md4doctor2000
JF-Expert Member
- Jun 19, 2012
- 736
- 315
Presha ya nini? Kwanini ukose raha? Kwanini uwe na mashaka? Hata ukimsamehe bado utakuwa na mashaka na wasiwasi! Walk away dude!
Kwanza inatakiwa atupe mrejesho jana alisema yupo njian anamfuata dom sasa msijekuwa mnajitafuna hapa kumbe mwenzen kalegezwa magot ameshasamehe.
Hadi umekuja kuomba ushauri humu ndani ni wazi kuwa hutaki kuchukua maamuzi magumu. Basi msamehe tu,
amsamehe tu han jinsi mapnz ni milima na mabonde bila hivo hakun mpnz
Huyo mwanamke hajatulia ndio maana ulivyomwambia unataka kwenda alianza kuleta vijisababu.
Inamaana asingekuwa huyo jamaa kukupa ukweli mpaka sasa usingejua lolote. Usiumize kichwa kwa mwanamke mpumbavu angalia maisha mengne mwache aendelee na huyo jamaa.
Anakufanya ww mtoto. Kama aliweza kumwonea huruma kumpa hifadhi nini kitazuia kumpa papuchi?
Tusubiri tu mrejesho wa walipofikia
Hahaha yote kheri tuww endelea kusubir lakn jamaa ndio hvyo kalegezewa sauti na macho jamaa hoi sasa hivi kapiga vyake tangu ile jana hasira zmeisha ameshahau kama hata alishapost huku jf.
Hahaha yote kheri tu
Aaah Vizuri zaidi ni wewe mwenyewe kwenda banaitabidi nikupe kazi ya kuzunguka vyuo vya moro kat ya Jordan ama sua ili unikamatie bhule
Huyo mwanamke hajatulia ndio maana ulivyomwambia unataka kwenda alianza kuleta vijisababu.
Inamaana asingekuwa huyo jamaa kukupa ukweli mpaka sasa usingejua lolote. Usiumize kichwa kwa mwanamke mpumbavu angalia maisha mengne mwache aendelee na huyo jamaa.
Anakufanya ww mtoto. Kama aliweza kumwonea huruma kumpa hifadhi nini kitazuia kumpa papuchi?
ushauri mzuri sana,natamani nikufuate pm
Mkuu four years michache saana, ha haaa haaa...mke mwanafunzi...
Mwenyewe inakaribia miaka hiyo alafu hata dalili sizion zakuoa...
Mkuu ndio ukweli....
Naona itafika miaka 7
Khaaaa miaka 7!!!!! acha hizo bana, kwani unaogopa nini hasa?