Mpaka sasa hakuna mwanaCCM aliyeeleza pesa alizokuwa anagawa Magufuli majukwaani alizitoa katika mfuko gani

Kwahiyo Mungu ndiye alimuua? Na wewe utaishi milele si ndiyo?
Mimi siishi milele wala Mimi si lolote, ila yeye alipania mabaya sana kwa nchi yetu. Wewe unaibaje uchaguzi wote wa 2020 na kuweka wabunge vibaraka wako??. Ndiyo maana Mungu kamchomoa mapema asituharibie zaidi
 
Ukitaka kujua hela alikuwa anatoa wapi jiulize hela ya kumnunulia Mwinyi zawadi ya gari ilitoka wapi?
 
Ni vyema CCM ikalinda heshima yake kwa kutuambia sisi wananchi kuhusu fedha alizokuwa anazigawa Magufuli majukwaani

Je, zile fedha zilikuwa zikitoka mfuko gani?

1. Zilitoka katika mshahara na posho za Rais?
2. Zilitoka CCM makao makuu?
3. Zilitoka katika mfuko au akaunti ya Ikulu?
4. Zilitoka B.O.T, kama zilitoka benki kuu zilitoka kwa kanuni ipi?

Je, kwa miaka 5 na miezi kadhaa ya uongozi wa Magufuli jumla ya shilingi ngapi za Kitanzania Magufuli alizigawa majukwaani?
Unajua kwanini Asad alitimuliwa kazi?
 
Mijitu mingne sijui ni michoko!!!

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Mungu hapendi wanafiki na ndio maana aliamua akafanya kazi yake. Huyo bwana alikuwa akifuja fedha za mfuko wa ikulu na ndio maana alipiga marufuku CAG asisogee ikulu kwenda kufanya ukaguzi wa mahesabu pale.
 
Magufuli alikuwa MWIZI na MWONGO tu. Ila alitumia sana uzwazwa wa Watanzania kuwaita wanyonge na kwamba yeye alikuwa ndiye mtetezi wao.
Wewe uwezi msemea sababu nimesha ona picha aliyo Weka kwenye profil kama ninyi wa Tanzania amuoni umuimu wake Kuna wenzenu uko inje ya Tanzania wana muita shujaa Na sio kama alivyo Fanya magufuli avikuonekana vinaonekana ila sema tu mnakuwa wanafiki
Just go on youtube or Google Search Tanzanie economie to 2005 till 2015 muone mlipo kuwa ana alipo wafikisha magufuli

Izi ni baadhi ya comment za wafaransa Sasa wewe ni Nani ukose kumsifu ok Any way nabii akubaliki kwao
Screenshot_20211003_174257_com.google.android.youtube.jpg
 
Back
Top Bottom