Moyo sukuma damu.. RIP Bro

Moyo sukuma damu.. RIP Bro

Status
Not open for further replies.
Inawezekana huyu ndo Miss natafuta alikuwa anamsubir daah.. Damn you love.. U have fuckd this dude
 
Rest in power.
R. I. P


best revenge is to success.
Na sio kujiuwa
mwanaume wa kweli hutatua tatizo gumu & raisi lilioko mbele yake.
ila kufikia hatua ya kujiua ni udhalilishaji na kutojiongeza kama mwanaume.
 
Huyu kijana HOPELESS kabisa, anyway R.I.P
 
f1fb9c2f0cc1c00e68483c7d2355564b.jpg
f3b7e3cf037e06a5ca585cd9bacabd99.jpg
23dc26dde0b422a1f74ab346c085c749.jpg
Mkuu hii
1. barua siyo kweli,
2. huyo demu anaitwa Marium
3. Hii barua siyo aliyoacha marehemu
Fatilita vizuri
 
Mkuu hii
1. barua siyo kweli,
2. huyo demu anaitwa Marium
3. Hii barua siyo aliyoacha marehemu
Fatilita vizuri
Kikubwa ni fundisho kuhusu barua sio ya kweli sio dili hivi unaenda kujitoa uhai sababu ya demu hujui kama familia yako inakutengemea pamoja na taifa lako
 
Teh teh teh kafa kwel na kama kafa basi ajue huko alipo hakuna mungu anaepokea wajinga kama yeye
 
Unajuwa bana mapenzi ni ujinga sana. Mimu nadhani aalikosa washauri nina imani hakuwahi kupenda kama mimi kufika mahali mwanamke unamtawaza akishusha vitu vyake,kumfulia nguo zake za ndani 6 yrs siku akabadilika nakusema wewe sio dream yake. Mimi nilisimama namshukuru Mungu nilijifunza jambo moja hata ukipoteza vyote bado ipo njia kufikia malengo yangu. Jambo moja kubwa sana nina amini ambalo wengi hawaamini niule usemi unasema kulipiza kisasi kwa wabaya wako sio kujiuwa au kukata tamaa ila kusimama kwa miguu yako nakufanya kazi kwa bidii ukiwaonyesha unaweza. Kukata tamaa nikuwapaushindi wabaya wako. Polen sana
We nawe poyoyo nambari wane unamtawaza demu baada ya kukata kimba duuuuuuh......Ila najua huyo mwanamke atakua anakufikilia hadi atakapokufa boya wewe
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom