true true..kazi kwakeUshauri mzuri huo,...aufanyie kazi
..umenifungua macho ya Rohoni Mama,..Pole,lakini ni vema ukaanza kujipenda mwenyewe kwanza. Ukatafua muda mzuri kwa ajili ya kujithamini,ukajitengea muda wa kujionaea hadhi ulio nayo wewe mwenyewe,tenga muda fikiria mabaya na magumu ulio pitia,then kuwa chanzo cha furaha yako wewe mwenyewe yaani usitake mpaka mtu fulani awepo ndio ufurahi.
Sisi wanawake tupo hivi, mwanaume usiempenda anapo kusumbua kwa chats,unaweza usimjibu on time,ukamjibu kwa ufupi au hata usijibu kabisa..mi kuna king'ang'anizi mmoja hivo hivo kila akinipigia namwambia nina usingizi nataka kulala hata kama saa saba mchana (lakini yeye nilimuweka wazi,tuvunje mahusiano).
So nachokushauri hapa kaka angu,kwanza muite uongee nae face to face ili kama kuna tatizo akuambie,mpe option hii (kama anahisi anahitaji nafasi ya kuwa mbali na wewe,mpeane break au mu break up kabisa basi asisite kukuambia,sio kwa muda huo mlio wote bali hata baadae kwa simu) ni vizuri awe mkweli kwako. Akishindwa kurekebishika kaka punguza mawasiliano nae take your time sio kila demu mkali wa kuoa kaka angu...
Hivi hizi tabia za kuumizana umiza jamani hamuoni kama ni za kitoto sana?
asante. Sio siri sipendi hizi post watu wanalalamika hivi na vile kuhusu mapenzi. Lazima mtu ujie thamani ako na uwe chanzo cha furaha yako mwenyewe,with or without anyone in your life...umenifungua macho ya Rohoni Mama,..
Una muda wa kutosha, ulimwengu wa mapenzi ya leo bado unatoa nasaha za hivyo kwa hawa raia wa mawigi na wapaka ina kwenye nywele na wanaume wavaa skinjeans, barikiwa sana.asante. Sio siri sipendi hizi post watu wanalalamika hivi na vile kuhusu mapenzi. Lazima mtu ujie thamani ako na uwe chanzo cha furaha yako mwenyewe,with or without anyone in your life.
Hayo pia ni mawazo yako kama nilivyotoa mawazo yako.Una muda wa kutosha, ulimwengu wa mapenzi ya leo bado unatoa nasaha za hivyo kwa hawa raia wa mawigi na wapaka ina kwenye nywele na wanaume wavaa skinjeans, barikiwa sana.
Ila am telling you the truth, jamaa anakiri umemfungua akili, lakini bado ni kipofu mbaya.
Hizi maniaje kwanza mwambie kabisa hazina single formula, alivyoburutwa na huyo akaburutika, sivyo atakavyoburutwa na Rose au Amina. Apambane na hali anayokutana nayo, kuliko kuja kulia lia humu.
Imeandikwa Mwanaume aishi na mwanamke kwa akili. Ukiona hivyo jua hana akili narudia tena we jamaa huna akili.
Well said!Hayo pia ni mawazo yako kama nilivyotoa mawazo yako.
Mapenzi hayana formula lakii **** formula za kukuwezesha ukaishi katika mapenzi aje amina,Rose au chausiku.
YOu judge my time,what about yours dear timekeeper??
Wewe hujawahi kuumizwa?Well said!
Wewe umewahi kuumizwa?
And that is what we call "your nature" or "identity" huyo jamaa pamoja na ushauri atakaoupata humu kama hajajua utambulisho wake, akawa ni mtu wa kufake vitu na kuficha uhalisia wake hasitegemee kuacha kuumizwa na anayokutana nayo.Hayo pia ni mawazo yako kama nilivyotoa mawazo yako.
Mapenzi hayana formula lakini kuna formula za kukuwezesha ukaishi katika mapenzi aje amina,Rose au chausiku.
YOu judge my time,what about yours dear timekeeper??
Bravo! Laquito Jefe.Kwanza,
Kuanzia leo, fungua macho; mapenzi ni burudani. Sio maisha.
Pili, kupona ktk dimbwi hili la sasa, fuata step hizi:
1. Kata tamaa kabisa. Usijipe matumaini ya kumpata mwingine. Futa kabisa akilini kuwa kuna uliyeumbiwa.
2. Jipe likizo ndeeefu ya kuwa single. Hakikisha una-enjoy mpaka ujione fala kipindi kilichopita. Kumbuka, acha kujipa another chance in love.
3. Ingia katika thread za hapa MMU zenye watu kuumizwa, halafu imagine ni wewe. Hasira zikipanda, endelea kuzipandisha.
4. Usipokee simu kama huna uhakika utaweza kuongea kibandidu. Better say nothing, than losing yourself.
5. Let the pain sink in. Usijibane usiisikie. Let it in; b'coz when it gets intense enough, you body will shutdown love department. The body always tries to protect itself when things go wrong.
Kumbuka, usipunguze maumivu ya moto wa zamani kwa kunawia petrol. Usimtumie mtu kukupooza.
Kwani amemention any where about being fake? Mapenzi uwe fake or real lazima yakuumize muulize wolper na u fake wake bado anaachwa. We mwenyewe unaweza kuwa real yet ushapitia magumu yako.And that is what we call "your nature" or "identity" huyo jamaa pamoja na ushauri atakaoupata humu kama hajajua utambulisho wake, akawa ni mtu wa kufake vitu na kuficha uhalisia wake hasitegemee kuacha kuumizwa na anayokutana nayo.
I do judge your time, sababu inaonesha wazi na wewe unakerwa na sampuli za watu wa aina hiyo ila bado unang'ang'ana nao ili hali ukijua tatizo lao lipo wapi,
Nature ain't lie.