Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 10,604
- 18,297
Kisha kuwa chakula cha minyoo DAAAADEKI. MUNGU HADHIHAKIWI
Kisha kuwa chakula cha minyoo DAAAADEKI. MUNGU HADHIHAKIWI
Alitoroka maisha.
Umemtazama chumbani kwa mother wako hayupo ?
Nasikia ni kiongozi wa malaika wa wapasua kuni huko mbinguni kwa baba muumbaKisha kuwa chakula cha minyoo DAAAADEKI. MUNGU HAZIHAKIWI
Kwa ulicho jibu na wewe ni great thinker au popoma.Hajakuuliza wewe bwana shetani, wewe katafute mashetani wenzako.... Hii hoja imeelekezwa kwa great thinkers only...
Ukiuliza hiyo waambiwa msaliti, sijui unajipima ubavu na mungumtu.1.5 trillion ipo wapi kwanza?
Ni vyema CCM ikalinda heshima yake kwa kutuambia sisi wananchi kuhusu fedha alizokuwa anazigawa Magufuli majukwaani.
Je, zile fedha zilikuwa zikitoka mfuko gani?
1.Zilitoka katika mshahara na posho za Rais?
2.Zilitoka CCM makao makuu?
3.Zilitoka katika mfuko au akaunti ya Ikulu?
4. Zilitoka B.O.T, Kama zilitoka benki kuu zilitoka kwa kanuni ipi?.
Je, kwa miaka 5 na miezi kadhaa ya uongozi wa Magufuli jumla ya shilingi ngapi za Kitanzania Magufuli alizigawa majukwaani?
Swali liko palepale, hizo hela alizokuwa anagawa alizitoa wapi? Mbowe tumeshajua alipozitoa michango ya wabunge kama ambavyo uvccm mmekuwa mkiimba kila siku bila ushahidi?Bora Magufuli alizigawa kwa watu wenye dhiki na shida mbali mbali. Lkn kuna huyu mwenyekiti wetu pichani, yeye alichukua michango waliochanga wabunge wake miaka 5, jumlisha na michango tuliochanga katika kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu akaenda kutumia na familia yake Dubai huku akiacha chama hakina akiba ya ndani. Na wengi wamezibwa midomo wasihoji, maana ukihoji ataku Chacha Wangwe haraka iwezekanavyo.
View attachment 1964241
Just Ni ushambaNi vyema CCM ikalinda heshima yake kwa kutuambia sisi wananchi kuhusu fedha alizokuwa anazigawa Magufuli majukwaani.
Je, zile fedha zilikuwa zikitoka mfuko gani?
1.Zilitoka katika mshahara na posho za Rais?
2.Zilitoka CCM makao makuu?
3.Zilitoka katika mfuko au akaunti ya Ikulu?
4. Zilitoka B.O.T, Kama zilitoka benki kuu zilitoka kwa kanuni ipi?.
Je, kwa miaka 5 na miezi kadhaa ya uongozi wa Magufuli jumla ya shilingi ngapi za Kitanzania Magufuli alizigawa majukwaani?
Watakwambia kua baba yake alimuachia utajiri mkubwa wa dhahabu huko chato,si unawajua ccm lumumba kwa uwongoNi vyema CCM ikalinda heshima yake kwa kutuambia sisi wananchi kuhusu fedha alizokuwa anazigawa Magufuli majukwaani.
Je, zile fedha zilikuwa zikitoka mfuko gani?
1.Zilitoka katika mshahara na posho za Rais?
2.Zilitoka CCM makao makuu?
3.Zilitoka katika mfuko au akaunti ya Ikulu?
4. Zilitoka B.O.T, Kama zilitoka benki kuu zilitoka kwa kanuni ipi?.
Je, kwa miaka 5 na miezi kadhaa ya uongozi wa Magufuli jumla ya shilingi ngapi za Kitanzania Magufuli alizigawa majukwaani?
Kweli aseePocket money yake na pet cash ya ikulu....
Mzee ameshapumzika kutimiza ibada ya Mwenyezi Mungu tupambane na waliokuwa hai..
hahahaa majiziNi vyema CCM ikalinda heshima yake kwa kutuambia sisi wananchi kuhusu fedha alizokuwa anazigawa Magufuli majukwaani.
Je, zile fedha zilikuwa zikitoka mfuko gani?
1.Zilitoka katika mshahara na posho za Rais?
2.Zilitoka CCM makao makuu?
3.Zilitoka katika mfuko au akaunti ya Ikulu?
4. Zilitoka B.O.T, Kama zilitoka benki kuu zilitoka kwa kanuni ipi?.
Je, kwa miaka 5 na miezi kadhaa ya uongozi wa Magufuli jumla ya shilingi ngapi za Kitanzania Magufuli alizigawa majukwaani?
Ni pesa za watanzania, na alizigawa kwa wanzaniaS
Swali liko palepale, hizo hela alizokuwa anagawa alizitoa wapi? Mbowe tumeshajua alipozitoa michango ya wabunge kama ambavyo uvccm mmekuwa mkiimba kila siku bila ushahidi?
Kwani wewe ni chakula cha nini mkuu?Kisha kuwa chakula cha minyoo DAAAADEKI. MUNGU HADHIHAKIWI
Mimi ni nani mpaka unijuwe? Tunamuongelea huyo aliyejifanya mungu mtu wa Tanzania kwa kuiba uchaguzi wa Serikali za mitaa wa 2019 na uchaguzi Mkuu wa 2020 as if ataishi milele.Kwani wewe ni chakula cha nini mkuu?