Moyo Mashine....

Maanake kila siku nasikia Diamond....Dangote sijui nini na nini kumbe kuna vijana wengine wanajua kuimba namna hii!!!

Kuna magoli yanafungwa na wachezaji wasio maarufu, ukiliona unasema hili goli angefunga Ronaldo/Messi!
 
Nilistuka niliposoma eti Barnaba anabebwa, seriously!!!
 
Hahaha yani Barnaba me naona hata hatendewi haki kwa yale mambo yake amazing anayofanya. Ka mtu kana mwili mdogo ila mambo yake sasa khaa
 
Hahahaaaaa!! Thats my dota.
 
Track ingine nikiisikia lazima niongeze sauti ya redio ni Sweet Mangi....Kuna mistari mizuri sana
'sitakununulia brazilian hair nitakupa mtaji wa kuwauzia brazilian hair...'
'sitaki nikufanye tu, nataka nikufanyr mwanamke mjasiriamali..'
Hii mistari inanikunaga acha kabisa.
 
Hahaha yani Barnaba me naona hata hatendewi haki kwa yale mambo yake amazing anayofanya. Ka mtu kana mwili mdogo ila mambo yake sasa khaa
Hajatendewa haki kabisa, yaani akina Ben na Barnaba ndio walitakiwa watuwakilishe kimataifa huko.
 
Inabidi pia kuwa na spirit ya ujasiriamali wa music kama Dai pia lol + management ya uhakika
 
Track ingine nikiisikia lazima niongeze sauti ya redio ni Sweet Mangi....Kuna mistari mizuri sana
'sitakununulia brazilian hair nitakupa mtaji wa kuwauzia brazilian hair...'
'sitaki nikufanye tu, nataka nikufanyr mwanamke mjasiriamali..'
Sitakupa Indian hair, ntakupa mtaji wa kuwauzia brazilian hair
Sitakupa brazilian hair, ntakupa mtaji wa kuwauzia peruvian hair
Hii mistari inanikunaga acha kabisa.
Mmh ulivyo mroho wa hela, usije tu ukahama from sweet ngosha to sweet mangi
 
Sitakupa Indian hair, ntakupa mtaji wa kuwauzia brazilian hair
Sitakupa brazilian hair, ntakupa mtaji wa kuwauzia peruvian hair

Mmh ulivyo mroho wa hela, usije tu ukahama from sweet ngosha to sweet mangi
Ngosha nilishasema sitaki tenaaaa, mpango ni sweet mangi tu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…