Moyo unauma, nahitaji ushauri wenu wana JF wenzangu

Unajua haya mambo bana hayaelewek anaweza akaja MTU hapa akakushaur uachane nae kwasababu kadhaa na ww baada ya week moja msharudiana...
Sikia, kama unampenda endelea nae na kama haumpend achana nae..
Kila mtu anakasoro zake... Jrb kumshape anaweza badilika
 
Simchongelei mwanamke mwenzangu ila kitendo cha kulala na mwanaume huyo room moja hata kama alikuwa kwenye siku zake ni kukosa heshima.kwa nn hakumlipia gest? Hata akiwa kwenye red sea automatically walikiss waliiiiiii yule akamaliza anyway fata roho yako inapenda.
 
Kwa ufupi akufai kabisa yani ulivyomsaidia hivyo bado anafanya ujinga tena bado anakudanganya eti yeye alilala chini akamuachia kitanda jamaa mara alikuwa kwenye siku zake yani maneno mengi ya uongo...kwanza kitendo cha kukubari alale chumbani kwake tafsiri ni kwamba huyo ndie anampenda wewe ni buzi tu la kuchuna akimaliza chuo akapata kazi yake anakumwaga rasimi...Tumia Magufuri sitari
 
Yaan huwa napatwa na hasira zaid ya muhusika,piga chini huyo Malaya we were unangoja nini.......?
 
mabinti wengi wa siku hizi wapo hivo, yaan waongo waongo, malaya malaya. Ninavyofikira mimi huenda wanaume ndo waliowafundisha wanawake/mabinti kuwa waongo maana wanaume ndo waliouanzisha uongo na ndo waliokubuhu kwa uongo. Kwa kuwa sasa wanawake wanadai haki sawa, ndo inakuwa tit 4 tat!
 
UPDATES
Hiv navoongea wana jf yupo njian anakuja DOM kuniona nimemkataza kuja ila analazimisha!! Nimemwambia hata akija hawezi badilisha kitu chochote!!!
Ni binti nilompenda SANA nae alinipenda pia kiasi cha kuwa kwe mahusiano miaka mi4 sasa bila kusalitiana!nilikuwa msaada mkubwa sana kwake tangu alipokuwa akiishi kwenye maisha ya shida,mateso kutoka kwa mama yake wa kambo!nilikuwa mchango mkubwa sana kwake katika suala la elimu tangu amalize kidato cha sita mpaka sasa yupo chuo.Nilifanya jitihada sana kumtafutia chuo alipomaliza kidato cha sita akapata chuo MBEYA alifanikiwa kumaliza diploma nikaendelea kumpigania aendelee kusoma degree nilimuombea mkopo na kufanikiwa kupata(90%) chuo alipata MOROGORO!

Alipofika chuo alipanga chumba nje ya chuo ili apunguze gharama za maisha bahati mbaya mizigo yake aliiacha MBEYA alipokuwa akisoma diploma kwa rafiki yake wa kiume ambae sikujua kuwa alikuwa ni mpenzi wake wa zamani japo waliachana kipindi wapo kidato cha tano!Jamaa alipanga nae kumtumia mizigo yake kutoka mbeya kumpelekea morogoro anaposoma!na wakati wote huo alikuwa akiniambia kuhusu hio mizigo kumuachia huyo rafiki yake!Kumbe jamaa nae alipangiwa chuo hicho hicho anosoma mpenzi wangu japo yeye alikuwa anachukua masters!

hivo ikabidi mizigo asafiri nayo hadi MOROGORO kumpelekea!jamaa alipofika na mizigo aliipeleka chumban kwa mpenzi wangu sikujua kuwa jamaa kalala siku mbili chumba kimoja na mpenzi wangu bila hata ya kuniambia kuwa jamaa kafikia kwake!Juzi niliamua kumpigia mpenzi wangu kumwambia kuwa ntaenda kumtembelea japo alikubali ila alileta sababu kibao kuwa na kazi za chuo nyingi aloachiwa!

Wakati huo huo nadhan alimwambia jamaa kuwa nategemea kwenda ikabidi jamaa anipigie simu anielezee kila kitu nadhan sababu alishazoea kuwa nae pale ndani wivu ulimuingia ikabidi aniambie!Sikutaka kuamini maneno ya jamaa ikabidi nichunguze kwa kumpigia simu mpenzi wangu kumuuliza yupo wapi akanambia yupo nyumbani peke yake kumbe alikuwa na jamaa, kwani pia nilimpigia jamaa na kumwambia amuongeleshee mpenzi wangu ili nisikie sauti yake ni kweli kuwa jamaa alikuwa akishinda na kula pale kwa mpenzi wangu mda wote tangu afike morogoro bila ya mpenzi wangu kuniambia!

Alipoona nimegundua ikabidi anipigie simu na kuomba sana msamaha na kunieleza kuwa jamaa hakuwa na pakulala ikabidi ampe hifadhi kwa siku mbili yeye alikuwa akilala godoro la chini jamaa akilala kitandan tofauti na alivyoniambia jamaa kuwa walikuwa wakilala kitanda kimoja!
Niliumia sana kwanin anifiche kwa mda wote huo asiniambie kuwa ni mpenzi wake wa zaman na kwanin amruhusu jamaa alale chumbani kwake wakati ana rafiki zake kibao wa kiume wanaishi ndan ya hostel za chuo angeenda kumuombea pakulala!,na anavyodai hawakufanya chochote kwani jamaa alikuwa anamlazimisha sana warudiane ila alikataa sana pia alikuwa kwenye siku zake!!amelia sana nakuniomba msamaha kwa kutokuniambia ukweli ilibidi nimuulize kwanin aliamua kunificha akanambia aliona vibaya kuniambia kwani yule ni rafiki yake pia ni ujinga wake umemponza!

Mpaka sasa nipo kwe wakati mgumu katumia mpaka rafiki zake kumuombea msamaha anataka mpaka kuja dodoma kuniona ili anielezee kila kitu lakini moyo wangu unasita sana! Nilimuamini sana wala sikutaka kumbana nani wa kuwa nae rafiki lakini leo hii kweli analaa chumba kimoja na mpenzi wake wa zaman siamini kuwa hamna kitu walofanya!

Ushauri wenu wana jf wenzangu nifanyeje?
pole sana,mapenzi ndivyo yalivyo,karibu chama la mabachela kwa muda wakati ukiendelea kutafuta binti mwingine muadilifu,huyo hakufai kabisa achana naye
 
Ubongo wa chini huu unatupa tabu sana!!! Ma x kukumbushiana rahisi sana hasa pale wanapokuwa waliachana kwa bahati mbaya
 
Give yourself time brother mbaruck
Huyu mdada hayupo loyal....
Ogopa watu ambao hawapo loyal ni aina fulani ya red light....

Siezi kukushauri umuache lakini be cautious.... human being are capable of a lot..

Kama ana apologize jipe muda kisha mrudie kwa masharti yako..

Your world your rules son...maana hakuna jinsi..

I can't stand being cheated boss...

If I were you ningechapa rapa..
Lakini I can't advice you my morals and my ways!

Kila la heri!

ushauri mzuri sana,natamani nikufuate pm
 
Unajua haya mambo bana hayaelewek anaweza akaja MTU hapa akakushaur uachane nae kwasababu kadhaa na ww baada ya week moja msharudiana...
Sikia, kama unampenda endelea nae na kama haumpend achana nae..
Kila mtu anakasoro zake... Jrb kumshape anaweza badilika

Heh..labda akakae nae hapo hapo alipompangia. Otherwise,akubali Ku share hadi mdada amalize chuo.
 
W'wake wengne ucpowawekea mipaka ya kuendesha maisha yao na kuwafuatilia kwa karbu, hayo ndio matokeo yake. Anavyothan ww mtoto anakupa sababu za kitoto, eti yeye alikuwa analala chin mm juu kitandan, huyo amekuwa kaka yake?!? Usimvumilie kashakusaliti sn, km tunda lako jamaa kashakula sn mpk nahic kanogewa mazima..!!
 
Back
Top Bottom