ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,927
- 40,035
1.Broo.. Kamwe usimtongoze mteja
2. Bro..Mwezi December sio muda wa kupata demu mpya, utayavaa majukumu
3.Bro.. usipige goti, wala kulia Kwa akili ya uchi
4. Bro.. ukichukua namba ya pisi, epuka kutongoza siku hiyo hiyo
5. Bro.. epuka kumweka ndugu kwenye biashara zako
6. Bro SMS ya " naomba tuachane" au "nikwambie kitu" Huwa haijibiwi
7. Bro ikitokea mambo yameenda vibaya labor, okoa mke kwanza
8. Bro.. Kamwe usimheshimu mwanamke mnapokuwa kitandani
9. Bro.. ujumla demu mara kwanza, usimsifie sana, ili awe anaomba mechi mwenyewe
10. Bro.. epuka punyeto, epuka kufanya mapenzi na mwanamke akiwa period ni nksi kubwa
11. Bro ... Oa Binti anayempenda baba yake,
Endelea ......