Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 10,775
- 7,276
Wakuu kuna movie unaeza kuitafuta pindi inapotoka baada ya kusifiwa sana na media au wadau lakini ukaja kuitazama na kukuta ni movie mbaya ( inayoboa na kutokueleweka ) au imekuzwa mno kuliko uhalisia wake.
Kuna movie inaitwa " Sicario " ni moja ya movie mbaya kuwahi kuishuhudia kwa siku za karibuni imekuzwa mno kuliko uhalisia wake na pia hata kisa chake hakieleweki.
Ni Movie gani umewahi kuitazama ukajuta kwanini umeinunua ama umeidownload kutokana na ubaya wake yaani tofauti ulivyoitarajia?