Movie mbaya uliyowahi kuitazama!!

Movie mbaya uliyowahi kuitazama!!

Dah Kuna Movie moja picha linaanza jamaa amekaa karibu na dirisha anatizama nje nyumba nyingine ni ndege tu wanapita na jamaa haongei hadi mwisho yupo hapo hapo movie ya saa moja na nusu jina nimelisahau nilijuta kuitizama baada ya nusu saa nikaanza kuiforwad maybe kuna action yeyote ile zaidi nikaona majina and then The End. kila mtu alichukia home enzi hizo kanda mnakodisha
Movie Kama Hiyo Zipo Sana. Unakuta Mtu Yupo Sehemu Moja Tu Mwanzo Mwisho Na Unakuta Anaoneshwa Yeye Tu. Mfano Kuna Movie Inaitwa Buried; Humo Ndani Character Anayeonekana Ni Mmoja Tu Aliyezikwa Akiwa Hai. Anapambana Kujiokoa Mpaka Mwishoni Anakufa.
 
Movies zote mlizozijata mliotangulia mimi ndio nazipenda balaa,hakika tumetofautiana,spectre,london has fallen,sicario,passion of christ,the ruins,apocalypto,point break,ipman 3,hwats exactly do you guys want to see in the movies?au mnaongea kinyume?
kiuhalisia mimi sijawaelewa kama ni kweli mnazikosoa hizo movie,tengenezeni za kwenu basi tuzione na tujue mnataka nini katika movies,and hasa hasa ni maana halisi ya movie katika tafsiri zenu...
 
Movie Kama Hiyo Zipo Sana. Unakuta Mtu Yupo Sehemu Moja Tu Mwanzo Mwisho Na Unakuta Anaoneshwa Yeye Tu. Mfano Kuna Movie Inaitwa Buried; Humo Ndani Character Anayeonekana Ni Mmoja Tu Aliyezikwa Akiwa Hai. Anapambana Kujiokoa Mpaka Mwishoni Anakufa.
Duh mbona hiyo ni hatari
 
Nitaitafuta niitizame hiyo...😀
 
Uzi ungekuwa nu muvi gani hujailewa ningetaja VANILA SKY - TOM CRUISE YAANI zile dreams zilinichanganya sna sijui ipi ni kweli ipi ndoto yaaani taabu tuuu.

Nyungine ni Inception Leo DiCaprio nayo ilinishinda

Ya mwisho APOCALPTO scene ya mwisho tulibishana sana tafsiri yake kama kuna mwenye maelezo mazuri karibu
Inception kwa mara ya kwanza kuingalia sikuielewa kama wewe. Ila kwa kuwa nilihisi kuwa Leo hawezi kukaa kwenye movie kizembe nikaitizama tena na tena.Hii ni movie kali sana mzee mpaka huwa najionea wivu kuitazama na kuielewa.

Kwa jinsi nilivyoipenda mpaka sasa nimeangalia zaidi ya mara 7

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inception ni movie kali..labda hukuielewa tu...ila kama ushawahi kufatilia na kusoma projects za US kama MK-ULTRA utaielewa ile movie, sometimes huwa nawaza ya kwamba kuna baadhi ya movies huwa zinatengenezwa either kututabilia kitakachofuata au kutuandaa kisaikolojia na yajayo ili tuyachulie poa..INCEPTION ni moja wapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama usemavyo.
Hii movie ya Inception ni kali sana mkuu.
Utalaamu wote wa kutengeneza dreams nimeuona humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata London has fallen!!? You can't be serious!!

Hyo point break nime iweka tu Ili Kama Kaja mshiji ambaye simuelewi elewi nampa akatazame siku nyengine asije kuniomba movie
Maana ni mbaya kiwango cha Lami.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom