moyo wangu una huzuni kiasi cha kufa

Mwenyeezi Mungu atamuafu na Mwenyeezi Mungu atakupa moyo wa imani na kuzidi kumuangalia, Waislaam tunaamini, Pepo zetu zipo kwenye nyayo za mama zetu, kwa maana tuwanyenyekee kwa hali na mali na maneno mazuri.

Chukulia kipindi hiki ni muafaka kwa kumuonesha mama mapenzi yako yote na umuangalie kwa kila kinachobidi bila kuulizwa, kukumbushwa wala kusita. Poleni sana kwa kuuguliwa.
 
najua una uchungu sana juu ya kuuguliwana mama..pole sana sana ....pole...

ulichokosea ni kimoja tu katika ujumbe huu...kwa kuwa mama yu hai anapigana anafight ili arudi katika hali yake ya kawaida.....kufaight huko ndo anajitahidi kuufix moyo wako......bado anaendelea kuufix nami ninaamini katika jina la YESU wa NAZARETH ataufix moyo wako........ujumbe wako umelalia kwenye hitimisho....sio nzuri sana!!

jipe moyo kuwa na moyo mkuu nawe utashinda......wewe ukikata tamaa sasa hivi sasa mama afanyeje?! tulia pigana na ujue mama anakupenda sana..Mungu akupe nguvu na ninamuombea mama apone....
 
Oh pole sana, mungu atampa uzima na afya njema....sema; ameen.

Mwenyezi mungu mponyeshe mama yake smile, mjalie awe ana afya njema, na mjalie awe na umri mrefu katika maisha yake...sema; ameen.
 
Kwa uwezo wa Allah, muumba wa vyote, tunamuombea mama yako apate nafuu na kuwa na afya njema.
 
Pole sana Smile, Mungu mwema amponye haraka na awape nguvu ya kumuhudumia kipindi hiki cha ugonjwa.


 
Pole Smile, usikate tamaa hata kidogo! Wewe endelea tu kumwombea apone na atapona kadiri ya mapenzi ya Mwenyezi Mungu. Nasi tutamkumbuka katika maombi yetu maana Mungu wetu ni mwema sana husikia maombi ya waja wake. Uwe na imani.
 
kuwa na nguvu, jipe moyo, coz mama yako sasa hivi anakuhitaji sana uwe strong kwa sababu yake, tunakuombea mama apate nafuu mapema, pole sana smile
 
Smile!

Dont give-up, keep holding dear and everything will gona be fine. ''God accept even the broken heart regards he get all peaces, you will be fine and Mama will get well soon'' I'm praying for you!
 
Naelewa wht u r going through, pole sana namuomba Mungu akupe nguvu na courage, na pia amponye Mama na ampe strength ya kutokata tamaa na amtendee na kumpa neema ya uponyaji. Take heart
 
Pole kwa kuuguliwa Smile. Keep smiling coz there is a super power taking care of everything.
 
Pole smile na mpe pole mgonjwa...Natumai Mungu atakupa nguvu za kusimama imara ili uweze kumuuguza mama. Unahitaji courage ambayo pia itamsaidia mgonjwa. Be strong dada yangu!!

Babu DC!!
 
43153.jpg



dear mother,sweet mother please fight for me
dear friends mama yangu anaumwa saaaaaana please muombeen
i.

pole sana smile. Mungu na amponye mama.
 
Pole sana Smile, Just be strong and help her whatever she needs. Mimi na marafiki zangu tuko nawewe kumuombea apone haraka na wewe upate amani ya moyo mpendwa. Get well soon mama yetu mpendwa!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom