Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,914
- 93,671
Watawala ndiyo hawataki lakini hakuna mwananchi wa kawaida anataka huu muungano fakeCha kushangaza ni sisi watanganyika ndio hatutaki uvunjike. Lakini wenyewe wanataka.
Watawala ndiyo hawataki lakini hakuna mwananchi wa kawaida anataka huu muungano fakeCha kushangaza ni sisi watanganyika ndio hatutaki uvunjike. Lakini wenyewe wanataka.
Tetete inauma? bakini na nchi yenu hatuwataki huku kwetu, nyie ndiyo mmejaa ubaguzi tupu tena wa kidini hakuna waziri mkristo kwenye serikali yenuWewe jamaa mmimi ,mbinafsi na mbaguzi sana kwa Wazanzibari.....huwenda umejaa upotoshaji mwingi kichwani mwako.....
SIEMPRE SERIKALI MBILI ZA JMT
Ni kweli maana pesa za kiarabu haziamini katika riba, wangejitenga wenyewe hata serikali ingewakopesha kwenye mabenki yao bila riba angalau wakafanya maendeleo ya watu.
Waulize kwanza wanaoung'ang'ania huo muungano wanafaidika nao vipi? Je bara na visiwani nani anafaidika zaidi??Mkopo tunalipa bara wao wanapewa bure, huu muungano uvunjwe
Hakuna sababu zenye mashiko hata kidogoWaulize kwanza wanaoung'ang'ania huo muungano wanafaidika nao vipi? Je bara na visiwani nani anafaidika zaidi??
Walioziunganisha hizi nchi walifanya hivyo kwasababu za kiusalama, laikini wanaoulinda huu muungano, wanafanya hizo kwasababu za kiuchumi!
Wakati mwingine ni bora haya yawe yanavyokuwa ili wapate akili watake kujitenga. Zanzibar wakijiona wameendelea watataka kuvunja muungano na ndiyo itakuwa ahueni ya Tanganyika.Kwanza kwa sasa wana rais anayejielewa sana. Si mtu wa blah blah. Na pili wanatengewa pesa nyingi sana za maendeleo. Nimesikia wametengewa bilioni 250 ya pesa za Covid.
Ni pesa inayoweza kufanya makubwa sana ukizingatia kuwa Zanzibar ni nchi ndogo na yenye watu wachache sana.
Zanzibar isipoendelea awamu hii haitakuja kuendelea tena.
Unataka kuwarudisha utumwani ndugu. Wamanga wachache waliobaki hapa kisiwani nao mh mhWazanzibar wajinga wenyewe. Hiyo nchi ingekuwa mbali sana kitambo wangeachana na mambo ya bara ya kiccm kiccm. Wangejitenga kitambo wangekuwa mbali sana. Pesa kwao za waarabu ziko nje nje. Wanapigwa pin tu na miccm
Unazungumzia mkoa? Zanzibar ni moja ya nchi mbili zinazounda Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaTumefika pabaya, ukishika nchi unaangalia kwenu zaidi, hata hela inayoenda visiwani hawaangaalii ukubwa wa eneo....yaani kimkoa tu yanaenda mabilioni, ukitafuta wastani na kinachobaki huku Tanganyika si sawa
Kwa hiyo huyu aliyebaki huku bara ndiye blah blah au sio!?Kwanza kwa sasa wana rais anayejielewa sana. Si mtu wa blah blah. Na pili wanatengewa pesa nyingi sana za maendeleo. Nimesikia wametengewa bilioni 250 ya pesa za Covid.
Ni pesa inayoweza kufanya makubwa sana ukizingatia kuwa Zanzibar ni nchi ndogo na yenye watu wachache sana.
Zanzibar isipoendelea awamu hii haitakuja kuendelea tena.
Hakuna mambo ya utumwa miaka hii. Wala hakuna tena mambo yaliyotufanya tuungane nao. Hakuna mambo ya nchi nyingine kuvamia nchi nyingine. Dunia imestaarabika siku hizi. Bado hii nchi moja tu haijielewi. Yenyewe haina kipaumbele wala dira. Kila mtu anajivurugia kivyake mtakutana mbeleUnataka kuwarudisha utumwani ndugu. Wamanga wachache waliobaki hapa kisiwani nao mh mh
Unazidi kudhihirisha ujinga ulionao 🤣🤣🤣Tetete inauma? bakini na nchi yenu hatuwataki huku kwetu, nyie ndiyo mmejaa ubaguzi tupu tena wa kidini hakuna waziri mkristo kwenye serikali yenu
Mbona sister angu kama umepanic? taja Waziri mkristo kwenye baraza la mapinduziUnazidi kudhihirisha ujinga ulionao 🤣🤣🤣
Kweli wapumbavu hawaishi ulimwenguni....
Yaani unibadili asili yangu.....unihamishe nyumbani na KITUVONI kwetu kwa sababu tu umepandisha mori wako kichwani mwako ?!!!😳😳
Unajionaje mzee?!!
Nani amekuambia mimi ni Mzanzibari?!!!
Wewe una haki zaidi yangu ya Raia wa huku bara?!!!
Ok twende hivi....
Wewe una haki zaidi ya uraia wa JMT zaidi ya hao wazanzibari unaowabagua ?!!!
Umeingiza udini....unaupenda sana udini eeee?!! Mimi si "mlevi" wa udini.....ila ok nikuulize swali....kwa hiyo Zanzibar hakujawahi kuwa na waziri mkristo?!!! Baraza la Mh.Mwinyi halina waziri mkristo?!!!
Watu wapumbavu huwa wanapoelemewa hoja huungiza "ulevi wao wa udini wa uislamu na ukristo"....
Hivi bado hamjagundua kuwa huo "ulevi wenu wa dini zenu" hauwasaidii katika kujenga CRITICAL ANALYSIS NA FAIDA KWA JAMII PANA?!! mtagundua lini?!! makaburini mkishazikwa?!!!🤣🤣
FYI : Mimi ni raia wa JMT wa upande wa huku bara ,sina damu ya kizanzibari ndani yangu vizazi kwa vizazi ila ni muumini wa taifa hili kwa kuijua vyema historia yake kutoka vyanzo mbalimbali....
Amka mlevi wa DINI na UDINI wewe.....
Unaendeleza ujinga wa ARGUMENTUM AD HOMINEM eeee?!!Mbona sister angu kama umepanic? taja Waziri mkristo kwenye baraza la mapinduzi
Na hakuma kisiwa duniani kikawa masikini isipokuwa Ni Zanzibar pekee.
Nusu ya wafanyakazi Zanzibar wanatoka Bara..
Kadri wanavyopiga hatua wanazidi kuajiri watanganyika...