duu kumbe ndo hivyo..Unachota Moyo wa snowhite Vs unachotaka Moyo wa Boflo. Bofloooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!View attachment 88448 Sikonge pia sichezi mbali na Boflo inapokuja kilichopo ndani ya Moyo. Au siyo KIKUNGU?![]()
This is very true, it is exactly like that in My heart, MadameX, Preta,Cute, Mamaa Erotica you are always on ma mind.Swadaka Mkuu Cathode Rays.
![]()
Angalia vizuri bana utaelewa tu. Hadi utafuniwe kila kitu?
Mwisiane mwisiane wakaninunia guku eti nidwishaga mtondolo gwa mafi mwisiane...
Swadaka Mkuu Cathode Rays.
![]()
mmeanza na lugha zenu za ugoko!ah
ahahahhahahha nyie si wajanja na hii iwekeni kinyamwezi sasa !Guku, nkukwandikila PM.
we tena usitukumbushe machungu!
kitendo alichofanya mkusanya zaka wetu Asprin wala sitaki kukikumbuka!
af best kwanini wakata mwana wa adamu asilale kwa amani!