Mpaka India Wahindi wanamkubali Rais Magufuli

Mpaka India Wahindi wanamkubali Rais Magufuli

Inapendeza...

Ila lazima wamkubali, sababu ndugu zao wengi wamewekeza sana hapa nchini...

Cc: mahondaw
 
  • Thanks
Reactions: prs
Hiyo ulidanganywa. Kariakoo kuna sewer system tokea enzi za utawala wa Muingereza. Usicheze na Kariakoo wewe, huijuwi.

Wakuja mnajulikana tu. Hiyo huko mlipo, madongo kuporomoka, halafu mkipigiwa simu kutoka vijijini kwenu na wajomba zenu mnajidai "tupo Dar mjini", ukiulizwa mjini sehemu gani? "KIMARA". Toka lini kimara ikawa mjini?
Sawasawa ajuza wa mjini.

Ndio matatizo ya kujua kuvaa pedi ukubwani haya mpk unapaniki hovyo hovyo,umeacha kukata vitambaa siku hizi na kuzitumia kama pedi?
 
It takes two tango. Remember that.

Don't you know we are promoting Tanzania tourism market in India at the moment? Didn't you recently see Indian movie moguls in Tanzania?

You don't even know that we have increased ATCL flights to India?

Don't you know that we have historical bonds and ties between India and Tanzania?

Didn't you see all the peacocks in Dar es Salaam and now beyond? Don't you know where they came from? And on this matter, you do not even see millions of crows (ravens) in Zanzibar, Dar and now beyond consuming tons of our uchafus daily? Don't you know their origin?

It seems you do not even know or never heard of the Patels and Dewjis and Soomjis in Tanzania.

Or you've never even see the millions of Tanzanians enthusiasts of Bollywood movies and songs.

Pengine hata hauelewi kuwa bahari yetu inaitwa bahari ya hindi!

Dah! Unashangaza sana kwa kutokuuelewa uhusiano wa karne nyingi sana uliopo baina ya Tanzania na India.
Hawajui hata hivyo vimakalio vyako viko kama vya wahindi ni sababu ya good bond and ties btn wewe na wahindi
 
Hawajui hata hivyo vimakalio vyako viko kama vya wahindi ni sababu ya good bond and ties btn wewe na wahindi
Tatizo lako ni "ignorant" tu huna zaidi.

"Historical facts" za India na hapa kwetu za karne kadhaa zimekuingia na hauna jibu.

Ukweli ukidhihiri...
 
mng'ato

Sasa umezidisha utoto. Huu uzi unamuhusu Rais wa Tanzania. I hope "moderators" watauona huo upuuzi wako na watachukuwa hatua stahiki.
 
Na pia huna uhakika kama wapo India, huenda wapo hapa hapa au Kenya.

Hawa You tube video reacters hufanywa na Watu/mtu yeyote tu.
Nimejibu hilo juu huko.

Ikiwa wamefanya hivyo na kuona Rais wa Tanzania ndiye atswapa promotion zaidi ya Rais wao wa India basi wamefanya vyema sana tena sana.

Mbona hawakukutumia wewe? Au babu yako?

Wewe Mtanzania ukiwa Kenya unakuwa Mkenya?
 
Wampromote Narendra Modi hivi ni nani angeangalia, Wahindi?

Nimekuwekea walivyojaribu "BAD BOYS" hakuna aliyehangaika nayo, which means wakiweka international content hakuna hata Muhindi mwenzao wa kuangalia sasa ni vipi wamuweke Narendra Modi...wiki mbili wakaambulia views 200.

Hao wapo random tu, watakapoona mwamko ndio wataweka kambi.

Wamekuwekea raisi wako ili ku target viwers wa Tanzania, kumbuka hata content ya Kenya wamefeli.
 
Wamekuwekea raisi wako wakijua ni bora ku target viwers wa Tanzania, kumbuka hata content ya Kenya ilifeli.
I see.
tapatalk_1573980728131.jpeg
 
Wampromote Narendra Modi hivi ni nani angeangalia, Wahindi?

Nimekuwekea walivyojaribu "BAD BOYS" hakuna aliyehangaika nayo, which means wakiweka international content hakuna hata Muhindi mwenzao wa kuangalia sasa ni vipi wamuweke Narendra Modi...wiki mbili wakaambulia views 200.

Hao wapo random tu, watakapoona mwamko ndio wataweka kambi.

Wamekuwekea raisi wako ili ku target viwers wa Tanzania, kumbuka hata content ya Kenya wamefeli.
Una maana wahindi wanategemea sana audience ya Tanzania?

Au una maana kwa audience ya Tanzania Magufuli analipa?

Sijakuelewa tatizo lako nini haswa?
 
Una maana wahindi wanategemea sana audience ya Tanzania?

Au una maana kwa audience ya Tanzania Magufuli analipa?

Sijakuelewa tatizo lako nini haswa?hatuwapi ng'oo. Watamuona kwenye screen tu.
Wahindi gani, hivi unafikiri kuna Watazamaji wa kihindi hapo? swala la kutafuta audince ni mbinu tu na ndio walichokifanya hao jamaa zako...ndio maana nimekuwekea uone walivyoanza na Wasanii wakubwa kama Harmonize, Diamond, Rayvanny..na sasa wamekimbilia kwa Raisi.

Tatizo langu ni hujui hata unachoshabikia na unapotosha uma, unaposema "Wahindi" kana kwamba kule India wanamfuatilia Raisi wenu au Muziki wenu wakati ni hao watu watatu au wanne tu hapo.
 
Back
Top Bottom