Movie za Bongo Siziwezi

Movie za Bongo Siziwezi

akitembea kwenye sakafu kishindo kipungue.

Yes, mimi sijaona cha ajabu alichofanya huyo jambaz, au walitaka akimbie au avae viatu vya kijesh ndo aonekane jambaz? Jambaz anaweza kuvaa ata suti
 
Daaah ila hawa jamaa kwa kweli ni Kiboko kuna wana-bongo movie flani wachanga walikuja kwa braza wakaomba nyumba kwa ajili ya kufanyia movie cha kushangaza hadi wanaondoka walikuwa wamefuta vyakula vyote vinavyotafunika ndani ya Friji..
 
Ukiniambia nitaje wasanii 10 wa bongo movie kisha unipe gari nitakosa.yaani afadhali enzi za kaole.
 
Hizo bongo movie huwa naangalia kwa bahati mbaya labda nikiwa ndani ya basi nasafiri naweza tupia jicho kidogo, ila nikiwa kwangu sina huo muda movie zao zina kasoro kibao sauti, mwanga, mavazi, na story zao ni shedah!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom