Moyo wangu una majonzi, yako wapi mapenzi ya dhati?

Moyo wangu una majonzi, yako wapi mapenzi ya dhati?

Wengine tuna mapenzi ya dhati ila hamna ya kuyapeleka... Yaani mimi mwanaume akikaa masaa 24 bila ata kameseji hua naona anipendi... Kwanini nimpende yeye? Life iko too complicated tayari kujitengenezea maheart breaks
 
Weusi washasema kaa kijanja uskae kiree! Ila mwamba naona yupo kiree, yani mie niwe na kipato cha uhakika nimnyenyekee demu? Maishaaa..!!!

Sema nn mwamba anaonekana nice guy, huwa wanauzaga CV mapema mno easy kupelekeshwa!
uko sahihi chief..jamaa amelowa kwa manzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom