Mpaka sasa hakuna mwanaCCM aliyeeleza pesa alizokuwa anagawa Magufuli majukwaani alizitoa katika mfuko gani

1.5 trillion ipo wapi kwanza?
Ukiuliza hiyo waambiwa msaliti, sijui unajipima ubavu na mungumtu.
OIP.IecN0WPHmVH7cw73inmdrgHaHS
 
Aligawa kwa watanzania? Au?? Hata zikitoka nfukoni mwako poa tu, ww hukuweza kuzitoa hivyo alikusaidia kutoa kwa wanaohitaji
Ni vyema CCM ikalinda heshima yake kwa kutuambia sisi wananchi kuhusu fedha alizokuwa anazigawa Magufuli majukwaani.
Je, zile fedha zilikuwa zikitoka mfuko gani?
1.Zilitoka katika mshahara na posho za Rais?
2.Zilitoka CCM makao makuu?
3.Zilitoka katika mfuko au akaunti ya Ikulu?
4. Zilitoka B.O.T, Kama zilitoka benki kuu zilitoka kwa kanuni ipi?.
Je, kwa miaka 5 na miezi kadhaa ya uongozi wa Magufuli jumla ya shilingi ngapi za Kitanzania Magufuli alizigawa majukwaani?
 
S
Bora Magufuli alizigawa kwa watu wenye dhiki na shida mbali mbali. Lkn kuna huyu mwenyekiti wetu pichani, yeye alichukua michango waliochanga wabunge wake miaka 5, jumlisha na michango tuliochanga katika kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu akaenda kutumia na familia yake Dubai huku akiacha chama hakina akiba ya ndani. Na wengi wamezibwa midomo wasihoji, maana ukihoji ataku Chacha Wangwe haraka iwezekanavyo.

View attachment 1964241
Swali liko palepale, hizo hela alizokuwa anagawa alizitoa wapi? Mbowe tumeshajua alipozitoa michango ya wabunge kama ambavyo uvccm mmekuwa mkiimba kila siku bila ushahidi?
 
Ni vyema CCM ikalinda heshima yake kwa kutuambia sisi wananchi kuhusu fedha alizokuwa anazigawa Magufuli majukwaani.
Je, zile fedha zilikuwa zikitoka mfuko gani?
1.Zilitoka katika mshahara na posho za Rais?
2.Zilitoka CCM makao makuu?
3.Zilitoka katika mfuko au akaunti ya Ikulu?
4. Zilitoka B.O.T, Kama zilitoka benki kuu zilitoka kwa kanuni ipi?.
Je, kwa miaka 5 na miezi kadhaa ya uongozi wa Magufuli jumla ya shilingi ngapi za Kitanzania Magufuli alizigawa majukwaani?
Just Ni ushamba
 
Watakwambia kua baba yake alimuachia utajiri mkubwa wa dhahabu huko chato,si unawajua ccm lumumba kwa uwongo
 
Ni vyema CCM ikalinda heshima yake kwa kutuambia sisi wananchi kuhusu fedha alizokuwa anazigawa Magufuli majukwaani.
Je, zile fedha zilikuwa zikitoka mfuko gani?
1.Zilitoka katika mshahara na posho za Rais?
2.Zilitoka CCM makao makuu?
3.Zilitoka katika mfuko au akaunti ya Ikulu?
4. Zilitoka B.O.T, Kama zilitoka benki kuu zilitoka kwa kanuni ipi?.
Je, kwa miaka 5 na miezi kadhaa ya uongozi wa Magufuli jumla ya shilingi ngapi za Kitanzania Magufuli alizigawa majukwaani?
hahahaa majizi
 
Kwani wewe ni chakula cha nini mkuu?
Mimi ni nani mpaka unijuwe? Tunamuongelea huyo aliyejifanya mungu mtu wa Tanzania kwa kuiba uchaguzi wa Serikali za mitaa wa 2019 na uchaguzi Mkuu wa 2020 as if ataishi milele.

Mungu anajuwa kutoka adhabu stahiki. Mwendazake hakutawala zaidi ya siku 114 baada ya kujitangaza Rais wa Tz Oktoba 2020
 
Back
Top Bottom