mzamifu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2010
- 6,379
- 3,826
Historia huwafanya watu wajirekebishe.Pocket money yake na pet cash ya ikulu....
Mzee ameshapumzika kutimiza ibada ya Mwenyezi Mungu tupambane na waliokuwa hai..
Historia huwafanya watu wajirekebishe.Pocket money yake na pet cash ya ikulu....
Mzee ameshapumzika kutimiza ibada ya Mwenyezi Mungu tupambane na waliokuwa hai..
Jitu lilikiwa lishamba sana.Ni vyema CCM ikalinda heshima yake kwa kutuambia sisi wananchi kuhusu fedha alizokuwa anazigawa Magufuli majukwaani.
Je, zile fedha zilikuwa zikitoka mfuko gani?
1.Zilitoka katika mshahara na posho za Rais?
2.Zilitoka CCM makao makuu?
3.Zilitoka katika mfuko au akaunti ya Ikulu?
4. Zilitoka B.O.T, Kama zilitoka benki kuu zilitoka kwa kanuni ipi?.
Je, kwa miaka 5 na miezi kadhaa ya uongozi wa Magufuli jumla ya shilingi ngapi za Kitanzania Magufuli alizigawa majukwaani?
Wewe ulikamuliwa au ulipewa?Aliwakamua mafisadi akawagawia wananchi maskini.una swali jingine?
Chama chake ulitakaje?Bora Magufuli alizigawa kwa watu wenye dhiki na shida mbali mbali. Lkn kuna huyu mwenyekiti wetu pichani, yeye alichukua michango waliochanga wabunge wake miaka 5, jumlisha na michango tuliochanga katika kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu akaenda kutumia na familia yake Dubai huku akiacha chama hakina akiba ya ndani. Na wengi wamezibwa midomo wasihoji, maana ukihoji ataku Chacha Wangwe haraka iwezekanavyo.
View attachment 1964241
Mfuko wa raisi/Ni vyema CCM ikalinda heshima yake kwa kutuambia sisi wananchi kuhusu fedha alizokuwa anazigawa Magufuli majukwaani.
Je, zile fedha zilikuwa zikitoka mfuko gani?
1.Zilitoka katika mshahara na posho za Rais?
2.Zilitoka CCM makao makuu?
3.Zilitoka katika mfuko au akaunti ya Ikulu?
4. Zilitoka B.O.T, Kama zilitoka benki kuu zilitoka kwa kanuni ipi?.
Je, kwa miaka 5 na miezi kadhaa ya uongozi wa Magufuli jumla ya shilingi ngapi za Kitanzania Magufuli alizigawa majukwaani?
Kwani hukumbuki ile 1.5 Trillion aliyo iba?Ni vyema CCM ikalinda heshima yake kwa kutuambia sisi wananchi kuhusu fedha alizokuwa anazigawa Magufuli majukwaani.
Je, zile fedha zilikuwa zikitoka mfuko gani?
1.Zilitoka katika mshahara na posho za Rais?
2.Zilitoka CCM makao makuu?
3.Zilitoka katika mfuko au akaunti ya Ikulu?
4. Zilitoka B.O.T, Kama zilitoka benki kuu zilitoka kwa kanuni ipi?.
Je, kwa miaka 5 na miezi kadhaa ya uongozi wa Magufuli jumla ya shilingi ngapi za Kitanzania Magufuli alizigawa majukwaani?
Kwani zilikua za CCM mpaka wana CCM wazitolee majibu?Ni vyema CCM ikalinda heshima yake kwa kutuambia sisi wananchi kuhusu fedha alizokuwa anazigawa Magufuli majukwaani
Je, zile fedha zilikuwa zikitoka mfuko gani?
1. Zilitoka katika mshahara na posho za Rais?
2. Zilitoka CCM makao makuu?
3. Zilitoka katika mfuko au akaunti ya Ikulu?
4. Zilitoka B.O.T, Kama zilitoka benki kuu zilitoka kwa kanuni ipi?.
Je, kwa miaka 5 na miezi kadhaa ya uongozi wa Magufuli jumla ya shilingi ngapi za Kitanzania Magufuli alizigawa majukwaani?
Baba yako aliwahi kukwambia pesa alikuwaanazitoa wapi?Majibu tafadhali?
Nikijua tu inatosha, wewe tupe majibu
Mbona aliumia yeye na sisi tunadunda?Baba yako aliwahi kukwambia pesa alikuwaanazitoa wapi?
Usitake kushindandana na mtu mwenye nafasi utaumia
Anaongoza malaika
Kwahiyo Mungu ndiye alimuua? Na wewe utaishi milele si ndiyo?Kisha kuwa chakula cha minyoo DAAAADEKI. MUNGU HADHIHAKIWI
Mpuuzi we pesa ya ummaBaba yako aliwahi kukwambia pesa alikuwaanazitoa wapi?
Usitake kushindandana na mtu mwenye nafasi utaumia
Bora alikufaKwahiyo Mungu ndiye alimuua?na wewe utaishi milele si ndiyo?
Kwahiyo hawa Marais wasiogawa vibunda barabarani ni wezi?Mfuko wa raisi/
Presidential Fund
jaribu kufanya research kabla ya kukurupuka ukaonyesha ujinga
huo mfuko unaundwa kwa sheria maalum
Hatari snKuna hela nje ya hazina hiyo hata cag haruhusiwi kuuliza yaani ni mfuko maalumu na Rais tuu ndie mwenye mamlaka ya kuichukua.
Naomba niishie hapo tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wanakula wenyewe.....Kwahiyo hawa Marais wasiogawa vibunda barabarani ni wezi?
Aisee yule alikuwa mungu kabisa wa watu fulani.Walikuwa wakimuogopa kuliko wanavyomuogopa mola wao aliyewaumba sasa unafikiri ni nani angethubutu kuhoji,
Wao kazi yao kubwa ilikuwa ni kumsifia tu ili angalau wapate mkate wao basi.