Mzee wa ngano
Senior Member
- May 3, 2012
- 184
- 55
japo mimi siyo mpenzi sana na hizi series, hebu nyie wapenzi tafuteni ' The A team' muicheki inaweza kuwaburudisha. Ilikuwa ikirushwa na DTV zamani.
ebwanae kama una roho ngumu cheki
SAW 1,2,3,4,5,6
WRONG TURN
hiz muv ni noma inabd ucwe muoga
iyo kitu ni nouma mazee naskia ilizuiwa kuendelea wadosi walihofu watoto wao wanaweza igiza kudisapia
mm spartacus, Nikita, game of thrones. XIII.
Movies ni 300, Troy, somalia, tears of the sun
Hapo imemis kitu moja ya kuitwa ROME
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Jamani mi napenda Movie aina ya Blood Diamond,Tsotsi,Sarafina zenye uafrika na hstoria hivi..je nani anafahamu aina nyingine ya hivi?
Me ni mpenzi wa series za south korea na hii ndo top yangu ya nilizoziona.1.JUMONG 2.EMPEROR OF THE SEA 3.THE GREAT QUEEN SEONDEOK 4.THE LAND OF WIND 5.WARRIOR BAEK DONG SOO 6.IRIS 7.THE MOON EMBRACE THE SUN 8.SOLDIER GOD OF WAR 9.SWALLOW THE SUN 10.A MAN CALLED GOD.
ebwanae kama una roho ngumu cheki
SAW 1,2,3,4,5,6
WRONG TURN
hiz muv ni noma inabd ucwe muoga
Umeisahau SAW 3D
nimesikia kwa rafiki zangu kuwa imetoka na sasa ipo episode ya 5series angalia MERLIN season 1-4.Season 5 inakuja january 2013,hutachoka kuangalia kila episode