Movie mbaya uliyowahi kuitazama!!

Movie mbaya uliyowahi kuitazama!!

Hua nashangaa pia,wasanii ni talentless wana rely kwenye looks tu.Hawana ideas these guys hata kuandika script itayomfanya mtazamaji abaki na shauku hawawezi.
Wao wanaangalia mabinti waliojazia mwili sio talent ni ujinga tupu.
 
Ashanti 1979. Imechezewa Kenya na Sudan ya Kusini, nadhani. Kuna baadhi ya watu wanaongea lugha ya Kiswahili

 
Movie ni mbaya kwa sababu haujailewa au quality mbovu?

Mimi ambayo sikuielewa ni fast and furious:Hobbs and Shaws

The Rock,Jason Statham,Idris Elba

Sikuipenda coz ya jokes zisizochekesha.
 
Nilishindwa kuielewa nimeangalia nikalala nikaamka nikaangalia tena
images.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom