Moyo wangu una majonzi, yako wapi mapenzi ya dhati?

Na huyo pia hakufai ondoka tu.. Halafu acha tabia ya kuzama kwenye mapenzi moja kwa moja...Ishi kijanja ohoo
Weusi washasema kaa kijanja uskae kiree! Ila mwamba naona yupo kiree, yani mie niwe na kipato cha uhakika nimnyenyekee demu? Maishaaa..!!!

Sema nn mwamba anaonekana nice guy, huwa wanauzaga CV mapema mno easy kupelekeshwa!
 
Ndu zangu wana jamvi....

Naomba nieleweke hivi, nimechoka, sijui tatizo langu ni kwamba napenda sana bila kiasi, nimepitia kwenye mahusiano kama matatu sasa toka nijue mapenzi ni nini, mwanamke wa kwanza aliniumiza sanaa, nililia mwanaume machozi ya kila aina, sikuwa tayari aniache, nilikuwa naona kam maisha yangu yatakuwa magumu sana nikiachana na huyo dada.
Niliteseka kwa zaidi ya mwaka mmoja nambembeleza turudiane, alinitesa mno, siwezi kuelezea. Siku moja nilijifungia chumbani kwangu saa 11 jioni hadi kesho yake, nilifunga simu, nikapiga magoti, nilisali sana, nilimlilia Mungu moyo wangu upate amani, nikamshi Mungu kama sio mapenzi yake amuweke mbali na mimi yule binti, kweli siku ya pili nilikuwa mwepesiii, sikuwa hata na hamu ya kumtafuta, nilimshukuru sana Mungu maisha yangu yanaanza kubadilika mwishowe nikafuta mpaka namba zake japo hata leo ninazo kichwani....

Nikaanza mahusiano mengine, nikaona picha ni zile zile, nilikimbia mapema nilivoona tabia za mwanamke wangu wa kwanza zimeanza kujirudia kwa mwanamke huyo wa pili....nikamuomba Mungu nisiingie tena kwenye mahusiano kama vinginevyo iwe ni mwanamke wangu alieniandalia, nilikaa kwa karibu mwaka mmoja na nusu bila kuwa na mahusiano ya serious......

Mwaka huu mwezi wa Tano nilikutana na Binti mmoja mrembo kweli, ni mzuri kuanzia kutembea kwake, kuongea kwake, anapenda sana kanisa, kila Jumapili yuko kanisani ibada ya kwanza. Binti huyu kwa mara ya kwanza alikuja kwenye eneo langu la kazi, alikuja kumtembelea rafiki yake ambae pia staff mwenzangu, nilivyomuona kiukweli nilimpenda, nikajaribu kumuuliza yule rafiki yake, akanipa briefing kidgo kuhusu huyo binti, nilimuomba appointment ya kutoka nao wote wawili ili atleast nipate picha halisi na kujuana nae kidogo. Kwenye hiyo out tulibadilishana mawazo kidogo, tukabadilishana na mawasiliano pia, nikaanza kujenga nae urafiki, tukafahamiana vizuri then nikaona ni mtu ambae yuko smart kweli, siku moja nikamuomba appointment ya kutoka nae somewhere for lunch, hakukataa alikuja then tukaongea sana then nikamruhusu aende nyumbani mapema ili awahi mapishi ya jioni. Yote tisa, kumi huyo binti nilianza nae mahusiano baada ya kila mmoja kumfaham mwenzake,,,,ni takriban miezi 5 sasa toka tumeanza mahusiano rasmi, professionaly yeye ni mwalimu, mimi ni Muhasibu, tumekuwa tukiwasiliana vizuri sana, kinachonipa wakati mgumu kwake ni majibu yake, mara nyingi nikichat nae huwa ana majibu mkato sana (shortcuts), unaweza ukawa unamuuliza kitu sensitive yeye akakujibu majibu ambayo like she dont care. Kingine huyu binti amekuwa mgumu sana kushare nae muda, kama mpenzi wangu muda mwingine naweza muomba lunch tule sehem moja lakini akakataa bila sababu, nikimuliza sababu nini atakujibu niko busy ... hii statement ya niko busy imekuwa ikini disappoint sana, ukimuuliza busy na nini atakujibu sorry niko busy. Guys nisaidieni mtu kama huyu kweli bado anaweza kuwa na mapenzi ya dhati kwako? Katika chatting yake mara nyingi tumevutana sana, huwa ni mtu mwenye majibu ambayo yanaonyesha hajali kabisaa,,,

Tukiachana na hayo yote , wiki iliyopita wakati napiga nae story kwenye simu alichomekea agenda yake kuwa anataka kurudi chuo kwa miaka 3 kuanzia mwaka ujao kwa hiyo nikimhitaji maswala ya ndoa nisubiri mwaka 2020. Hili jambo limenikatisha sana tamaa guys, yaani nikae mtaani nimsubiri yeye anaenda chuo kwa miaka minne kuanzia sasa....moyo wangu uliumia sana kiukweli, bado naendelea kuumia, muda mwingine nawaza na kumwambia Mungu kwanini unanipitisha kwenye majaribu magumu kiasi hiki? Kweli ni binti niliempenda sana ila yeye kutokuwa na care inanikatisha tamaa, majibu yake mara nyingi ni " Poa, sawa, K, P n.k.
Guys wenye experience naombeni ushari, naumia kweli maana tayari nilishaingia kwake miguu yote, dalili ya kuumia tena naiona.

Sio dhihaka , sio utani napitia kwenye wakati mgumu, ambao tayari mko kwenye ndoa naomba mtusaidie mlipitia katika wakati kama huu?
Muda mwingine huwa namwambia Mungu mapenzi ya kweli yale ya wazazi wetu yako wapi? Kiukweli vijana wa kiume tunapitia wakati mgumu sana pindi unapomtafuta binti wa kuwa nae kimaisha.

Naamin sipo mwenyewe, tusaidiane kwa ushauri na kufarijiana.
It is almost a year now...
Tunaomba mrejesho mkuu
 
Ushauri mzuri sana mkuu ila kuna wakati unajikatia tamaa, unaona like huyo mtu hana time na wewe or unajisikia like unajipendekeza sanaa kwake
Halafu ujue nn mwanangu, we wa kiumeni af design una supporting document mwamba yani hela ya kula ipo sio ya kuwaza, mamlaka unayo kitengo cha fedha sasa kunani hapo tena? Yani mtoto wa kike anasumbuaje sasa!?

We wa kiume jikubalii af kazaa babuu,,,ukiona mama inaleta pozi we tia kula buyu. Lazma atalegeza masharti tu, ukilia lia mbele ya mwanamke mpenzi wako haisaidii! Zaidi utajivua nyota zote atakuona kama shoga yake tu.

Usipende pende kishamba, ukimuelewa mtoto mvute akiingia kingi anza kumringia wewe ndio mtaenda sawa atakuwa anakulilia yeye ndio mtindo wa kisasa. Kulia lia unatuabisha wahuni af demu wa tatu unalia lia tu babu wakati uzoefu tayari wa kushato.
 
Pole,lakini ni vema ukaanza kujipenda mwenyewe kwanza. Ukatafua muda mzuri kwa ajili ya kujithamini,ukajitengea muda wa kujionaea hadhi ulio nayo wewe mwenyewe,tenga muda fikiria mabaya na magumu ulio pitia,then kuwa chanzo cha furaha yako wewe mwenyewe yaani usitake mpaka mtu fulani awepo ndio ufurahi.

Sisi wanawake tupo hivi, mwanaume usiempenda anapo kusumbua kwa chats,unaweza usimjibu on time,ukamjibu kwa ufupi au hata usijibu kabisa..mi kuna king'ang'anizi mmoja hivo hivo kila akinipigia namwambia nina usingizi nataka kulala hata kama saa saba mchana (lakini yeye nilimuweka wazi,tuvunje mahusiano).

So nachokushauri hapa kaka angu,kwanza muite uongee nae face to face ili kama kuna tatizo akuambie,mpe option hii (kama anahisi anahitaji nafasi ya kuwa mbali na wewe,mpeane break au mu break up kabisa basi asisite kukuambia,sio kwa muda huo mlio wote bali hata baadae kwa simu) ni vizuri awe mkweli kwako. Akishindwa kurekebishika kaka punguza mawasiliano nae take your time sio kila demu mkali wa kuoa kaka angu...
Hivi hizi tabia za kuumizana umiza jamani hamuoni kama ni za kitoto sana?
kumbe hunipendi ndo maana unaniagaga mchana mie najua wapumzika, dah sitasahau ulivyonjibu P. na K! Dah kumbe unipendi jmn inauma sana!
 
Yeah datz all mkuuu.. Ni nature ya wanawake kuwajaribu wanaume wao,, yaaan hiiiii walizaliwa nayo ivo ivo ,, sasa hiii tabia wengine wanaikuza sanaa kufikia hatua ya * one word answer* .

Yote kwa yote huwa wanajaribu ili Kupima uanamme WAKO ,,akikufanyia ujinga utamfanya nn ???? Weee nimwanamme wakumrekebisha au ?????? Weee nimwanamme usopenda ujinga au ????/

Sasa akikukuta ndugu yangu weee unaupole ule ulopitiliza kwakudhan ndo atakupenda ,,jua kwamba atakuzengua mpaka utataman ujiueee.

Ktk mahusiano ,, ujue mapenzi nisafar inayoanzia pasipokujulikana nainaishia pasipokujulikana ..

Sasa katka hii safar,, MWANAMME NILAZIMA UWE MWANAMME KWELI KWELI ,,YAAAN USIJISHUSHE KWAKE TONTJE EXTENT YEYE KUKUONA AKIKUACHA HUEZI PATA MWINGINE NAKWAMBA UTAUMIA SANA ,, .. MPENDE LKN UKIMUONYESHA MAZINGIRA HAYA .

*Yes sweetheart I love soo much and you are the only one in my heart BUT hiii haimanishi naweza kuvumilia ujinga na dharau natabia mbaya utakazoonyesha ,nakwamba ,, kama utakua izi mambo Basi nitashika njia yangu *.

Aiseee utayafurahia maisha.JIAMIN ,JIKUBALI ,AMINI KUA NJE YAKE KUNA LUNDO LAWANAWAKE LINAKUSUBIRI LINASUBIRIA NAFASI .
Waziii, naona kijana wetu anapitia ubatizo wa moto kwanza.
 
Mkuu polee, unayopitia nmepitia but mostly nilichojifunza ni kuwa na moyo wa kulet go, huwa naamin sana katika msemo wa Dalili za mvua ni mawingu, hivyo sipendi sana kumpa mwanamke mda wangu, pendo langu afu akalichukulia fof granted, anyways mkuu angalia utaratibu mwjngine, she's not meant to be brother, let go ili ufungue mlango wa something better if not best, nikushauri kingine, endelea kuexplore utampata that one ambae amin utafurahia mwenyewe but always remember pia no woman is 100% perfect, a humble and trustful woman is nearly 95% perfect zile tano ni wewe kumrekebisha, endelea pia kusali sana Mungu atafungua njia but huyo hakufai mkuu

Nothing personal.....................
 
Utakuwa una tatizo mahala... So hao madem wakilinotice wanatembea.

Pole sana Mkuu.
Tatizo ni mzee wa hewala (mr.nice guy),,, amna kingine! Ye hajuagi kujipa nafasi katika uhusiano anamwacha mwanamke ajitawale anavyotaka mwisho anaanza kuburuzwa. Hilo ndio hasa nimeona kiini cha majanga hata mie nshateswaga sana na hio tabia mwanzoni!
 
Mapenzi ni kitendawili kwa kila mtu mm nilishawahi kupendwa kwa dhati mm nikajidai celew yule alonipenda alinivumilia mwisho akachoka akaenda nw naumizwa na haya mapenzi najuta adi nakufuru mungu usikate tamaa endelea kujarbu kutafuta
ulimfanyaje adi akachoka na kwenda!? Vipi kwa sasa ushapata au bado unatafuta? Kama chura yupo nitafute p.m tupige story nikuelekeze jinsi ya kumpata mwenye pendo la dhati chap!
 
Pole mkuu,nakushauri unapoanzisha mahusiano usilenge ndoa kamwe,wala usionyeahe kujali kupita kiasi,ukisha kula Mara ya kwanza mkaushie hadi yy akutafute,kamwe usijionyeshe unajali sana Ila ingia nusu nusu,usimtext kuwa unampenda sana cjui ma vitu gani gani km umeshatafuna,Ila subir yy akikuambia I love u bby bac nawe jibu I'll you too hny,...usijiweke kimbelembele cha kuonyesha unajali au unapenda sana,....watakuumiza wtt Wa cku hiz Hawa mjomba.km unampenda kweli bac mpende kisiri siri yy asijue how much u love her.baadae utaona reaction yake kwako na hapo ndo utachagua kuweka ndani au kupotezea....Ila kumbuka wakati unaendelea kuchagua make sure unatumia condom ucje ukala chuya mangi,....ikibidi tumia kauli ya TID alomwambia Prezoo atumie DUME,tena akaongeza atumie condom ya bei ghali ili walau awe na amani kua haitapasuka.....
We mjanja kumbe, nafurahi kuona kumbe ma veteran wenzangu mpo humu!
 
Watu wenye mapenz ya kweli tumekuwa tukiumizwa sanaa tena sanaa I wish ningekuwa najua kufake!sio wanaume tu hata ss wanawake tunaumia na ninyi wanaume makatili
Tatizo mwanamke mwenye mapenz ya kweli hana mvuto na wengi hawanaga chura kama vile wanaume wenye mapenzi ya dhati jinsi wako so dear ila wako broke mbaya kabisa!

Shida zote huanzia hapo.

Yani ukimkuta mtoto yupo njema chura,shape sura iko vizuri ujue lazma akutoboe moyo na wallet tu.
 
Nyie madogo wa sasa hizi soaps zinawaharibu Sana akili. Yaani unalialia hapa hujajibiwa sms kimahaba. Huyo dada kakomaa kiakili wewe bado uko kwenye foolish age kwenye mapenzi. Mwenyewe huwa unakaa unaota ndoto za kufuatana kama kumbikumbi.

Kwa kifupi acha utoto. Kuwa sasa ndiyo ufikirie kutafuta mke.
 
Nimeipenda sana hii, " nilikaa karibu mwaka mmoja na nusu bila kuwa na mahusiano ya serious....... " hii ina maana umekaa mwaka mzima na nusu ukidanganya na kuchezea mabinti za watu. Nao nadhani wamekuweka kwenye fungu la kukosa na walijuta kukufahamu. Be serious and smart you will encounter serious and smart people! Otherwise ujanja ujanja utakutafuna mpaka kaburini.
 
Ndu zangu wana jamvi....

Naomba nieleweke hivi, nimechoka, sijui tatizo langu ni kwamba napenda sana bila kiasi, nimepitia kwenye mahusiano kama matatu sasa toka nijue mapenzi ni nini, mwanamke wa kwanza aliniumiza sanaa, nililia mwanaume machozi ya kila aina, sikuwa tayari aniache, nilikuwa naona kam maisha yangu yatakuwa magumu sana nikiachana na huyo dada.
Niliteseka kwa zaidi ya mwaka mmoja nambembeleza turudiane, alinitesa mno, siwezi kuelezea. Siku moja nilijifungia chumbani kwangu saa 11 jioni hadi kesho yake, nilifunga simu, nikapiga magoti, nilisali sana, nilimlilia Mungu moyo wangu upate amani, nikamshi Mungu kama sio mapenzi yake amuweke mbali na mimi yule binti, kweli siku ya pili nilikuwa mwepesiii, sikuwa hata na hamu ya kumtafuta, nilimshukuru sana Mungu maisha yangu yanaanza kubadilika mwishowe nikafuta mpaka namba zake japo hata leo ninazo kichwani....

Nikaanza mahusiano mengine, nikaona picha ni zile zile, nilikimbia mapema nilivoona tabia za mwanamke wangu wa kwanza zimeanza kujirudia kwa mwanamke huyo wa pili....nikamuomba Mungu nisiingie tena kwenye mahusiano kama vinginevyo iwe ni mwanamke wangu alieniandalia, nilikaa kwa karibu mwaka mmoja na nusu bila kuwa na mahusiano ya serious......

Mwaka huu mwezi wa Tano nilikutana na Binti mmoja mrembo kweli, ni mzuri kuanzia kutembea kwake, kuongea kwake, anapenda sana kanisa, kila Jumapili yuko kanisani ibada ya kwanza. Binti huyu kwa mara ya kwanza alikuja kwenye eneo langu la kazi, alikuja kumtembelea rafiki yake ambae pia staff mwenzangu, nilivyomuona kiukweli nilimpenda, nikajaribu kumuuliza yule rafiki yake, akanipa briefing kidgo kuhusu huyo binti, nilimuomba appointment ya kutoka nao wote wawili ili atleast nipate picha halisi na kujuana nae kidogo. Kwenye hiyo out tulibadilishana mawazo kidogo, tukabadilishana na mawasiliano pia, nikaanza kujenga nae urafiki, tukafahamiana vizuri then nikaona ni mtu ambae yuko smart kweli, siku moja nikamuomba appointment ya kutoka nae somewhere for lunch, hakukataa alikuja then tukaongea sana then nikamruhusu aende nyumbani mapema ili awahi mapishi ya jioni. Yote tisa, kumi huyo binti nilianza nae mahusiano baada ya kila mmoja kumfaham mwenzake,,,,ni takriban miezi 5 sasa toka tumeanza mahusiano rasmi, professionaly yeye ni mwalimu, mimi ni Muhasibu, tumekuwa tukiwasiliana vizuri sana, kinachonipa wakati mgumu kwake ni majibu yake, mara nyingi nikichat nae huwa ana majibu mkato sana (shortcuts), unaweza ukawa unamuuliza kitu sensitive yeye akakujibu majibu ambayo like she dont care. Kingine huyu binti amekuwa mgumu sana kushare nae muda, kama mpenzi wangu muda mwingine naweza muomba lunch tule sehem moja lakini akakataa bila sababu, nikimuliza sababu nini atakujibu niko busy ... hii statement ya niko busy imekuwa ikini disappoint sana, ukimuuliza busy na nini atakujibu sorry niko busy. Guys nisaidieni mtu kama huyu kweli bado anaweza kuwa na mapenzi ya dhati kwako? Katika chatting yake mara nyingi tumevutana sana, huwa ni mtu mwenye majibu ambayo yanaonyesha hajali kabisaa,,,

Tukiachana na hayo yote , wiki iliyopita wakati napiga nae story kwenye simu alichomekea agenda yake kuwa anataka kurudi chuo kwa miaka 3 kuanzia mwaka ujao kwa hiyo nikimhitaji maswala ya ndoa nisubiri mwaka 2020. Hili jambo limenikatisha sana tamaa guys, yaani nikae mtaani nimsubiri yeye anaenda chuo kwa miaka minne kuanzia sasa....moyo wangu uliumia sana kiukweli, bado naendelea kuumia, muda mwingine nawaza na kumwambia Mungu kwanini unanipitisha kwenye majaribu magumu kiasi hiki? Kweli ni binti niliempenda sana ila yeye kutokuwa na care inanikatisha tamaa, majibu yake mara nyingi ni " Poa, sawa, K, P n.k.
Guys wenye experience naombeni ushari, naumia kweli maana tayari nilishaingia kwake miguu yote, dalili ya kuumia tena naiona.

Sio dhihaka , sio utani napitia kwenye wakati mgumu, ambao tayari mko kwenye ndoa naomba mtusaidie mlipitia katika wakati kama huu?
Muda mwingine huwa namwambia Mungu mapenzi ya kweli yale ya wazazi wetu yako wapi? Kiukweli vijana wa kiume tunapitia wakati mgumu sana pindi unapomtafuta binti wa kuwa nae kimaisha.

Naamin sipo mwenyewe, tusaidiane kwa ushauri na kufarijiana.
Nawaza tuu..... Kuhusu Huyu Dada.... Nafikiri kuna mwanamume mwingine ambaye anampenda zaidi kuliko anavyokupenda wewe..... Japokuwa wewe ndio umeshazama kwa miguu yote miwili.... 😀😂
 
Nimeipenda sana hii, " nilikaa karibu mwaka mmoja na nusu bila kuwa na mahusiano ya serious....... " hii ina maana umekaa mwaka mzima na nusu ukidanganya na kuchezea mabinti za watu. Nao nadhani wamekuweka kwenye fungu la kukosa na walijuta kukufahamu. Be serious and smart you will encounter serious and smart people! Otherwise ujanja ujanja utakutafuna mpaka kaburini.
Very Well Narrated..... Very Well Said....
 
Mmmhhh pole mkuuu .

Weee nimwanamme ikiwa utafuauli kuzishinda nyakati ngumu Basi maishan mwako hutokua nakitu chakupoteza .

Sijui kwa wanaume wenzangu ila Mimi Putin,, sijawahi kuumia kwamambo aloyasababisha mwingine ,,, ukiona naumia huwa naumia sababu ya jambo nilomtendea Mimi sasa nafsi inanisuta.

Embu jifunze kutotoa nafasi za watu ( mahusiano )kukuumiza nautambue ,,mapenzi nikitovu chauzembe ,,mapenzi yanaweza kukuharibia kazi nahata kukuaa.

AISEEE KWA AJILI YA MOYO WANGU MAMAISHA YANGU ,,NIBORA WAENDELEE KUNIONA MKOLONI !!!.ILA UPUUZI SITAKI...
Element moja wapo yamtu Kukupuuza huwa nimajibu yake .

Mfano am charting with you then unanipa a One word answer wakat nmekutext so as to have a conversation with you !!! Aiseeeee embu kua nahii moja ya sheria zangu "fire-fight-fire" ..... Akijifanya anakuigizia maisha as if km ni WIDOW ,naww jifanye ni WIDOWER.

MKUU KIUKWELI NAMSHUKURU MUUMBAJI WANGU KWA KUNIPA MOYO MGUMU ,,MOYO WAKUJIAMINI ,, NINA SURA MBAYA LKN HUWA NAJUA HUYU AKINIZENGUA TUUU ,,NAAMSHA NATAFUTA MWINGINE NABADO NIKAPENDWA NA KUAMINIWA !!!.

Viumbe hawa ,, kama anakuzengua alafu naww unaendelea kushikilia Uzi Wa " nakupenda tu " Basi jiandae kua Mnunuzi mzuri Wa vitambaa,,, Dawa za maumivu ,,,kutafuta ushauri Sanaaa,, n.k.

MKUUU USIRUHUSU MWANAMKE KUIFANYA ROHO YAKO KUA REHANI !!.

huu ndio uanaume!! na ukijishusha sana kwao wanakuona mjinga... ila ukikaza wanarudi wenyewe... wenzako tuna miaka mingi wala hatuna stress... et sijui mtoto ataniita babu!? yaan ndo kwanza natia earphone nasikiliza midundo ya reggae.. nikiona nimepata mwenye jeuri ya kusema anataka familia bora na mume mwema.. na akaniona nafaa naoa!!
 
Ndu zangu wana jamvi....

Naomba nieleweke hivi, nimechoka, sijui tatizo langu ni kwamba napenda sana bila kiasi, nimepitia kwenye mahusiano kama matatu sasa toka nijue mapenzi ni nini, mwanamke wa kwanza aliniumiza sanaa, nililia mwanaume machozi ya kila aina, sikuwa tayari aniache, nilikuwa naona kam maisha yangu yatakuwa magumu sana nikiachana na huyo dada.
Niliteseka kwa zaidi ya mwaka mmoja nambembeleza turudiane, alinitesa mno, siwezi kuelezea. Siku moja nilijifungia chumbani kwangu saa 11 jioni hadi kesho yake, nilifunga simu, nikapiga magoti, nilisali sana, nilimlilia Mungu moyo wangu upate amani, nikamshi Mungu kama sio mapenzi yake amuweke mbali na mimi yule binti, kweli siku ya pili nilikuwa mwepesiii, sikuwa hata na hamu ya kumtafuta, nilimshukuru sana Mungu maisha yangu yanaanza kubadilika mwishowe nikafuta mpaka namba zake japo hata leo ninazo kichwani....

Nikaanza mahusiano mengine, nikaona picha ni zile zile, nilikimbia mapema nilivoona tabia za mwanamke wangu wa kwanza zimeanza kujirudia kwa mwanamke huyo wa pili....nikamuomba Mungu nisiingie tena kwenye mahusiano kama vinginevyo iwe ni mwanamke wangu alieniandalia, nilikaa kwa karibu mwaka mmoja na nusu bila kuwa na mahusiano ya serious......

Mwaka huu mwezi wa Tano nilikutana na Binti mmoja mrembo kweli, ni mzuri kuanzia kutembea kwake, kuongea kwake, anapenda sana kanisa, kila Jumapili yuko kanisani ibada ya kwanza. Binti huyu kwa mara ya kwanza alikuja kwenye eneo langu la kazi, alikuja kumtembelea rafiki yake ambae pia staff mwenzangu, nilivyomuona kiukweli nilimpenda, nikajaribu kumuuliza yule rafiki yake, akanipa briefing kidgo kuhusu huyo binti, nilimuomba appointment ya kutoka nao wote wawili ili atleast nipate picha halisi na kujuana nae kidogo. Kwenye hiyo out tulibadilishana mawazo kidogo, tukabadilishana na mawasiliano pia, nikaanza kujenga nae urafiki, tukafahamiana vizuri then nikaona ni mtu ambae yuko smart kweli, siku moja nikamuomba appointment ya kutoka nae somewhere for lunch, hakukataa alikuja then tukaongea sana then nikamruhusu aende nyumbani mapema ili awahi mapishi ya jioni. Yote tisa, kumi huyo binti nilianza nae mahusiano baada ya kila mmoja kumfaham mwenzake,,,,ni takriban miezi 5 sasa toka tumeanza mahusiano rasmi, professionaly yeye ni mwalimu, mimi ni Muhasibu, tumekuwa tukiwasiliana vizuri sana, kinachonipa wakati mgumu kwake ni majibu yake, mara nyingi nikichat nae huwa ana majibu mkato sana (shortcuts), unaweza ukawa unamuuliza kitu sensitive yeye akakujibu majibu ambayo like she dont care. Kingine huyu binti amekuwa mgumu sana kushare nae muda, kama mpenzi wangu muda mwingine naweza muomba lunch tule sehem moja lakini akakataa bila sababu, nikimuliza sababu nini atakujibu niko busy ... hii statement ya niko busy imekuwa ikini disappoint sana, ukimuuliza busy na nini atakujibu sorry niko busy. Guys nisaidieni mtu kama huyu kweli bado anaweza kuwa na mapenzi ya dhati kwako? Katika chatting yake mara nyingi tumevutana sana, huwa ni mtu mwenye majibu ambayo yanaonyesha hajali kabisaa,,,

Tukiachana na hayo yote , wiki iliyopita wakati napiga nae story kwenye simu alichomekea agenda yake kuwa anataka kurudi chuo kwa miaka 3 kuanzia mwaka ujao kwa hiyo nikimhitaji maswala ya ndoa nisubiri mwaka 2020. Hili jambo limenikatisha sana tamaa guys, yaani nikae mtaani nimsubiri yeye anaenda chuo kwa miaka minne kuanzia sasa....moyo wangu uliumia sana kiukweli, bado naendelea kuumia, muda mwingine nawaza na kumwambia Mungu kwanini unanipitisha kwenye majaribu magumu kiasi hiki? Kweli ni binti niliempenda sana ila yeye kutokuwa na care inanikatisha tamaa, majibu yake mara nyingi ni " Poa, sawa, K, P n.k.
Guys wenye experience naombeni ushari, naumia kweli maana tayari nilishaingia kwake miguu yote, dalili ya kuumia tena naiona.

Sio dhihaka , sio utani napitia kwenye wakati mgumu, ambao tayari mko kwenye ndoa naomba mtusaidie mlipitia katika wakati kama huu?
Muda mwingine huwa namwambia Mungu mapenzi ya kweli yale ya wazazi wetu yako wapi? Kiukweli vijana wa kiume tunapitia wakati mgumu sana pindi unapomtafuta binti wa kuwa nae kimaisha.

Naamin sipo mwenyewe, tusaidiane kwa ushauri na kufarijiana.
Ni zamu yenu sasa
 
achana nae bro hapo hamna mapenz ni unaforce tu na kinachokukwamisha ni uwoga wa kumpata mwingne ...trust me kuna alot of girls out there who deserve u ....chuo tunagongana sana so hamna kitu apo akienda chuo ndo bas chakula chetu cc twala tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom