Moyo unaniuma sana, nahisi nitapata ugonjwa wa moyo. Nimekata tamaa ya maisha, natamani Mungu anichukue

A

Anonymous

Guest
Nimeona nishiriki nanyi ninavyojisikia,

Napitia maumivu sana moyoni, hadi sasa nahisi kama naelekea kwenye dalili za ugonjwa wa moyo!

Ipo hivi, nimekata tamaa ya maisha yangu, namuomba Mungu anichukue tuu, labda nitapata nafuu.

Maisha yameniumiza mno.😞

ILANI: Sijataka kutumia ID yangu hapa JF, nahitaji ushauri nifanye nini katika hali kama hii.
 
Hatua nzuri kuamua kushirikisha jamii. Sasa twende hatua nyingine eleza shida hasa ni nini?
 
Nimeona nishiriki nanyi ninavyojisikia,

Napitia maumivu sana moyoni, hadi sasa nahisi kama naelekea kwenye dalili za ugonjwa wa moyo!

Ipo hivi, nimekata tamaa ya maisha yangu, namuomba Mungu anichukue tuu, labda nitapata nafuu.

Maisha yameniumiza mno.😞

ILANI: Sijataka kutumia ID yangu hapa JF, nahitaji ushauri nifanye nini katika hali kama hii.
Wewe bado hujakata tamaa,,,waliokata tamaa hawasubiri mpaka mungu awachukue
 
Nimeona nishiriki nanyi ninavyojisikia,

Napitia maumivu sana moyoni, hadi sasa nahisi kama naelekea kwenye dalili za ugonjwa wa moyo!

Ipo hivi, nimekata tamaa ya maisha yangu, namuomba Mungu anichukue tuu, labda nitapata nafuu.

Maisha yameniumiza mno.😞

ILANI: Sijataka kutumia ID yangu hapa JF, nahitaji ushauri nifanye nini katika hali kama hii.
Nimeona nishiriki nanyi ninavyojisikia,

Napitia maumivu sana moyoni, hadi sasa nahisi kama naelekea kwenye dalili za ugonjwa wa moyo!

Ipo hivi, nimekata tamaa ya maisha yangu, namuomba Mungu anichukue tuu, labda nitapata nafuu.

Maisha yameniumiza mno.😞

ILANI: Sijataka kutumia ID yangu hapa JF, nahitaji ushauri nifanye nini katika hali kama hii.
Mbn km umeshajishauri mwenyew ss? M nlijua utasema chanzo cha tatzo watu wakushauri
 
Umefanya vema kushirikisha watu kidogo utapata unafuu
Kila mtu kwenye Sahar hii wanapitia mazito.na pengine zaid unayopitia ila Kila mtu anaanma yakutatua matatizo yake
Kujiua sio suluhisho uwenda ndo ukawa umeongeza ukubwa wa tatizo
Kama ni mtu wa Iman zungumza na mungu wako wewe sio wa kwanza Wala wa mwisho hebu simama kemea hayo mawazo ongea na watu wako wa karibu.
 
Umefanya vema kushirikisha watu kidogo utapata unafuu
Kila mtu kwenye Sahar hii wanapitia mazito.na pengine zaid unayopitia ila Kila mtu anaanma yakutatua matatizi yake
Kujiua sio suluhisho uwenda ndo ukawa umeongeza ukubwa wa tatizo
Kama ni mtu wa Iman zungumza na mungu wako wewe sio wa kwanza Wala wa mwisho hebu simama kemea hayo mawazo ongea na watu wako wa karibu
Japo siamini kama jamaa anayo nia ya kujiua kweli ila ushauri wako ni mzuri sana
 
Trust me Kuna watu wako very weak kihisia na mambo madogomadogo mpaka mtu kusema anataka kujiua sio swala la mzaha tumetofautiana uhimili wa mambo hata akitueleza wengine wataona jambo la kawaida na wengine wataona ni zito
Akieleza itakuwa rahisi kumshauri au kumfariji vinginevyo ni ngumu kusaidia chochote.
 
Back
Top Bottom