Moyo unauma, nahitaji ushauri wenu wana JF wenzangu

Moyo unauma, nahitaji ushauri wenu wana JF wenzangu

hakuna ugumu wowote sema tu ni kujidekeza. Mm niliwahi kuletewa ushenzy na bint mmoja. Baada ya kugundua kila nikimuuliza analeta sababu za kitoto nikaona isiwe kesi.

Nikaanzisha mahusiano mengne pasipo yeye kujua nikaenda kutoa mahali kwa huyo mpya bila yeye kujua nikamuweka ndan huku yeye nikimpa promis za kuwa ntakuja kujitambulisha kwenu.

Siku zikaenda mpaka mamaa kajifungua huko yeye anazidi kuwaambia wazaz wake nina mchumba anakuja kujitambulisha.
Kila akinitaka nipange tareh ya kwenda nikawa nampiga chenga mpaka siku anakuja kujua kuwa nilishaoa mm tayar mke wangu ana mtoto wa miez mitatu. Akaishia kulia tu. Nilimwambia neno moja tu.. Ulijifanya unajua sana kuliko mm lakn hukujua kuwa nilikuwa nakuangalia tu..

Wanawake wanaojifanya wao wajanja dawa yao ndogo sana.
Nachomaanisha ni kwamba Ukiona mtu anaomba ushauri kwamba amuache mtu wake au asimuache; au anaomba tu ushauri while situation inamruhusu kabisa kumpa mtu kibuti, ... basi jua mtu huyo hayupo tayari kuachana na mtu wake kwa wakati huo. Ukidhamiria kweli kumuacha mtu hata ushauri huombi aisee
 
Basi haya sista, umejibu kisomi zaid, ila nimekuelewa anyway. Haya maisha bana kila mtu anayawaza kivyake, mwisho wa siku kufika unapolenga ndo la msingi

Amen my kaka, teh ushanizoea na ubishi wangu
 
Amen my kaka, teh ushanizoea na ubishi wangu

No, siubishi wala sista, ni kwamba nimeelewa points zako na mimi nimekueleza za kwangu. After all "We Don't Need to Share the Same Opinions as Others, But We Need to be Respectful"
 
No, siubishi wala sista, ni kwamba nimeelewa points zako na mimi nimekueleza za kwangu. After all "We Don't Need to Share the Same Opinions as Others, But We Need to be Respectful"

Ndo maana nakupendaga tu bure
 
Hadi umekuja kuomba ushauri humu ndani ni wazi kuwa hutaki kuchukua maamuzi magumu. Basi msamehe tu,

Mkuu hao wamenjunjana tu..Hapo ni juu yako sasa kuamua kumsamehe mpnz wako au vipi

Sasa si ushukuru mungu umegundua leo?
je ungemuoa akakubambikia watoto je?

Jipe muda maumivu na hasira vipungue afu ufanye maamuzi, we binafsi ndio unayo maamuzi sahihi.... Pole

Kinachomsumbua huyu bwana sio kugongewa ila ni long history na huyo binti.

Machungu ya kugongewa inaonesha wazi kwamba hayajafua dafu kwa jinsi jamaa alivyo mgaramia, alivyojitoa kwa ajili ya binti....

Huu ni mtihani mkubwa saana,
 
Kuchukua maamuzi magumu mchezo, hapo alishainvest vya kutosha tu, akikumbuka ndo anaishiwa nguvu kabisaaa!!

Halafu yale yale ya uchumba sugu, 4 years!!!!???

cc sumbai

Mkuu four years michache saana, ha haaa haaa...mke mwanafunzi...

Mwenyewe inakaribia miaka hiyo alafu hata dalili sizion zakuoa...
 
Nachomaanisha ni kwamba Ukiona mtu anaomba ushauri kwamba amuache mtu wake au asimuache; au anaomba tu ushauri while situation inamruhusu kabisa kumpa mtu kibuti, ... basi jua mtu huyo hayupo tayari kuachana na mtu wake kwa wakati huo. Ukidhamiria kweli kumuacha mtu hata ushauri huombi aisee
word ila sometime anafikia hatua hio sababu ya investment alizofanya imagine four years halafu ndo unakuja kugundua kibuti sio rahisi hivyo
 
hapo umeshachukuliwa mali zako, Unatakiwa nawe uwale hao rafiki zake ili upoze hasira, yeye achana naye kabisa
 
Huo ni mchezo mchafu wa wanachuo wengi,km kwel unampenda kampime ngoma kisha samehe maisha yaendelee
 
word ila sometime anafikia hatua hio sababu ya investment alizofanya imagine four years halafu ndo unakuja kugundua kibuti sio rahisi hivyo

ww bint upo? Ulikuwa kimya sana mpaka nikajua umeshasombwa
 
hv viumbe haviaminiki mkuu. Unaweza kuvipa kila kitu mwisho wa siku ndo haya. Msamehe, usinune ili ajione amekosea sana atajirekebsha.
 
Ww mwenyewe unamtetea sasa tutakupa ushauli gan,? Amelala chin jamaa kitandani, amemulazimisha hawakufanya unahakili kweli, halafu ww mwenyewe tena unajihoji kwani asimuombee kwa marafiki zake wa kiume ili hali anao weng? Chukua hatua kaka, kama una msamehe poa ila ujuwe mzigo ulipakuliwa 100%endapo walilala chmba 1.
jamaa kaoza na kakamatika..hawezi kumuacha huyo.
 
Back
Top Bottom