Mwizukulu jilala
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 1,094
- 942
wewe ni boya wenzio walishaacha kupenda wanatamani tu
Point hiyo mkuu!Usioneshe kwamba unampenda sanaaaa....akijua unampenda sana atakutesa mkuu...ignore he sometimes uone anavyo crave your attention
Mkuu unamchosha tuu mungu unazidisha foleni za maombi yetu huko na sisi tulegezewe vyuma kidogo, kisa kuomba mambo yako ya ajabu.
Sasa Kama hakutaki wewe si mwasibu wekeza nguvu na mdaa wako kwenye carrier yako mke ulopangiwa haitaji nguvu kubwa kumpata atakuja tuu na utaona kabisa mambo yanaenda smooth kabisa hautumii nguvu nyingi mpaka ulie lie hapa.
hebu mwambie .yan anajilemaza mwenyewe afu analalamikaKweli kabisa mkuuMmmhhh pole mkuuu .
Weee nimwanamme ikiwa utafuauli kuzishinda nyakati ngumu Basi maishan mwako hutokua nakitu chakupoteza .
Sijui kwa wanaume wenzangu ila Mimi Putin,, sijawahi kuumia kwamambo aloyasababisha mwingine ,,, ukiona naumia huwa naumia sababu ya jambo nilomtendea Mimi sasa nafsi inanisuta.
Embu jifunze kutotoa nafasi za watu ( mahusiano )kukuumiza nautambue ,,mapenzi nikitovu chauzembe ,,mapenzi yanaweza kukuharibia kazi nahata kukuaa.
AISEEE KWA AJILI YA MOYO WANGU MAMAISHA YANGU ,,NIBORA WAENDELEE KUNIONA MKOLONI !!!.ILA UPUUZI SITAKI...
Element moja wapo yamtu Kukupuuza huwa nimajibu yake .
Mfano am charting with you then unanipa a One word answer wakat nmekutext so as to have a conversation with you !!! Aiseeeee embu kua nahii moja ya sheria zangu "fire-fight-fire" ..... Akijifanya anakuigizia maisha as if km ni WIDOW ,naww jifanye ni WIDOWER.
MKUU KIUKWELI NAMSHUKURU MUUMBAJI WANGU KWA KUNIPA MOYO MGUMU ,,MOYO WAKUJIAMINI ,, NINA SURA MBAYA LKN HUWA NAJUA HUYU AKINIZENGUA TUUU ,,NAAMSHA NATAFUTA MWINGINE NABADO NIKAPENDWA NA KUAMINIWA !!!.
Viumbe hawa ,, kama anakuzengua alafu naww unaendelea kushikilia Uzi Wa " nakupenda tu " Basi jiandae kua Mnunuzi mzuri Wa vitambaa,,, Dawa za maumivu ,,,kutafuta ushauri Sanaaa,, n.k.
MKUUU USIRUHUSU MWANAMKE KUIFANYA ROHO YAKO KUA REHANI !!.

Mtumishi wa Mungu kama utapata nafasi njoo mpaka PM umalizie kunipa ushauri unaosimama kwa miguu yake. Maneno haya yamenifanya moyo wangu upoe kwa muda, hakika nimefarijika mno kuona hata huku kuna watu kama wewe mnaoweza kugusa maisha ya mtu direct. Ubarikiwe mnoKwanza namtukuza Mungu kwa aajili yako kwakua najua unamjua Mungu kwa sehem na unaijua kazi yake vizuri
~Nakukumbusha tu mithali 31 :10 inasema "mke mwema ni nani awezae kumwona?maana kima chake chapita kima cha majirani,moyo wa mumewe humwamini wala hatakosa kupata mapato."
~Maswali magumu kwangu.
~kama anakupenda kwann hana adabu kwako,anapokujibu kwa kifup hiyo ni adabu mbaya.
~km hataki kutoa muda kwako anampa nani?
~Na km anaenda shuke kwann asikueleze mapema mpaka ulipoonesha hisia za kuoa?
~Kwa huo ubusy ni lin atatamani kukaana ww ili akujue kiundani ifike mahali awe anasema hv,mf;mpnz wangu hiki anapenda na hiki hapendi.
Biblia inasema Mungu husema mara moja hata mara mbili ikiwa mtu hata sikia.Jifunze kuisikia saiuti ya Roho Mtakatifu.hapo ondoka harakaa mana ndoa sio soko kwamba jion utafunga utaondoka.
~Eti kanisani sio wote wasemao bwana bwana......na Muhuri wa Bwana ndio huu Bwana awajua walio wake.
NB;KABLA HUJAINGIA KWENYE MAHUSIANO TUMIA DAMU YA YESU,OMBA KWANZA.USIWAZE KABLA YA MUNGU UTAUMIA.
Ahsante sana Rafiki yangu. Mungu akubarikiPole
Kuna jambo ambalo lina kuwa gumu kueleeweka mara nyingi. Yaani hata kama husali lakinii linapokuja swala la kumtafuta mwenza, hebu mshirikishe Mungu kwenye hilo. Huwa inasaidia mnoo ingawa wengine hupuuza na matokeo yake ndo familia tunazoziona kila leo zinavunjika kama sio mmoja wao kuchepuka!!!