AsanteniKwaKuja
Member
- May 31, 2016
- 6
- 1
Batman Vs Superman
Asante .... endelea kusubiri.we jamaa bana acha uongo uongo movie haijatoka hiyo.....fala weeee
Wapo vzr sn hao jamaa wa torrent,Mda mwingi nimekua nikiangaika Na kupakua torrent kwenye PC ilikua full kuwaza Mb kumbe technology ilisharahishwa 500mb napakua mov zaid ya moja ubora fresh kwa phone yangu
Tumia uttorent.Naomba kufahamu kama kuna web nzuri kudownload movie zenye quality nzuri but ziwe na mb ndogo..!
Kick ass torrent ndo wapo vizuri ( kat.ph), ila kudownload files kwenye website yao ni sharti uwe na application ambayo ni uttorent.Naomba kufahamu kama kuna web nzuri kudownload movie zenye quality nzuri but ziwe na mb ndogo..!
Mkuu kuna Croaching Tigers Sword of Destiny iko safi sana Donnie Yen na Michelle Yeoh wamefanya vizuri
Update: How to Convert Torrent to Direct HTTP LinkKick ass torrent ndo wapo vizuri ( kat.ph), ila kudownload files kwenye website yao ni sharti uwe na application ambayo ni uttorent.
Imetulia jamaa .... shukrani.Update: How to Convert Torrent to Direct HTTP Link
Mimi huwa na download movie torrent kwa IDM au EagleGET au Browser Tu
Pia rejea hii thraed
> Direct links mega thread x2x0x1x5x
Kivip bro tumegeane maujuziMda mwingi nimekua nikiangaika Na kupakua torrent kwenye PC ilikua full kuwaza Mb kumbe technology ilisharahishwa 500mb napakua mov zaid ya moja ubora fresh kwa phone yangu
Olympus has fallen ya Gerald Burtler,London has fallen ya huyohuyo pia burtler na white house down ya Jamie Fox,zinafanana plots settings,hapa wamechemsha kama bongo moviesIpo poa sana Mkuu. Kama uliiona ile ya kwanza yake Olympius Has Fallen hii utaifaidi zaidi kwa kuwa utakuwa tayari unaelewa mambo mengi sana.
Fiction ya hovyo hii mkuuBatman vs Superman...
Nami nakuunga mkono mkuu, idea iliyotumika kutengeneza white house down na Olympus has fallen imerudiwa tena hapaWorst movie so far
Hahaaaaa mkuu ,naona umeamua kumkosoa,zilezile "Dar part 2 Lagos " badala ya Dar to LagosLondon has fallen
Mda mwingi nimekua nikiangaika Na kupakua torrent kwenye PC ilikua full kuwaza Mb kumbe technology ilisharahishwa 500mb napakua mov zaid ya moja ubora fresh kwa phone yangu
Kwa wapenzi wa animation ,Zootopia ni nzuri mno,jinsi yule sungura na bweha walivyoshirikiana kusolve mystery ukijumlisha na song la shakira kule mwishoni,inaamsha hamasa fulani hv.Tunaelekea March wandugu, wale wenzangu wafuatiliaji wa Movie, kwa mwaka huu 2016 ni Movie gani umeielewa zaidi so far?
Kuna x-men :apocalypse ,limuvi la hovyo nalo, fictions za kikuda kibao.Tunaelekea March wandugu, wale wenzangu wafuatiliaji wa Movie, kwa mwaka huu 2016 ni Movie gani umeielewa zaidi so far?