akili akili
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 1,767
- 1,155
Ukisoma subtitle English ni shiiidaaa!
Hapo sasa kwenye subtitle, unatamani ufumbe macho.
Ukisoma subtitle English ni shiiidaaa!
Halafu wanapenda kuchomeka chomeka maneno ya kiingereza.Ni kulialia, kufokeana, kuonyesha magari, tena kama wapo njiani utasubiri mpaka wafike.
Na kama ni mgonjwa wataonyesha mpk anavyotapika.
... siziwezi aisee !
Ivi ni lazma kwa movie za kibongo mlinzi awe ka chizi ivi?!
Wakiwa wanakula sasa.Utaonyeshwa tonge la kwanza hadi la mwisho.Sometimes anaoneshwa mwanaume anamtongoza mwanamke hadi anakubali........ Yani maneni yote bila tukio kubadilika
au anaoneshwa mtu anatoka nyumbani na gari hadi anafika ofisin barabara nzima
au mtu anapata ajali anaoneshwa njia nzima mpk anafika hospitali
daah ukiona hivyo ujue stori ni fupi na ubunifu hamna
1. filamu haiishi bila mwanaume kumtoa "lanchi" binti fulani,
2. asilimia kubwa ya filamu zote wahusika wana maisha ya kitajiri (majumba makubwa, uani yamejazana magari) wakati jamii kubwa haina maisha kama hayo
3. kiingereza cha kubabaisha wakati hakuna ulazima wa kukitumia
5. ray ndio anaharibu kabisaa hizi filamu. makelele yasiyo na tija
6. asilimia kubwa ya waigizaji wa kike ni warembo kana kwamba nchi hii wanawake wote ni warembo
Tukubali tukatae utandawazi pia unachangia sana tuone vyetu havifai. Na hii inatokana na ukweli kwamba tunajifananisha na wenzetu walio tutangulia hatua 1000 mbele yetu. Ulinganishaji huu haupo fair hata kidogo. Nakumbuka Enzi hizo kuna Maigizo ya mambo hayo jahazi ya kaole ya kina bishanga waridi sekioni kusema ukweli ilikuwa inavutia wengi sana kutokana na ukweli kwamba ni wachache sana miongoni mwa wana jamii walikiwa na Access ya kuangalia movie za nje. If am wrong katikati ya miaka ya 2000 hadi 2005 movie za ki Nigeria tulikuwa tuna zi appreciate sana kina Ramsey Noah Geneviev ila ni Wangapi leo wanazikubali hizi movie? Hata za kina bishanga leo hazina mvuto wakati enzi hizo zilikuwa ndo zenyewe. Nilikuwa nawaona wasanii hawafanyi vizuri lakini kusema ukweli tunapojilinganisha na wa nje ni sawa sawa na Timu ya taifa stars Vs Germany au Diamond Vs jay z huu ni uonevu wa hali ya juu. Imagine bongo movie 10 years ago ilikuwaje na imagine itakuwa vipi miaka 10 kutoka sasa.
Mzee wewe noma kwani bongo movie ni za house maid tuu?

Jambazi anavua viatu????
Hakuna uhalisia hata kidogo
cpotez muda kuziangalia
Jambazi anavua viatu????
Hakuna uhalisia hata kidogo
Msikonde wakuu!!!
Kuna filamu ya kibongo inakuja na ni ya ukweli kinoma.
Baadhi ya picha za filamu hii zimepigwa S.Africa.
Mimi binafsi nimo ndani ya FILAMU hiyo na pia mimi ndiye mtunzi wa story nzima.
Itatoka mwakani maana bado haijakamilika.
Ni filamu ambayo itakua na majonzi mengi sana!!