Yeah.. I agree with you.. Muraa kupigiwa tena same office afu mtu akatangaza na ndoa.. It's painful.. Bora angehamishwa tu office..Kweli mapenzi huumiza lakini kufikia hatua ya kufa kwa ajili ya mwanamke ni UBOYA wa daraja la kwanza. Labda kama kuna kurogana, ila handsome kabisa huyu alikosa nini duniani hapa ambapo hata ukiamua kuwa nao saba ni juu yako. Kwanza mwanamke mwenyewe alikuwa HAMPENDI na akathibitisha hilo kwa kwenda kwa jamaa mwingine. Kilichomuua huyu mura ni fedheha labda.
Aliwekeza mjini alepoKweli mapenzi huumiza lakini kufikia hatua ya kufa kwa ajili ya mwanamke ni UBOYA wa daraja la kwanza. Labda kama kuna kurogana, ila handsome kabisa huyu alikosa nini duniani hapa ambapo hata ukiamua kuwa nao saba ni juu yako. Kwanza mwanamke mwenyewe alikuwa HAMPENDI na akathibitisha hilo kwa kwenda kwa jamaa mwingine. Kilichomuua huyu mura ni fedheha labda. Ila si kosa lake, alikosa mwalimu mzuri wa maisha na mahusiano akayavagaa mambo kwa pupa ni bwana mdogo tu wa 1990.
Nakumbuka aliyekuwa Dem Wangu alivyonifanyia mazalau..Mda huo Sina hela kabisa dili zilikwama.. Madeni, sipendi kukumbuka.Akaamua kutoka na wenye hela..Akajishirikisha pia na schoolmates wangu na nilichekwa sana.. Miaka miwili Sasa Bado nakaza..Yaan kila challenge Ina mafunzo yakeUnajuwa bana mapenzi ni ujinga sana. Mimu nadhani aalikosa washauri nina imani hakuwahi kupenda kama mimi kufika mahali mwanamke unamtawaza akishusha vitu vyake,kumfulia nguo zake za ndani 6 yrs siku akabadilika nakusema wewe sio dream yake. Mimi nilisimama namshukuru Mungu nilijifunza jambo moja hata ukipoteza vyote bado ipo njia kufikia malengo yangu. Jambo moja kubwa sana nina amini ambalo wengi hawaamini niule usemi unasema kulipiza kisasi kwa wabaya wako sio kujiuwa au kukata tamaa ila kusimama kwa miguu yako nakufanya kazi kwa bidii ukiwaonyesha unaweza. Kukata tamaa nikuwapaushindi wabaya wako. Polen sana
Kwani ana umri gani? Kwa maana age pia ina husika kwenye kufanya maamuzi ya kipumbavu....Yeah.. I agree with you.. Muraa kupigiwa tena same office afu mtu akatangaza na ndoa.. It's painful.. Bora angehamishwa tu office..
Afu Ukute Una washkaji wa mautani all the time ndo hupumui kabsa