Mpaka India Wahindi wanamkubali Rais Magufuli

Mpaka India Wahindi wanamkubali Rais Magufuli

Hahah huyo bibi anajifanyaga bingwa wa ku-provoke wkt ni mchumba tu.
Nnakuona punguani tu. Na watu wameshakusoma ulivyo.

Assessment yangu kwako ni kama nilivyokueleza juu huko na hilo halipingiki.
 
Wa ku "paniki" FaizaFoxy kwa hicho kinyangarakata?

Unanisoma kwa uoga nini?

Nyundo za Magufuli zinawaingia viziri sana, mpaka duniani huko wanamsifia tu.

Nawaona mliopaniki ni nyinyi.
Hahah kubwa zima likikabwa lina anza kulia lia eti Magufuli,Magufuli hana muda hata na JF ujue.

Vipi ulipona bawasiri?
 
India nzima yamkubali JPM....Habari kubwa katika gazeti la HABARILEO

Gazeti la Lajiji limeandika...JPM hakunaga, wahindi waamua kuunga mkono msimamo wake

Gazeti la Tanzanite lkmeandika...Kasi ya Magufuli yatua India..wamtamani ainyooshe nchi yao

Jamvi la habari wameandika....Kasi ya JPM kutoka Tanzania mpaka India. Yapaa kwa kasi ya Jeti, Ulaya nako wampa mwaliko
malizia na Faiza foxy kafungua thread
 
Mbona wahindi wenyewe hawanatofauti na Harmonize na Nandy?? Eti wasanii kioo cha jamii hivi kweli Nandy, Diamond au Harmonize wanaweza kuwa kioo cha jamiii!!
 
I have a feeeling you are heartily hurting by laughing at what you depict as my "joke", or is it crying? Yours is empirical pathetic, not even emotional.
I was inclined to respond to the entirety of your posting, but those few words quoted above proved irresistible for a short response.
Indeed, I was and am still "heartily (hurting?) laughing at the 'joke'"

It is good to get to know you better.
 
Hahah kubwa zima likikabwa lina anza kulia lia eti Magufuli,Magufuli hana muda hata na JF ujue.

Vipi ulipona bawasiri?
Kumbe hata hii mada haufahamu inamuongelea nani?

Unataka tukuongelee wewe au babuyo?

Soma hiyooo...
 
I was inclined to respond to the entirety of your posting, but those few words quoted above proved irresistible for a short response.
Indeed, I was and am still "heartily (hurting?) laughing at the 'joke'"

It is good to get to know you better.
Amuse yourself young man, only One knows me more and better. You've guessed it, that is if you know even a tiny bit about me. It has never been a secret.
 
Judging from their language and lack of knowledge of what 'research' entails, it is fair to conclude that these fellows are minimally literate:
- 'AFRICANS' MOST BELOVED PRESIDENT..., and yet they simply looked at Tanzania, if indeed they researched on African Presidents

- their President is very 'free style' president", whatever that means..."that we have 'never' seen before in any other country. Is this a compliment or is it a sarcastic dongo? It appears they are hilariously enjoying that joke!
Well,was their research focused on finding an African leader with this particular attribute in exclusion of all other leadership qualities?

- how about a "president with principles 'without any haters'" Do you still believe these Indians are worth of regard?

I very much understand the drive behind the need for sharing of such a joke; especially by the 'dedicated, diehard self declared CCM member.

Ati "Hiki ni kitu cha kujivunia sana watanzania"! Itabidi uwadanganye wasioelewa.

But, alas, wouldn't one wonder about our own illiterates? Just sit back and enjoy the comedy.

Finally, now that we know we have 'lovers' from the 'Mbaazi' eating friends, will our farmers exploit that market to the full extent possible!
Haven't you notice that the video is made by people from CCM ?
 
"Asiye fanya kazi na asile" - Magufuli.

"Makali ya maisha" yako ulitaka mhindi aje kukutatulia?

Nnkushauri dada kama una fikra hizo tafuta tu mume wa kihindi.
We BIBI nilikua najiuliza kwanini watu hawakupendi humu,leo nimejua
Una tatizo mahali fulani kwenye hicho kichwa most likely ni kwa sababu ya kukifunga muda wote so ubongo haupumui ili kutoa mawazo machafu
 
Dr Magufuli ni Rais wa kwanza barani Afrika kukubalika na jamii ya dunia nzima kuanzia Wachina, Wazungu, Wahindi, Waafrika, Wayahudi na Waarabu ndio usiseme kila siku wanapishana pale Ikulu hadi wanajenga msikiti mkubwa pale Dodoma kwa heshima ya John Magufuli!
Yani unajengwa msikiti kwa heshima ya magu ambaye sio muislamu
So hao waislamu hawajengi msikiti kwa kumuabudu mungu bali kwa heshima ya jiwe ?
Hakuna muislamu mwenye akili mbaya hiyo,
 
Amuse yourself young man, only One knows me more and better. You've guessed it, that is if you know even a tiny bit about me. It has never been a secret.
The pretty part of it all is that, every little posting made on to this public forum is a tiny revelation of oneself.
 
Unajivunia Propaganda.

Unajipropagandisha.

Ukitoka hapo unaenda kuwapropagandisha na wengine.
 
We BIBI nilikua najiuliza kwanini watu hawakupendi humu,leo nimejua
Una tatizo mahali fulani kwenye hicho kichwa most likely ni kwa sababu ya kukifunga muda wote so ubongo haupumui ili kutoa mawazo machafu
Hahahahahaha.

Na bado.

Umemuona "mdosi" anamsifia Rais wetu?
 
Those are mere cooked campaigns.

Even Pharaoh was cherished.
We are the future history. CCM.
 
Back
Top Bottom