Angalia vizuri bana utaelewa tu. Hadi utafuniwe kila kitu?
mimi nimeangalia nimeona ngamia........
Preta,
Inawezekana kabisa ukaona Ngamia maana kama sumaku ilivyo, pande zilizosawa, zinafukuzana kabisa badala ya kuvutana. Kwa hiyo, kuna mambo mengine utakuwa huyaelewi hadi uwe Mwanaume. Ngoja nikusaidie zaidi.....
![]()
Ukitaka kuelewa zaidi, tembelea hapa na uangalie palipoandikwa HEART: Types of bums » other » picblow
Kaunga kakako anapiga chini ya belt ujue!lol!:nono::nono:Unachota Moyo wa snowhite Vs unachotaka Moyo wa Boflo.
Bofloooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!
![]()
View attachment 88448 Sikonge pia sichezi mbali na Boflo inapokuja kilichopo ndani ya Moyo. Au siyo KIKUNGU?
ahahahahahha unachekeleeeea!
af Sikonge walahi ntakulipa!
Kaunga kakako anapiga chini ya belt ujue!lol!:nono::nono:
ahahahahahhaha nilielewa sana!Hee, vipi tena Snowhite, mie nilikuwa nakusifia jamani kuwa Moyo wako unataka LOVE ila wa mdogo wangu Boflo yeye unataka WOWOWO kama nduguye Rashid Washokera.
Kwani Moyo si ni alama ya LOVE? Ila ukiugeuza Moyo ndiyo hapo matatizo yanaanza. Hapa anatakiwa alalamike Boflo. Au labda na wewe mtani wetu siku hizi unapenda kuangalia nyuma akina Wema Sepetu wakipita.
![]()
![]()
Anyway, ngoja nisubiri KISASI chako maana inaweza kuwa NEEMA kwangu Mnyamwezi, au siyo Dada Kaunga?
Mkuu Sikonge,
Is this what a "woman want" VS what a "man want"???....cheupe chekundu!!!!
[/QUOTE Cathode Rays hata wewe?ahahahahahha siamini macho yangu
kweli leo nimesalitiwa na watu nilikuwa nawaamini sana!lol!
ahahahahahhaha nilielewa sana!
tatizo Boflo ulivomuwekea hiyo picha ya puto ndo ukamuharibu kabisa akili!
hapa kuna mipm kama 200 hv anasema eti we umekuwa nabii @skionge umeoteshwa ndoto yake!
ahahahahhaha kwa hiyo umenisababishi balaa tu hapa bado hajaja kakako KIKUNGU na Eiyer sasa wataaacha kujadili la msingi na la sekodari hapa watabaki kujadili mada!
hapo bado hajaja yule mwingine yule mzee wa mmmmmhhhhhhhh! (unamjua)
ah!hunitakii mema mnyamwezi weye lo!
Mkuu Sikonge,
Is this what a "woman want" VS what a "man want"???....cheupe chekundu!!!!
[/QUOTE Cathode Rays hata wewe?ahahahahahha siamini macho yangu
kweli leo nimesalitiwa na watu nilikuwa nawaamini sana!lol!
Hhaaaa, sijakusaliti my dear,
Yaani nilitaka Sikonge anifafanulie vizuri ili sasa nianze kumbana kwenye angle anieleze vizuri hajaona wengine wa kuchokoza zaidi ya mlezi wangu??
Hhaaaa, sijakusaliti my dear,
Yaani nilitaka Sikonge anifafanulie vizuri ili sasa nianze kumbana kwenye angle anieleze vizuri hajaona wengine wa kuchokoza zaidi ya mlezi wangu??
ndo na mi nikashangaa!
haya mi nakaa kimya umbane huyu mnyamwezi mpka aseme kisa na maana!