Movie iliyowahi kukutoa machozi....

wadau kwa kawaida mimi ni mgumu sana kulia lakini kuna baadhi ya films zinanifanya kutoa machozi kabisaaa bila kupenda

my sisters keeper(my sadiest movie ever)

john q
(a poorest man struggle to help his son, inauma)

note book
(touching love story)

the boy in the striped pajamas

hachiko: A dog's story
(must watch this, so sad)

my sassy girl
(korean film, a must see)

good dees
(sijui kwanini machozi yalinilenga kila mara kwa mapitio aliyopitia lindsey)

ps i love you
(hakikisha una kitambaa pembeni)

the perfect storm

armaggedon

a walk to remember
(a very touching movie)

alive(never cried but feel so sad)

titanic(mara ya kwanza kuoina niliwaga chozi mwishoni jack alipokufa, hate that ending)


je nimovies gani ukiangalia inakusikisha sana kama sio kukumwaga machozi so i can find and watch,
i love sad movies

sijaona movie ya kunitoa machozi zaidi ya alpha dog...hizo zote size ya dar to lagos by kanumba
 
Mimi nawashauri mutafute movie tatuna yat za kihindi. Moja inaitwa Mother India na ya pili Andha Kanoon, ya tatu inaitwa dosti muangalie halafu mutoe comments zenu
 
cry for help (yupo nkiru sylvanus),neria,hotel rwanda na escaping from sobibo.
pia ile ya not without my daughter ilivyoonesha wairan walivyo wanyanyasaji wa jinsia.
 
1. Saw 1-7
2. Wrong turn 1-3......
3. Anaconda ya ice cube na j-lo.
4. Piranha
5. Still know what you did in last summer
6. Hostel 1-3
7. The omen
8. Texas chainshaw masacle
9. Friday the 13th
10. Kilikou
 
Beauty and the beast, pale Gaston amesha kufa
and the the beast dies too and Belle cries for him
Pia Lion king, pale Mufasa anapo uwawa na Scar
Those parts are very sad to me ... :A S cry:

Zaidi ya hapo I never watch sad movies
there is enough sadness around me already
ya nini kununua sadness from movies tena?
 
Wadau kwa kawaida mimi ni mgumu sana kulia lakini kuna baadhi ya films zinanifanya kutoa machozi kabisaaa bila kupenda

My sisters keeper(my sadiest movie ever)John Q(a poorest man struggle to help his son, inauma)

Note book
(touching love story)

The Boy in the Striped Pajamas

Hachiko: A dog's story(must watch this, so sad)

My sassy girl
(korean film, a must see)

Good Dees
(sijui kwanini machozi yalinilenga kila mara kwa mapitio aliyopitia Lindsey)

Ps I Love You
(hakikisha una kitambaa pembeni)

The Perfect storm

Armaggedon

A Walk to Remember
(a very touching movie)

Alive(Never cried but feel so sad)

Titanic(mara ya kwanza kuoina niliwaga chozi mwishoni jack alipokufa, hate that ending)


je nimovies gani ukiangalia inakusikisha sana kama sio kukumwaga machozi so I can find and watch,
I love sad movies


Hasa ya huyo mbwa inasikitisha sana. pamoja na hizo nyekundu ipo nyingine
1. I will spit on your grave
 
hi gay's i like Bollywood movie hero Released Jan 1, 1983

movieposter.jpg



 
Last edited by a moderator:
kitu BURIED ni balaa sijawai kutokwa na chozi kwa ajili ya movie lakini hii ilinitoa...mwisho wa hii movie ndo inasikitisha zaidi...very bad ending..tafuteni hii movie wakuu
 
kuna black hawk down na we were soldiers chozi litakutoka bro but war movie
 
Kwenye list yako nimeziona baadhi ila "Hachiko"
si mchezo na ni true story, not fictional.
Mi ninayo na sitaki kuirudia.
Kuna moja niliiangalia zamani wakati niko mdogo nayo ilinitoa chozi.
Inaitwa Boys in the hood.
 
Back
Top Bottom