Moyo unauma, nahitaji ushauri wenu wana JF wenzangu

Moyo unauma, nahitaji ushauri wenu wana JF wenzangu

Nachokiona hapa mkuu we ni dhaifu, wenzio vizuri huwa tunavipigania kwa gharama zozote zile, kwanza jiulize kwanini jamaa akakupigia simu kujinadi kuwa yuko na mpenzi wako!!?? hapo kumbuka " mti wenye matunda hupigwa mawe, na mwamba wenye madini hutinduliwa".

Mwache aje na msikilize pia, kuna mengi utayapata mkuu, na pia sio lazima watu kugegedana hata wakilala chumba kimoja ( lakini pia inawezekana ), hivyo basi jaribu kulitazama suala hili kwa mapana yake, nachokiona mimi ni huyo x wa gf wako ndo anayetaka kuharibu na sio mpenzi wako.

Pambana mkuu usimwache akuponyoke kienyeji kwani hujamfumania huyo mpenzio, za kuambiwa changanya na zako kisha jiongeze mbaruck
 
Last edited by a moderator:
Hilo tatizo nisha wahi pata unachopaswa n kuvutahewa taratiibu. Toa halafu vutata tena ila taratibu halafu utaona matokeo yake..
 
Acha akili za kivulana mjomba uvae uanaume piga chini ndo maaana vibinti vinawaletea dharau kwa sababu mnakosa maaamuzi ya kiume, huyo mwanamke wako siyo Jembe akili zake matope
 
Kwahiyo huyo jamaa mwenye kuchukua masters analilia penzi kiasi hicho?! halafu mkuu kuna huu msemo "MCHUMBA HASOMESHWI" jaribu kuuzingatia sana otherwise UTAKUJA KUJIUA.
Hizo hela unazompa kuanzia sasa sitisha mara moja na kama unazo nyingi sana basi fanya umjengee Mama yako japo kijifrem awe anapokea hela ya pango kila mwezi.

Jf kuna mambo et huo usemi wa mchumba asomeshwi ajarib kuuzingatia hah hah lool
 
Hahahah haijalishi wangapi my dear..... as long as unapata amani ya moyo.

Maisha yenyewe haya mara moja ya nini kuishi kwa maumivu???

Ujifunze kuwa unasamehe ha ha wanaume sie shetwain anatutesa
 
hakuna ugumu wowote sema tu ni kujidekeza. Mm niliwahi kuletewa ushenzy na bint mmoja. Baada ya kugundua kila nikimuuliza analeta sababu za kitoto nikaona isiwe kesi.

Nikaanzisha mahusiano mengne pasipo yeye kujua nikaenda kutoa mahali kwa huyo mpya bila yeye kujua nikamuweka ndan huku yeye nikimpa promis za kuwa ntakuja kujitambulisha kwenu.

Siku zikaenda mpaka mamaa kajifungua huko yeye anazidi kuwaambia wazaz wake nina mchumba anakuja kujitambulisha.
Kila akinitaka nipange tareh ya kwenda nikawa nampiga chenga mpaka siku anakuja kujua kuwa nilishaoa mm tayar mke wangu ana mtoto wa miez mitatu. Akaishia kulia tu. Nilimwambia neno moja tu.. Ulijifanya unajua sana kuliko mm lakn hukujua kuwa nilikuwa nakuangalia tu..

Wanawake wanaojifanya wao wajanja dawa yao ndogo sana.

Mmmh sasa huu ni ukatili kabisa
 
Kabla ya yote ukikosa kazi ya kufanya we msomeshe mwanamke !

Pili we ungeenda mwenyewe huko ukakutana nao wote wawili ili uongee nao face 2 face huenda ukaujua ukweli ila ukikubali aje huko atakubembeleza utakubali tu maana achana na kitu mapenzi bhna ....
 
Kwenye mapenzi kuna nguzo moja imara sana (UAMINIFU). Nguzo hii ikiingia Ufa au kuvunjika basi huwa hakuna tena amani na upendo. Jipime mwenyewe kwanza kama bado una imani na upendo wa mpenzi wako au la? na je utaweza kumuamini tena au la? Ukipata majibu ya mwaswali haya toa maamuzi yako. Jithamini mwenyewe coz you deserve the best and happiness in your life
 
mm nakushauri usimwache kwani wewe hujawahi kuchepuka?? iulize nafasi yako kama nn wewe ungekubali kuachwa huyo amekosea Lakini kumbuka hapa dukani unapotafuta mke au mume hutafuti malaika hivyo kaza moyo mwambie unajua alichofanya ,naamini hata y eye anajutia uamuzi wake,tusiwe wepesi wa kulaumu sana mana cjamwona msafi hapa
 
mm nakushauri usimwache kwani wewe hujawahi kuchepuka?? iulize nafsi yako kama nn wewe ungekubali kuachwa huyo amekosea Lakini kumbuka hapa duniani unapotafuta mke au mume hutafuti malaika hivyo kaza moyo mwambie unajua alichofanya ,naamini hata y eye anajutia uamuzi wake,tusiwe wepesi wa kulaumu sana mana cjamwona msafi hapa sisi wote tunakosea
 
Nachokiona hapa mkuu we ni dhaifu, wenzio vizuri huwa tunavipigania kwa gharama zozote zile, kwanza jiulize kwanini jamaa akakupigia simu kujinadi kuwa yuko na mpenzi wako!!?? hapo kumbuka " mti wenye matunda hupigwa mawe, na mwamba wenye madini hutinduliwa".

Mwache aje na msikilize pia, kuna mengi utayapata mkuu, na pia sio lazima watu kugegedana hata wakilala chumba kimoja ( lakini pia inawezekana ), hivyo basi jaribu kulitazama suala hili kwa mapana yake, nachokiona mimi ni huyo x wa gf wako ndo anayetaka kuharibu na sio mpenzi wako.

Pambana mkuu usimwache akuponyoke kienyeji kwani hujamfumania huyo mpenzio, za kuambiwa changanya na zako kisha jiongeze mbaruck

hahahahaaa!! Wanaume tumetofautiana, wapo anaochapiwa na hawajali, wapo wanaopigwa fix na wapenz wao lakn wanaona poa tu.

Hayo yako pia ni mawazo lakn hayana msingi bali ni kizembe
 
Last edited by a moderator:
Unataka ushauri gain sasa mwanamke kasheliwa tena umesibitishiwa kwa 100% km a upon tayari kuyapata maradhi ya bure mi nakushauri endelea tu kumpenda uyo dem ili ck nyngne uje na mwngne wa ugonjwa cc tukupe pole kwa wingi
 
Mmmh sasa huu ni ukatili kabisa

sio ukatili maana hakukuwa na namna nyingne ya kumpa funzo.
Tena ashukuru aliwahi kugundua maana nilikuwa nataka apigwe mimba
 
Kwanza inatakiwa atupe mrejesho jana alisema yupo njian anamfuata dom sasa msijekuwa mnajitafuna hapa kumbe mwenzen kalegezwa magot ameshasamehe.
 
Back
Top Bottom