Moyo wangu una majonzi, yako wapi mapenzi ya dhati?

Unasubiri mapenz ya dhati kwa karne hii!... Labda uachane na vigezo unavyotembea navyo ....
Awe msomi wa degree 2
Awe mrefu mweupe
Awe anatoka familia inayojiweza
Awe wa miaka 20 hadi 25
Awe bikra.....
Lakini mna sahau kutafuta mwenye mapenzi ya dhati,...
Sasa unajiuliza,! Mke akiwa na sifa zote hizo ndio anayefaa hata asipokua na mapenz ya dhati?
Mwishowe mkikaa miezi mitatu mnaanza kubadilika tena, mnataka mapenzi ya dhati, mweee!... Msitarajie kupata hilo!
 
Mmmhhh pole mkuuu .

Weee nimwanamme ikiwa utafuauli kuzishinda nyakati ngumu Basi maishan mwako hutokua nakitu chakupoteza .

Sijui kwa wanaume wenzangu ila Mimi Putin,, sijawahi kuumia kwamambo aloyasababisha mwingine ,,, ukiona naumia huwa naumia sababu ya jambo nilomtendea Mimi sasa nafsi inanisuta.

Embu jifunze kutotoa nafasi za watu ( mahusiano )kukuumiza nautambue ,,mapenzi nikitovu chauzembe ,,mapenzi yanaweza kukuharibia kazi nahata kukuaa.

AISEEE KWA AJILI YA MOYO WANGU MAMAISHA YANGU ,,NIBORA WAENDELEE KUNIONA MKOLONI !!!.ILA UPUUZI SITAKI...
Element moja wapo yamtu Kukupuuza huwa nimajibu yake .

Mfano am charting with you then unanipa a One word answer wakat nmekutext so as to have a conversation with you !!! Aiseeeee embu kua nahii moja ya sheria zangu "fire-fight-fire" ..... Akijifanya anakuigizia maisha as if km ni WIDOW ,naww jifanye ni WIDOWER.

MKUU KIUKWELI NAMSHUKURU MUUMBAJI WANGU KWA KUNIPA MOYO MGUMU ,,MOYO WAKUJIAMINI ,, NINA SURA MBAYA LKN HUWA NAJUA HUYU AKINIZENGUA TUUU ,,NAAMSHA NATAFUTA MWINGINE NABADO NIKAPENDWA NA KUAMINIWA !!!.

Viumbe hawa ,, kama anakuzengua alafu naww unaendelea kushikilia Uzi Wa " nakupenda tu " Basi jiandae kua Mnunuzi mzuri Wa vitambaa,,, Dawa za maumivu ,,,kutafuta ushauri Sanaaa,, n.k.

MKUUU USIRUHUSU MWANAMKE KUIFANYA ROHO YAKO KUA REHANI !!.
Hapa unatuponda viumbe sie bhana weee haya malingo yapo kote si kwa wanawake iwish uwe ke then mpende mtu ajue uone hizo nyodo unatuma text leo utajibiwa kesho tena short answer
 
Mkuu naelewa hata Mungu hawezi kupa mtu ambae hana mapungufu yake, lakini pia Mungu anakupa mtu mwenye mapungufu ambayo unaweza kufit wewe hapo. But thank you unajaribu kutufungua hili wingu kwenye vichwa
 
Hapa unatuponda viumbe sie bhana weee haya malingo yapo kote si kwa wanawake iwish uwe ke then mpende mtu ajue uone hizo nyodo unatuma text leo utajibiwa kesho tena short answer
Mkuuu nmesemea kwa upande wangu km me .

Nahata weee KE kwann ukubali kuzenguliwa ???? Kwann mwanamme akusumbue ????? .

Mwanamme akikuigizia km ni singo boy nawewe jifanye ni mjane !!!

* USIRUHUSU MTU MWINGINE KE/ME KUKUUMIZA MOYO WAKO.
 
Mmmhhh pole mkuuu .

Weee nimwanamme ikiwa utafuauli kuzishinda nyakati ngumu Basi maishan mwako hutokua nakitu chakupoteza .

Sijui kwa wanaume wenzangu ila Mimi Putin,, sijawahi kuumia kwamambo aloyasababisha mwingine ,,, ukiona naumia huwa naumia sababu ya jambo nilomtendea Mimi sasa nafsi inanisuta.

Embu jifunze kutotoa nafasi za watu ( mahusiano )kukuumiza nautambue ,,mapenzi nikitovu chauzembe ,,mapenzi yanaweza kukuharibia kazi nahata kukuaa.

AISEEE KWA AJILI YA MOYO WANGU MAMAISHA YANGU ,,NIBORA WAENDELEE KUNIONA MKOLONI !!!.ILA UPUUZI SITAKI...
Element moja wapo yamtu Kukupuuza huwa nimajibu yake .

Mfano am charting with you then unanipa a One word answer wakat nmekutext so as to have a conversation with you !!! Aiseeeee embu kua nahii moja ya sheria zangu "fire-fight-fire" ..... Akijifanya anakuigizia maisha as if km ni WIDOW ,naww jifanye ni WIDOWER.

MKUU KIUKWELI NAMSHUKURU MUUMBAJI WANGU KWA KUNIPA MOYO MGUMU ,,MOYO WAKUJIAMINI ,, NINA SURA MBAYA LKN HUWA NAJUA HUYU AKINIZENGUA TUUU ,,NAAMSHA NATAFUTA MWINGINE NABADO NIKAPENDWA NA KUAMINIWA !!!.

Viumbe hawa ,, kama anakuzengua alafu naww unaendelea kushikilia Uzi Wa " nakupenda tu " Basi jiandae kua Mnunuzi mzuri Wa vitambaa,,, Dawa za maumivu ,,,kutafuta ushauri Sanaaa,, n.k.

MKUUU USIRUHUSU MWANAMKE KUIFANYA ROHO YAKO KUA REHANI !!.
Umenipa madini hapa mkuu, naamini wengi wamefaidi pia, Ahsante sana, hii ndo faida ya kushirikisha watu
 
Pole,lakini ni vema ukaanza kujipenda mwenyewe kwanza. Ukatafua muda mzuri kwa ajili ya kujithamini,ukajitengea muda wa kujionaea hadhi ulio nayo wewe mwenyewe,tenga muda fikiria mabaya na magumu ulio pitia,then kuwa chanzo cha furaha yako wewe mwenyewe yaani usitake mpaka mtu fulani awepo ndio ufurahi.

Sisi wanawake tupo hivi, mwanaume usiempenda anapo kusumbua kwa chats,unaweza usimjibu on time,ukamjibu kwa ufupi au hata usijibu kabisa..mi kuna king'ang'anizi mmoja hivo hivo kila akinipigia namwambia nina usingizi nataka kulala hata kama saa saba mchana (lakini yeye nilimuweka wazi,tuvunje mahusiano).

So nachokushauri hapa kaka angu,kwanza muite uongee nae face to face ili kama kuna tatizo akuambie,mpe option hii (kama anahisi anahitaji nafasi ya kuwa mbali na wewe,mpeane break au mu break up kabisa basi asisite kukuambia,sio kwa muda huo mlio wote bali hata baadae kwa simu) ni vizuri awe mkweli kwako. Akishindwa kurekebishika kaka punguza mawasiliano nae take your time sio kila demu mkali wa kuoa kaka angu...
Hivi hizi tabia za kuumizana umiza jamani hamuoni kama ni za kitoto sana?
 
Pole sana! Anza maombi ya kumsahau kama yule wa kwanza. Hata hivyo elewa kuwa moyo wa mtu ni kichaka hivyo usipende kupita kiasi.
Daah Ahsante sana Mkuu, Ubarikiwe kwa ushauri murua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom