Mpaka awamu hii kuisha, nadhani Zanzibar itakuwa nchi iliyoendelea zaidi Afrika Mashariki

Raisi anaweza akawa na nia njema kweli ila mambo mawili yatamkwamisha tu

1. Kuwa Mwana CCM tu ni tatizo sababu hiki chama kama kina laana ivi

2. Wana CCM wa Zanzibar wabinafsi sana na hao ndo wapinzani wake wakuu kabla ya wapinzani
Uwepo wa mh.Samia Kama Rais wa JMT kutawanyong'onyeza sana maadui wa mh.Mwinyi ndani ya CCM Zanzibar......
 
Cha kushangaza ni sisi watanganyika ndio hatutaki uvunjike. Lakini wenyewe wanataka.
Wenyewe wangapi?!!!

Hivi umeshawahi kufika Zanzibar na kuufahamu uhafidhina wa kimapinduzi walionao CCM wa Unguja hasa kule MAKUNDUCHI ?!!!

Waulize wanaokaa pale maskani KISONGE......
cc8e1ecef8aadc57573c14ee76dbf826.jpg
 
Wazanzibar wajinga wenyewe. Hiyo nchi ingekuwa mbali sana kitambo wangeachana na mambo ya bara ya kiccm kiccm. Wangejitenga kitambo wangekuwa mbali sana. Pesa kwao za waarabu ziko nje nje. Wanapigwa pin tu na miccm
Ni kweli maana pesa za kiarabu haziamini katika riba, wangejitenga wenyewe hata serikali ingewakopesha kwenye mabenki yao bila riba angalau wakafanya maendeleo ya watu.
 
Kwanza kwa sasa wana rais anayejielewa sana. Si mtu wa blah blah. Na pili wanatengewa pesa nyingi sana za maendeleo. Nimesikia wametengewa bilioni 250 ya pesa za Covid.

Ni pesa inayoweza kufanya makubwa sana ukizingatia kuwa Zanzibar ni nchi ndogo na yenye watu wachache sana.

Zanzibar isipoendelea awamu hii haitakuja kuendelea tena.
Zanzibar ni nchi? Hayo ni maendeleo ya county, which is also good.
 
Ni kweli maana pesa za kiarabu haziamini katika riba, wangejitenga wenyewe hata serikali ingewakopesha kwenye mabenki yao bila riba angalau wakafanya maendeleo ya watu.
Si pesa za kiarabu....sema labda pesa zenye mafungamano na imani ya dini.....

Lebanon ni waarabu.....Riba za kutosha.....

Syria ni waarabu....riba za kutosha tu 🤣🤣
 
Kwanza kwa sasa wana rais anayejielewa sana. Si mtu wa blah blah. Na pili wanatengewa pesa nyingi sana za maendeleo. Nimesikia wametengewa bilioni 250 ya pesa za Covid.

Ni pesa inayoweza kufanya makubwa sana ukizingatia kuwa Zanzibar ni nchi ndogo na yenye watu wachache sana.

Zanzibar isipoendelea awamu hii haitakuja kuendelea tena.

Mpaka awamu hii kuisha, nadhani Zanzibar itakuwa nchi iliyoendelea zaidi Afrika na wataachana na kitu kinachoitwa muungano.​

Chato imegeuka ZNZ awamu ya sita..Kama yeye kweli jasiri avunje Muungano wakajitegemee,😂😂
 
Nusu ya wafanyakazi Zanzibar wanatoka Bara..
Kadri wanavyopiga hatua wanazidi kuajiri watanganyika...
Itakuwa kama nchi tajiri za ghuba kama EU, Kuwait nk. Asilimia kubwa ya watu na wafanyakazi ni wageni raia wanakaa tu lakini ni matajiri wa kutupwa. Rai wana previleges kibao.
 
Yale Mambo ya 4% loans and grants!? Ule ulikuwa mkataba usiozingatia uwiano watu na mahitaji. Kwa Katiba yetu na mfumo wa chama hodhi, hakuna wa kumgusa, Karibuni tutaungana kudai Katiba Bora.
 
Back
Top Bottom