wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,210
- 37,865
Ni wale waliojazwa mitandaoni na kina Mbowe, wanafikiri hatuwajuwi.
Si unakumbuka wale walibambwa nyumba nzima wakati wa kampeni za 2015? Ndiyo mabaki haya na wameajiri wengine.
Mh.Rais naomba usiwasahau wana kitengo cha propaganda waliokua wanakupigania mtandaoni kwenye uchaguzi wa 2015-Kikwete.