Moyo unauma, nahitaji ushauri wenu wana JF wenzangu

Moyo unauma, nahitaji ushauri wenu wana JF wenzangu

Hahah 😃😃😃 jamaa mbona kama amekata tamaa.
Mi namshauri asirudie tena kusomesha mwanamke hasa kabla ya ndoa 💍💍
Hahaha hakumsomesha bana, kasema tu alikuwa anaprovide pocket money
 
Ahhaha bora hata hawa mdada yupo shule, usugu wao unamake sense

Ila usifanye utani kuachana na mtu bana mmh

Yaaa kuachana kusikie tu kwa kweli

Ila hapo hakuna cha make sense wala nini, hata kama wataendelea jamaa atakuja kulia tu over time, kama anachokisema ni kweli basi huyo msichana yupo kwa jamaa kimaslahi zaidi (shule) ila kumoyo yupo na ex wake, akimaliza shule na mambo fulani kuwa mazuri jamaa ataisoma namba amini usiamini
 
Kuchukua maamuzi magumu mchezo, hapo alishainvest vya kutosha tu, akikumbuka ndo anaishiwa nguvu kabisaaa!!

Halafu yale yale ya uchumba sugu, 4 years!!!!???

cc sumbai

Labda alikuwa anamsubiri amalize shule ndiyo sababu boss..

Ila bora kwamba imemsaidia kumuelewa mke wake mtarajiwa..

Kazi ni kwake kufanya maamuzi sahihi ya kudumu!
 
Yaaa kuachana kusikie tu kwa kweli

Ila hapo hakuna cha make sense wala nini, hata kama wataendelea jamaa atakuja kulia tu over time, kama anachokisema ni kweli basi huyo msichana yupo kwa jamaa kimaslahi zaidi (shule) ila kumoyo yupo na ex wake, akimaliza shule na mambo fulani kuwa mazuri jamaa ataisoma namba amini usiamini
Jamani my kaka hawa walikuwa na excuse ya kutokuoana coz binti bado yupo masomoni. Sio wale ambao wanafubaza tu vibinti vya watu
 
Chuo kikuu wanazuia watu kuoana sista? au mi ndo sielewi
Sio wote watakaokuwa tayari kuolewa while bado wapo chuoni tena level ya chini. Mimi mwenyewe dada ako nisingekubali kuolewa chuoni
 
Sio wote watakaokuwa tayari kuolewa while bado wapo chuoni tena level ya chini. Mimi mwenyewe dada ako nisingekubali kuolewa chuoni

Mmh haya bwana

Ni kweli wengi wenu mnakuwaga na mawazo kama yako, Ila mi nadhani mnakosea. Level ya chuo kikuu hata kama bado uko mwaka wa kwanza ni muda muafaka tu wa kuolewa kama ukimpata anayemaanisha na mnapendana. Muhimu ni kuelewana na mwenzio msizae kwanza ili upate muda mzuri wa kutosha kwenye masomo. Wengi wanapomaliza chuo relationships zinakufaga au zinakuwa very weak, na huishia kuanzisha mahusiano mapya na mtu mpya huko aendako. Umri na presha za kupata kazi nazo ndo zinaongezeaga stress kwa wadada wanabaki kuvamia vamia tu na kuishia kulizwa daily.

Any way it's my observation
 
Kweli Inawezekana hivyo, but mimi kama mimi kuolewa kwa chuoni hata kuwaza tu sikuwaza. Naolewa afu huko kwa mume naenda na notice zangu tu ama? Labda kama ningekuwa chuoni afu ni in-service hapo sawa. Kuolewa huku goal keeper nilishakataa afu hata wazazi wangu wangenishangaa jamani, chuoni mweee
 
Hahaaa ujue mawazo yako yananikumbusha enzi hizooooo, yaani ndo mawazo yenu karibia wote mnawazaga hivyo hivyo!! hapo kwa blue
Hivi ukishaolewa ndo kazi hupani tena au?
Hivi mnadhani tunawaoa huku tukitegemea mje na nini labda? unless sikukuelewa vizuri hapo kwa red

Yaani kwa mtazamo wangu naonaga kama mnapotezaga sana opportunity kipindi hicho. For your information hiki ndo kipindi tunawaonaga mnaringa balaaa!! Sema mnakujaga kustuka mko mtaani, mtu kaishachoka, kazi haisomi, mchumba mshapigana chini, umri unasonga, yaani ni stress mtindo mmoja.

Kifupi hadi leo naamini mnakoseaga sana sana kuachia mifursa ya chuo.
 
UPDATES
Hiv navoongea wana jf yupo njian anakuja DOM kuniona nimemkataza kuja ila analazimisha!! Nimemwambia hata akija hawezi badilisha kitu chochote!!!
Ni binti nilompenda SANA nae alinipenda pia kiasi cha kuwa kwe mahusiano miaka mi4 sasa bila kusalitiana!nilikuwa msaada mkubwa sana kwake tangu alipokuwa akiishi kwenye maisha ya shida,mateso kutoka kwa mama yake wa kambo!nilikuwa mchango mkubwa sana kwake katika suala la elimu tangu amalize kidato cha sita mpaka sasa yupo chuo.Nilifanya jitihada sana kumtafutia chuo alipomaliza kidato cha sita akapata chuo MBEYA alifanikiwa kumaliza diploma nikaendelea kumpigania aendelee kusoma degree nilimuombea mkopo na kufanikiwa kupata(90%) chuo alipata MOROGORO!

Alipofika chuo alipanga chumba nje ya chuo ili apunguze gharama za maisha bahati mbaya mizigo yake aliiacha MBEYA alipokuwa akisoma diploma kwa rafiki yake wa kiume ambae sikujua kuwa alikuwa ni mpenzi wake wa zamani japo waliachana kipindi wapo kidato cha tano!Jamaa alipanga nae kumtumia mizigo yake kutoka mbeya kumpelekea morogoro anaposoma!na wakati wote huo alikuwa akiniambia kuhusu hio mizigo kumuachia huyo rafiki yake!Kumbe jamaa nae alipangiwa chuo hicho hicho anosoma mpenzi wangu japo yeye alikuwa anachukua masters!

hivo ikabidi mizigo asafiri nayo hadi MOROGORO kumpelekea!jamaa alipofika na mizigo aliipeleka chumban kwa mpenzi wangu sikujua kuwa jamaa kalala siku mbili chumba kimoja na mpenzi wangu bila hata ya kuniambia kuwa jamaa kafikia kwake!Juzi niliamua kumpigia mpenzi wangu kumwambia kuwa ntaenda kumtembelea japo alikubali ila alileta sababu kibao kuwa na kazi za chuo nyingi aloachiwa!

Wakati huo huo nadhan alimwambia jamaa kuwa nategemea kwenda ikabidi jamaa anipigie simu anielezee kila kitu nadhan sababu alishazoea kuwa nae pale ndani wivu ulimuingia ikabidi aniambie!Sikutaka kuamini maneno ya jamaa ikabidi nichunguze kwa kumpigia simu mpenzi wangu kumuuliza yupo wapi akanambia yupo nyumbani peke yake kumbe alikuwa na jamaa, kwani pia nilimpigia jamaa na kumwambia amuongeleshee mpenzi wangu ili nisikie sauti yake ni kweli kuwa jamaa alikuwa akishinda na kula pale kwa mpenzi wangu mda wote tangu afike morogoro bila ya mpenzi wangu kuniambia!

Alipoona nimegundua ikabidi anipigie simu na kuomba sana msamaha na kunieleza kuwa jamaa hakuwa na pakulala ikabidi ampe hifadhi kwa siku mbili yeye alikuwa akilala godoro la chini jamaa akilala kitandan tofauti na alivyoniambia jamaa kuwa walikuwa wakilala kitanda kimoja!
Niliumia sana kwanin anifiche kwa mda wote huo asiniambie kuwa ni mpenzi wake wa zaman na kwanin amruhusu jamaa alale chumbani kwake wakati ana rafiki zake kibao wa kiume wanaishi ndan ya hostel za chuo angeenda kumuombea pakulala!,na anavyodai hawakufanya chochote kwani jamaa alikuwa anamlazimisha sana warudiane ila alikataa sana pia alikuwa kwenye siku zake!!amelia sana nakuniomba msamaha kwa kutokuniambia ukweli ilibidi nimuulize kwanin aliamua kunificha akanambia aliona vibaya kuniambia kwani yule ni rafiki yake pia ni ujinga wake umemponza!

Mpaka sasa nipo kwe wakati mgumu katumia mpaka rafiki zake kumuombea msamaha anataka mpaka kuja dodoma kuniona ili anielezee kila kitu lakini moyo wangu unasita sana! Nilimuamini sana wala sikutaka kumbana nani wa kuwa nae rafiki lakini leo hii kweli analaa chumba kimoja na mpenzi wake wa zaman siamini kuwa hamna kitu walofanya!

Ushauri wenu wana jf wenzangu nifanyeje?

Sikia wewe! acha ufala usiwe ----- kiivo bhana. hivi hicho kitendo ni cha kuomba ushauri kweli? huyo ni malaya hakufai piga chini fasfa wala usisubiri. tafuta mwingine anaekufaa. ukijifariji eti uendelee kuwa nae iko siku utalia machozi na kusaga meno. wanawake ni watu katili sana duniani usiwaamini hata sekunde
 
Hahaaa ujue mawazo yako yananikumbusha enzi hizooooo, yaani ndo mawazo yenu karibia wote mnawazaga hivyo hivyo!! hapo kwa blue
Hivi ukishaolewa ndo kazi hupani tena au?
Hivi mnadhani tunawaoa huku tukitegemea mje na nini labda? unless sikukuelewa vizuri hapo kwa red

Yaani kwa mtazamo wangu naonaga kama mnapotezaga sana opportunity kipindi hicho. For your information hiki ndo kipindi tunawaonaga mnaringa balaaa!! Sema mnakujaga kustuka mko mtaani, mtu kaishachoka, kazi haisomi, mchumba mshapigana chini, umri unasonga, yaani ni stress mtindo mmoja.

Kifupi hadi leo naamini mnakoseaga sana sana kuachia mifursa ya chuo.
My kaka ujue binti kabla hajaolewa, huo ndo muda wake muafaka wa kujitengeneza the kind of person anayewish kuwa, ndo muda wa kutimiza ndoto zake yeye kama yeye coz ukishaolewa mara nyingi unaanza kuishi ile "vision" ya mume wako. Sasa before that poor idiot finds me, basi niwe at least nimetimiza some of malengo yangu, nimejibrand in a certain way kwamba she is A, B, C

Afu na nyie kwa masimango tu hamjambo, unioe leo goal keeper kesho uanze kunichamba " nilikukuta umepauka " , "I made who you are today". So I just wanna validate my existence, before any man does it for me. And trust me sijamiss any opportunity till now
Hahaaa ujue mawazo yako yananikumbusha enzi hizooooo, yaani ndo mawazo yenu karibia wote mnawazaga hivyo hivyo!! hapo kwa blue
Hivi ukishaolewa ndo kazi hupani tena au?
Hivi mnadhani tunawaoa huku tukitegemea mje na nini labda? unless sikukuelewa vizuri hapo kwa red

Yaani kwa mtazamo wangu naonaga kama mnapotezaga sana opportunity kipindi hicho. For your information hiki ndo kipindi tunawaonaga mnaringa balaaa!! Sema mnakujaga kustuka mko mtaani, mtu kaishachoka, kazi haisomi, mchumba mshapigana chini, umri unasonga, yaani ni stress mtindo mmoja.

Kifupi hadi leo naamini mnakoseaga sana sana kuachia mifursa ya chuo.
 
Huhitaji ushauri.Kwa akili za kawaida huwezi kufanya hivyo halafu utegemee kuendelea kuaminika.jst simple logic.assume umemsamehe je itatokea siku ukamwamwini?answer is no.haitatokea na kila siku utakua unawasiwasi kuwa anakucheat.u beta continue with another life.hapo jst close the doors
 
My kaka ujue binti kabla hajaolewa, huo ndo muda wake muafaka wa kujitengeneza the kind of person anayewish kuwa, ndo muda wa kutimiza ndoto zake yeye kama yeye coz ukishaolewa mara nyingi unaanza kuishi ile "vision" ya mume wako. Sasa before that idiot finds me, basi niwe at least nimetimiza some of malengo yangu, nimejibrand in a certain way kwamba she is A, B, C

Afu na nyie kwa masimango tu hamjambo, unioe leo goal keeper kesho uanze kunichamba " nilikukuta umepauka " , "I made who you are today". So I just wanna validate my existence, before any man does it for me. And trust me sijamiss any opportunity till now

Basi haya sista, umejibu kisomi zaid, ila nimekuelewa anyway. Haya maisha bana kila mtu anayawaza kivyake, mwisho wa siku kufika unapolenga ndo la msingi
 
Aah huo ndo ukweli babu yangu. Usifanye utani na kufanya maamuzi magumu

hakuna ugumu wowote sema tu ni kujidekeza. Mm niliwahi kuletewa ushenzy na bint mmoja. Baada ya kugundua kila nikimuuliza analeta sababu za kitoto nikaona isiwe kesi.

Nikaanzisha mahusiano mengne pasipo yeye kujua nikaenda kutoa mahali kwa huyo mpya bila yeye kujua nikamuweka ndan huku yeye nikimpa promis za kuwa ntakuja kujitambulisha kwenu.

Siku zikaenda mpaka mamaa kajifungua huko yeye anazidi kuwaambia wazaz wake nina mchumba anakuja kujitambulisha.
Kila akinitaka nipange tareh ya kwenda nikawa nampiga chenga mpaka siku anakuja kujua kuwa nilishaoa mm tayar mke wangu ana mtoto wa miez mitatu. Akaishia kulia tu. Nilimwambia neno moja tu.. Ulijifanya unajua sana kuliko mm lakn hukujua kuwa nilikuwa nakuangalia tu..

Wanawake wanaojifanya wao wajanja dawa yao ndogo sana.
 
Back
Top Bottom