Kaka
JF-Expert Member
- Nov 22, 2006
- 745
- 373
Yeah! Ni kweli mkuu.Time rush..yaani ni ujinga mtupu kajamaa hakaeleweki kanapigania nini japo kanajua kupigana..
Kaka ...
Yeah! Ni kweli mkuu.Time rush..yaani ni ujinga mtupu kajamaa hakaeleweki kanapigania nini japo kanajua kupigana..
Bongo movie karibia zote.
Bongo movie sijui kwanini wanazidi kuzitangaza [emoji23][emoji23][emoji23]
Hata London has fallen!!? You can't be serious!!London has fallen
Point Break
Spectre ya James Bond
Masihara hayo,hizo movie kal kis**ngLondon has fallen
Point Break
The grand Budapest hotel
The daninsing girl
Jurassic world
Na ujumlisha movie zote zinazoelezea ushoga, huwa zinanikera sana.
James bond movie zake karibia zote nazipendaNi mbaya au pengine hukuielewa? Movie za Bond mara nyingi zimekuwa na challenge hiyo ya watu kutokuzielewa, huwa zinahitaji akili ya ziada kidogo kwa sababu mara zote zinahusisha mission za ki-intelijensia. Kama hukuipenda basi nashauri uangle zile za zamani alizocheza muasisi wao Sean Connery na aliyemfuatia, Roger Moore. Zote ni nzuri sana utazipenda.
Kwa mfano, kuna moja amecheza Sean Connery inaitwa DIAMOND ARE FOREVER ni nzuri sana pia. Kuna kipindi katika pilika pilika zake za u-spy, alilazimika kwenda Amsterdam Uholanzi, halafu alipofika huko, akaenda akapanda kwenye TOUR BOATS ambazo huwa zina-operate kwenye canals za pale Amsterdam. Zina tape iko pre-recorded ambayo ni special kwa ajili ya kutoa maelezo kwa watalii. Miaka kadhaa huko nyuma, mimi pia niliwahi kwenda Amsterdam halafu mwenyeji wangu siku moja akanipeleka nikaenda nikapanda hizo tour boats. Mpaka leo huwa ninapokuwa ninaiangalia hii movie ya JB, naona kama ni mimi nilimrekodi kipande hicho siku hiyo nilipokuwa Amsterdam halafu nikaja nikakipachika kwenye movie yake
Kipande ninachokiongelea ni hiki hapa:
Na hiyo sauti inayoongea siyo mtu, ni tape