VERIFY
JF-Expert Member
- Dec 31, 2024
- 695
- 1,582
Wakuu bro to bro, maisha yanatupiga tofauti tofauti ila muhimu tujengane na kushauriana kama wanaume.
Kila mmoja ana experience yake kuhusu maisha, pesa, mahusiano, hustle na future. Mtu akiona ana wazo, ushauri au somo lolote la kusaidia wengine aweke hapa tujifunze pamoja. Hakuna anayejua kila kitu, tunaishi kwa kujengana 🔥