Movie za Bongo Siziwezi

Movie za Bongo Siziwezi

Ukisoma subtitle English ni shiiidaaa!

kuna moja jana nimekuta inatazamwa home sijui inaitwaje ile,,,,,,,,,,jamaa kasema NIPO NA WEWE BEGA KWA BEGA subtitle yake sasa I WILL BE WITH YOU SHOULDER TO SHOULDER,,,,,,,,!!!!
 
Jambazi anavua viatu????
Hakuna uhalisia hata kidogo
 
Attachments

  • 1412566822339.jpg
    1412566822339.jpg
    57 KB · Views: 506
Basi me naangalia sana yaani kama Azam tv wana channel inaitwa sinema zetu yenyewe ni saa 24 bongo movie tu🏃🏃
 
Kusema kweli sijawahi angalia move za Tz zaidi ya comedy ya Itv jumapili ndio huwa naweza iangalia na kucheka mizengwe.

Kama mimi vile yaani zangu ni NOLLYWOOD kwa sababu zinamafunzo ndani yake. Simjui mwigizaji yeyote wa Bongo movie kwa jina
 
Mie ndani ya bus zinapowekwa huwa ni usingizi tu labda kama naenda sehemu sijawahi fika.
 
Mie ndani ya bus zinapowekwa huwa ni usingizi tu labda kama naenda sehemu sijawahi fika.

Mkuu uko kama mimi, kwenye gari wakiweka hayo mapichapicha yao mi naweka earphone napata muziki laini huku nikiuchapa usingizi taratibu.
 
zinaendekeza mgegedo...baba/mama mkwe wakiwa sebuleni unawatafutia NYIMBO ZA UPAKO uhisipo bongo movie inaanza manake utaaibika bureeeeeeeeeeeeeee
 
kuna moja jana nimekuta inatazamwa home sijui inaitwaje ile,,,,,,,,,,jamaa kasema NIPO NA WEWE BEGA KWA BEGA subtitle yake sasa I WILL BE WITH YOU SHOULDER TO SHOULDER,,,,,,,,!!!!

Hahaha hii ya Wopa au Johari?
 
Kama mimi vile yaani zangu ni NOLLYWOOD kwa sababu zinamafunzo ndani yake. Simjui mwigizaji yeyote wa Bongo movie kwa jina

Hata hizo za Nollywood hazijatofautiana sana na za Wabongo wote mle mle, walau filamu za Wasouth Africa na Wazimbabwe ziko safi
 
Ni kulialia, kuonyesha magari, tena kama wapi njiani utasubiri mpaka wafike.
Na kama ni mgonjwa wataonyesha mpk anavyotapika.
... siziwezi

Mkuu series kama crisis,leverage ndo nnazoangaliaga,bongo muvi anakodishaga mdada wa kazi tu,ya mwisho kuangalia ni devil kingdom
 
Mkuu uko kama mimi, kwenye gari wakiweka hayo mapichapicha yao mi naweka earphone napata muziki laini huku nikiuchapa usingizi taratibu.

Sawa mkuu. Hata mie earphone huwa hazipo mbali. Sipendi kabisa hata kwangu sina hata cd 1.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom