moyo wangu una huzuni kiasi cha kufa

pole sana mamie, mungu na akutie nguvu ktkt kipindi hiki kigumu kwako.
tupo pamoja kwa sala smile, mama will get well soon.
 
43153.jpg
dear mother,sweet mother please fight for me
dear friends mama yangu anaumwa saaaaaana please muombeeni.
Pole sana my dear friend we are still together in prayers and i believe God will be with her and ndiye mponyaji
 
asanteni jamani hadi nimechoka
Usichoke.............. huu ndo muda mzuri sana wa kuwa karibu na Mungu na kumweleza kila unachokihitaji na kumkumbusha promises zake kwako............... I am telling you, it works!
 
Mungu wetu ni mwema sana,usikate tamaa.Sikio lake si zito hata asiweze kusikia,na mkono wake si mfupi asiweze kugusa pale kwenye hitaji.I wish her a quick recovery,keep faith my dear.
 
Usijali my dia. Nitamueombea mama yako na nina uhakika kwa nguvu za Mwneyezi Mungu atapona. usijali my dia niko pamoja nawe katika shida na raha
 
Maana kwa kupigwa kwake sis tumepona

... Alikuja ili tuwe na uzima kisha tuwe nao tele

Hakuna lisilowezekana kwake yeye aaminiye


Mungu akubariki na kwa imani yako amini Kuwa MUngu anaangalia Neno lake na Mapeni yake yatimizwe, ila ubarikiwe na Mistari hiyo hapo juu, ipo nguvu ya uponyaji katika Jina la Yesu. AMINI na ITAKUWA
 
Smile elekeza maombi yako kwa mwenyezi mungu kwani yeye ni muweza wa kila jambo..
na si mapenzi ya Mungu kwa mama yako kuendelea kuwa mgonjwa mpaka sasa.
Mapenzi ya Mungu siku zote ni kuponya
Smile amini kwa utukufu wa mwenyezi mungu ataenda kutenda miujiza juu ya afya ya mama.
 
A Great heart Breaker is A Great heart Meander, just find the right price for the fees....:eyebrows:


Smiles naomba nikiri kua nilisoma bandiko lako kubwa lakini sikuona hayo maneno madogo.... Ulikosea sehemu ya kupost mdogo wangu, na ndio maana nimemuomba Roulette ahamishie hii kitu MMU for ndio mahala pake. I thot you had posted a Chit Chatting post.... I AM HUMBLY SORRY.

I think I have an Idea for what you are going thru thou ni wewe pekee unaelewa to what extent. Kumuuguza mama inahitaji uwe strong (it is not easy I know); But usioneshe kua hali yake mbaya yakutetelesha.... It will make her weaker. Nakutakieni kila la Kheri na Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema amuwekee wepesi na apone mapema.

Pamoja Saana.

AshaDii.
 
leo mmnenibariki sana wote mliotoa salamu zenu kwa Smile........ nitaongea siku nyingine pia kuhusu hili.... mbarikiwe sana wapendwa
 
Pole smile.
Kumbuka maneno haya ya Mfalme Daudi Zaburi ya 118: 17-21

17. Sitakufa, bali nitaishi, na kusimulia matendo ya Mwenyezi-Mungu. 18. Mwenyezi-Mungu ameniadhibu sana, lakini hakuniacha nife. 19. Nifungulie milango ya watu waadilifu, niingie na kumshukuru Mwenyezi-Mungu! 20. Huu ndio mlango wa Mwenyezi-Mungu, watu waadilifu watapitia humo. 21. Nakushukuru, ee Mungu kwa kunijibu; kwa sababu wewe ni wokovu wangu.
 
Pole sana Smile Mungu ni mwema hatokuacha maana anajua haja ya moyo wako.
 
Pole sana Smile.
Mungu ni mkubw ana muweza wa kumponya mama.
Jipe nguvu ili umpe nguvu mama. Upendo wako kwake ni sehemu ya tiba.
Mungu amjalie apone haraka.
 
pole smile,mwenyezi mungu muweza wa yote atamponya mama,tena haraka kuliko tunavyotarajia.All you have to do is pray and believe, na tuko pamoja kwenye ilo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom