Moyo wangu una majonzi, yako wapi mapenzi ya dhati?

Hapa unatuponda viumbe sie bhana weee haya malingo yapo kote si kwa wanawake iwish uwe ke then mpende mtu ajue uone hizo nyodo unatuma text leo utajibiwa kesho tena short answer
Daaah mapenzi jamani
 
Pole,lakini ni vema ukaanza kujipenda mwenyewe kwanza. Ukatafua muda mzuri kwa ajili ya kujithamini,ukajitengea muda wa kujionaea hadhi ulio nayo wewe mwenyewe,tenga muda fikiria mabaya na magumu ulio pitia,then kuwa chanzo cha furaha yako wewe mwenyewe yaani usitake mpaka mtu fulani awepo ndio ufurahi.

Sisi wanawake tupo hivi, mwanaume usiempenda anapo kusumbua kwa chats,unaweza usimjibu on time,ukamjibu kwa ufupi au hata usijibu kabisa..mi kuna king'ang'anizi mmoja hivo hivo kila akinipigia namwambia nina usingizi nataka kulala hata kama saa saba mchana (lakini yeye nilimuweka wazi,tuvunje mahusiano).

So nachokushauri hapa kaka angu,kwanza muite uongee nae face to face ili kama kuna tatizo akuambie,mpe option hii (kama anahisi anahitaji nafasi ya kuwa mbali na wewe,mpeane break au mu break up kabisa basi asisite kukuambia,sio kwa muda huo mlio wote bali hata baadae kwa simu) ni vizuri awe mkweli kwako. Akishindwa kurekebishika kaka punguza mawasiliano nae take your time sio kila demu mkali wa kuoa kaka angu...
Hivi hizi tabia za kuumizana umiza jamani hamuoni kama ni za kitoto sana?
Daaah nashukuru mno dada angu, kweli umetema madini tupu. Sure kila atakaepitia hapa atapata kitu, umeongea uhalisia wenu wanawake. Ahsante sana umetusaidia wengi
 
Umenipa madini hapa mkuu, naamini wengi wamefaidi pia, Ahsante sana, hii ndo faida ya kushirikisha watu
Yeah datz all mkuuu.. Ni nature ya wanawake kuwajaribu wanaume wao,, yaaan hiiiii walizaliwa nayo ivo ivo ,, sasa hiii tabia wengine wanaikuza sanaa kufikia hatua ya * one word answer* .

Yote kwa yote huwa wanajaribu ili Kupima uanamme WAKO ,,akikufanyia ujinga utamfanya nn ???? Weee nimwanamme wakumrekebisha au ?????? Weee nimwanamme usopenda ujinga au ????/

Sasa akikukuta ndugu yangu weee unaupole ule ulopitiliza kwakudhan ndo atakupenda ,,jua kwamba atakuzengua mpaka utataman ujiueee.

Ktk mahusiano ,, ujue mapenzi nisafar inayoanzia pasipokujulikana nainaishia pasipokujulikana ..

Sasa katka hii safar,, MWANAMME NILAZIMA UWE MWANAMME KWELI KWELI ,,YAAAN USIJISHUSHE KWAKE TONTJE EXTENT YEYE KUKUONA AKIKUACHA HUEZI PATA MWINGINE NAKWAMBA UTAUMIA SANA ,, .. MPENDE LKN UKIMUONYESHA MAZINGIRA HAYA .

*Yes sweetheart I love soo much and you are the only one in my heart BUT hiii haimanishi naweza kuvumilia ujinga na dharau natabia mbaya utakazoonyesha ,nakwamba ,, kama utakua izi mambo Basi nitashika njia yangu *.

Aiseee utayafurahia maisha.JIAMIN ,JIKUBALI ,AMINI KUA NJE YAKE KUNA LUNDO LAWANAWAKE LINAKUSUBIRI LINASUBIRIA NAFASI .
 
Daaah nashukuru mno dada angu, kweli umetema madini tupu. Sure kila atakaepitia hapa atapata kitu, umeongea uhalisia wenu wanawake. Ahsante sana umetusaidia wengi
Mi sipendagi hizi drama za mapenzi hata kidogo,kutesana kulizana lizana hivi hapana kwa kweli ushamba huu nishaachaga kitambo.
Ukiona mtu anabadklika basi nawe badilima nendana na kasi yake,akikujivu shot kama ulikuwa unatuma sms kumi per hour tuma moja,kama ulikuwa unatuma sms kila saa punguza masaa. Mpe muda,akikumiss kama anakupenda atarudi,kama ni drama drama za mjini ataona nafuu na yeye atapiva kimya. So ni wewe na uwezo wako wa kujiongeza.
 
HaaaaAa umenifanyia usiku wangu kweli ibabidi ninifanye mjane lol
Yeah lady!!!! Raha yamahusiano nyote muwe na win-win situation ..utajihisi upo ktk dunia ya pekee yako.

Lkn km ni "give it to me" situation ..aiseeeee utakua nanyakat ngumu.
 
Mi sipendagi hizi drama za mapenzi hata kidogo,kutesana kulizana lizana hivi hapana kwa kweli ushamba huu nishaachaga kitambo.
Ukiona mtu anabadklika basi nawe badilima nendana na kasi yake,akikujivu shot kama ulikuwa unatuma sms kumi per hour tuma moja,kama ulikuwa unatuma sms kila saa punguza masaa. Mpe muda,akikumiss kama anakupenda atarudi,kama ni drama drama za mjini ataona nafuu na yeye atapiva kimya. So ni wewe na uwezo wako wa kujiongeza.
Thanks a lot. I wish angekuwa na uwezo wa kupita kwenye huu uzi, angepevuka na yeye. Thank you once again
 
Mapenzi ya sasa ni shidaaa tupu ila ushauli wangu kama wazo lako ni kumpata mkamilifu katika sayali hii ya dunia ondoa kabisa hlo wazo cha msingi tafuta mwenye afadhali mfanye maisha...
 
Yeah datz all mkuuu.. Ni nature ya wanawake kuwajaribu wanaume wao,, yaaan hiiiii walizaliwa nayo ivo ivo ,, sasa hiii tabia wengine wanaikuza sanaa kufikia hatua ya * one word answer* .

Yote kwa yote huwa wanajaribu ili Kupima uanamme WAKO ,,akikufanyia ujinga utamfanya nn ???? Weee nimwanamme wakumrekebisha au ?????? Weee nimwanamme usopenda ujinga au ????/

Sasa akikukuta ndugu yangu weee unaupole ule ulopitiliza kwakudhan ndo atakupenda ,,jua kwamba atakuzengua mpaka utataman ujiueee.

Ktk mahusiano ,, ujue mapenzi nisafar inayoanzia pasipokujulikana nainaishia pasipokujulikana ..

Sasa katka hii safar,, MWANAMME NILAZIMA UWE MWANAMME KWELI KWELI ,,YAAAN USIJISHUSHE KWAKE TONTJE EXTENT YEYE KUKUONA AKIKUACHA HUEZI PATA MWINGINE NAKWAMBA UTAUMIA SANA ,, .. MPENDE LKN UKIMUONYESHA MAZINGIRA HAYA .

*Yes sweetheart I love soo much and you are the only one in my heart BUT hiii haimanishi naweza kuvumilia ujinga na dharau natabia mbaya utakazoonyesha ,nakwamba ,, kama utakua izi mambo Basi nitashika njia yangu *.

Aiseee utayafurahia maisha.JIAMIN ,JIKUBALI ,AMINI KUA NJE YAKE KUNA LUNDO LAWANAWAKE LINAKUSUBIRI LINASUBIRIA NAFASI .
Mkuu kama vile nakuona unavyoandika, like nimekaa na wewe hapa ndio unanielezea...hahahahaha ahsante sana mkuu
 
Mwasibu hela unatoa lakini au ndo lunch basi? Akufukuzae akwambii toka iyo kalender ya uchaguzi 2020 hata wabunge watarajiwa hawana wew tayari unayo jiongeze
Hahahahaa nimecheka tu. The good thing me sio mwanaume mpk mwanamke aniombe , huwa najiongeza tu nikiona mfuko uko sawa, sisubiri kuombwa, hilo litamtesa hata nikiamua kubreak mkuu
 
hana nia na wewe,cha muhimu ni kuachana naye.chukua muda wako mwingi kuwa busy na mambo yako wakati mwingine siku za jumamosi au jumapili unapokuwa na nafasi jaribu kutembelea sehemu mbali mbali ambazo unafikiri ni mazuri kwa mwenza wako mtarajiwa kuwa na hiyo asili au kada unayoitafuta,katika mazingira hayo utakutana na wengi unaweza kubahatisha pacha wako(mke mtarajiwa).
 
Yeah datz all mkuuu.. Ni nature ya wanawake kuwajaribu wanaume wao,, yaaan hiiiii walizaliwa nayo ivo ivo ,, sasa hiii tabia wengine wanaikuza sanaa kufikia hatua ya * one word answer* .

Yote kwa yote huwa wanajaribu ili Kupima uanamme WAKO ,,akikufanyia ujinga utamfanya nn ???? Weee nimwanamme wakumrekebisha au ?????? Weee nimwanamme usopenda ujinga au ????/

Sasa akikukuta ndugu yangu weee unaupole ule ulopitiliza kwakudhan ndo atakupenda ,,jua kwamba atakuzengua mpaka utataman ujiueee.

Ktk mahusiano ,, ujue mapenzi nisafar inayoanzia pasipokujulikana nainaishia pasipokujulikana ..

Sasa katka hii safar,, MWANAMME NILAZIMA UWE MWANAMME KWELI KWELI ,,YAAAN USIJISHUSHE KWAKE TONTJE EXTENT YEYE KUKUONA AKIKUACHA HUEZI PATA MWINGINE NAKWAMBA UTAUMIA SANA ,, .. MPENDE LKN UKIMUONYESHA MAZINGIRA HAYA .

*Yes sweetheart I love soo much and you are the only one in my heart BUT hiii haimanishi naweza kuvumilia ujinga na dharau natabia mbaya utakazoonyesha ,nakwamba ,, kama utakua izi mambo Basi nitashika njia yangu *.

Aiseee utayafurahia maisha.JIAMIN ,JIKUBALI ,AMINI KUA NJE YAKE KUNA LUNDO LAWANAWAKE LINAKUSUBIRI LINASUBIRIA NAFASI .
Haya mkuu nimekupa salute
 
hana nia na wewe,cha muhimu ni kuachana naye.chukua muda wako mwingi kuwa busy na mambo yako wakati mwingine siku za jumamosi au jumapili unapokuwa na nafasi jaribu kutembelea sehemu mbali mbali ambazo unafikiri ni mazuri kwa mwenza wako mtarajiwa kuwa na hiyo asili au kada unayoitafuta,katika mazingira hayo utakutana na wengi unaweza kubahatisha pacha wako(mke mtarajiwa).
Ahsante sana kaka, Ni kati ushauri ambao sikufikiria, ntaufanyia kazi mkuu, ubarikiwe mno
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom