Moyo wangu una majonzi, yako wapi mapenzi ya dhati?

Kwanza Poole sana kwa changamoto unazopitia.Usikate tamaa mapenzi ya dhati yapoo!!

Nimesoma vizuri ushuhuda wako,kwa kurejea nimegundua yafuatayo🙁Napengine ndio chanzo cha wewe kuteseka)

1.Unaonesha upendo wako kwa style ya unyonge na uhitaji.
(Unampa thamani kubwa sana mwanamke) kiasi cha kupunguza thamani na ubora wako,pamoja na kujiamini mbele yake,unamfanya mwanamke kuwa Boss wa maisha na hisia zako.

Hapa cha kufanya ni kuonesha upendo wako kwa ujasiri,epuka kuwa mnyonge na mhitaji.

Ukimpenda mwanamke muoneshe thamani yako,usiwe na haraka ya kuwa wa kwanza mda wote,mpe mda nae akufikirie,usmpe nafasi ya kujua udhaifu wako kihisia!

2.Unatatizo la kuamini kila mwanamke unaempenda lazima akupende.

Mwanamke nae ni binadamu anavipaumbele vyake na machaguo katika mapenzi na maisha kwa ujmla wake.

Kukubali kuwa karibu nawewe na kujenga mahusiano.Haimaanishi wala sio uthibitisho wa mapenzi ya dhati kwako(wengine hukubali kama ishara ya ubinadam,kwa kuogopa kukuumiza mana tayari mshakuwa marafiki,ama kwa sababu unamtimizia mahitaji yake n.k)

Lakini kiuhalisia unakuta moyoni mwake hakupendi"siyo kwa sababu hufai"Hapana!!
Ila ni kwasababu hitaji la kihisia la moyo wake halijatimia.Kama ilivyokwako unapohisi hupendwi kwa dhati.

Hivyo kabla hujajithibitisha na undani wa hisia za mwanamke juu yako.Hupaswi kuhitimisha mapenzi yako juu yake na kuamini anakupenda ama kulazimisha upendwe usipopendwa!
~~~~~~~~~~~~~~~
Kuhusu hatima ya mahusiano yako ya sasa!

Usiumize kichwa,si njema tena,mwache Mwl.aendelee na maisha yake.Usimchukie!!!

Chakufanya(kama kweli umedhamiria unataka kuoa):Kaa,Tulia,fikiria,walau mpaka mweziJanuary mwakani.(ktk hichi kipindi hakikisha unakuwa mwenye Fraha,kula vizuri,vaa vizuri pendeza kwa sana,mazoez n.k)
Huku ukijiuliza.
a)Unahitaji mwanamke wa aina gani(sifa zake)
b)Anapatikana wapi(chuon,kazini,sehem za starehe,kanisan,mjini,kijiji n.k)

Anza kumtafta kwa kutembelea hayo maeneo anzisha urafiki wa kawaida na wadada mbalimbali bila kuonesha mihemko ya kuwataka kimapenzi.

Kati yao angalia mwenye sifa unazotaka,mwoneshe upendo,akikupenda,mweleze ukweli wako.Mkielewana oa!!!
 
Mapenzi ni kitendawili kwa kila mtu mm nilishawahi kupendwa kwa dhati mm nikajidai celew yule alonipenda alinivumilia mwisho akachoka akaenda nw naumizwa na haya mapenzi najuta adi nakufuru mungu usikate tamaa endelea kujarbu kutafuta
 
Pole, lakin umeshajichunguza mkuu uhenda unakasoro wasizo zipenda, na kama hauna shida wakati unapotaka kuingia kwenye mahusiano mshirkishe mungu, usipuuze please
Ahsante sana mkuu, nitafanyia kazi
 
nimefurah as if hayajanikuta,

mkuu fanya mambo yako hawa viumbe ni sayari nyingine

rudi kwenye ibada jiwekeze kwenye positive ideas,life asikuchanganye

act like a man
Ahsante mkuu, nitafanyia kazi
 
Wanaume wastarabu wanapata wanawake micharuko ya mwendokasi!

Mkuu huyo Dada kwangu binafsi ni kuwa anakupenda, kinachotokea ni kuwa we unampenda sana, mwanamke ukimuonesha mapenzi mengi mengi huwa na nyodo! Lkn sio kwamba hakupendi la hasha ni kaujinga kao flani hivi amazing!

Sasa nakupa mbinu ya kumkomesha hiyo tabia yake ....wee kuanzia Leo punguza text, simu, miadi ya kuonana, I mean akikutumia abbreviations zake like K, P we mchunie, msubirie akuanze yy na wewe mjibu short short tuu!

Ukiona mda wa wiki mbili hajabadilika au kujistukia ujue hakupendi mazima, so chomoka kasi ya Usain Bolt!...

NB. Mrejesho please
Hii kazi nimeianza leo.

Nitaleta mrejesho mkuu hahahahaa
 
Ndio maana huwa natoa wigo mpana mwanamke aanze kunipenda mwenyewe..nilishakumbana na kadhia kama hizi mpaka nikahisi kuchanganyikiwa, nikaanza kuwachukia sana watoto wa kike, lakini kadri siku zinavyokwenda natambua siwezi kuishi bila wao katika hali ya kawaida kibinadamu...hivyo mwanamke nitakayempenda huwa natengeneza mazingira mazuri mpaka anajaa mwenyewe bila mimi kufanya/kusema chochote na hili sio siri limekuwa msaada sana kwangu! Kuhusu hilo lako..naomba muite kaa naye chini na hakika mtaelewana tu!
 
Kwanza Poole sana kwa changamoto unazopitia.Usikate tamaa mapenzi ya dhati yapoo!!

Nimesoma vizuri ushuhuda wako,kwa kurejea nimegundua yafuatayo🙁Napengine ndio chanzo cha wewe kuteseka)

1.Unaonesha upendo wako kwa style ya unyonge na uhitaji.
(Unampa thamani kubwa sana mwanamke) kiasi cha kupunguza thamani na ubora wako,pamoja na kujiamini mbele yake,unamfanya mwanamke kuwa Boss wa maisha na hisia zako.

Hapa cha kufanya ni kuonesha upendo wako kwa ujasiri,epuka kuwa mnyonge na mhitaji.

Ukimpenda mwanamke muoneshe thamani yako,usiwe na haraka ya kuwa wa kwanza mda wote,mpe mda nae akufikirie,usmpe nafasi ya kujua udhaifu wako kihisia!

2.Unatatizo la kuamini kila mwanamke unaempenda lazima akupende.

Mwanamke nae ni binadamu anavipaumbele vyake na machaguo katika mapenzi na maisha kwa ujmla wake.

Kukubali kuwa karibu nawewe na kujenga mahusiano.Haimaanishi wala sio uthibitisho wa mapenzi ya dhati kwako(wengine hukubali kama ishara ya ubinadam,kwa kuogopa kukuumiza mana tayari mshakuwa marafiki,ama kwa sababu unamtimizia mahitaji yake n.k)

Lakini kiuhalisia unakuta moyoni mwake hakupendi"siyo kwa sababu hufai"Hapana!!
Ila ni kwasababu hitaji la kihisia la moyo wake halijatimia.Kama ilivyokwako unapohisi hupendwi kwa dhati.

Hivyo kabla hujajithibitisha na undani wa hisia za mwanamke juu yako.Hupaswi kuhitimisha mapenzi yako juu yake na kuamini anakupenda ama kulazimisha upendwe usipopendwa!
~~~~~~~~~~~~~~~
Kuhusu hatima ya mahusiano yako ya sasa!

Usiumize kichwa,si njema tena,mwache Mwl.aendelee na maisha yake.Usimchukie!!!

Chakufanya(kama kweli umedhamiria unataka kuoa):Kaa,Tulia,fikiria,walau mpaka mweziJanuary mwakani.(ktk hichi kipindi hakikisha unakuwa mwenye Fraha,kula vizuri,vaa vizuri pendeza kwa sana,mazoez n.k)
Huku ukijiuliza.
a)Unahitaji mwanamke wa aina gani(sifa zake)
b)Anapatikana wapi(chuon,kazini,sehem za starehe,kanisan,mjini,kijiji n.k)

Anza kumtafta kwa kutembelea hayo maeneo anzisha urafiki wa kawaida na wadada mbalimbali bila kuonesha mihemko ya kuwataka kimapenzi.

Kati yao angalia mwenye sifa unazotaka,mwoneshe upendo,akikupenda,mweleze ukweli wako.Mkielewana oa!!!
Ur professional Brother lol!! Yaani JF ni sehemu nzuri sana kupata msaada wa kimawazo, kimaisha n.k , Brother kwa huu ushauri wako naanza kufanyia kazi kuanzia dakika hii. Ahsante sana mkuu, umebadilisha kitu kwenye akili yangu
 
Ndio maana huwa natoa wigo mpana mwanamke aanze kunipenda mwenyewe..nilishakumbana na kadhia kama hizi mpaka nikahisi kuchanganyikiwa, nikaanza kuwachukia sana watoto wa kike, lakini kadri siku zinavyokwenda natambua siwezi kuishi bila wao katika hali ya kawaida kibinadamu...hivyo mwanamke nitakayempenda huwa natengeneza mazingira mazuri mpaka anajaa mwenyewe bila mimi kufanya/kusema chochote na hili sio siri limekuwa msaada sana kwangu! Kuhusu hilo lako..naomba muite kaa naye chini na hakika mtaelewana tu!
Ahsante sana mkuu, pole kama na wewe ulishapitia mapitoa kama yangu. Nitafanyia kazi ushauri wako
 
Hahahhaahahahaahaa kuna namna ya kumpenda mwanamke ndugu kama hiyo huijui basi utapenda ambavyo upaswi kumpenda na mwishowe utaumizwa...umesema yupo busy busy nadhani ungekuwa wewe busy busy angalau ingekusaidia kdg..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom