London has fallenlondon the fallen
London has fallen
Movie mbovu kabisa...Niliona trailer yake kaali kuja kucheck hio movie, daah ni jipu tupu
Aisee.. Kuna movie ya 1994 inaitwa wonder seven (phantom seven). Yaani naitafuta hii movie, ni ya mochelle yeoh, inahusu wapiganaji flani hivi ambao kila mmoja ana pikipiki (motorcycle rider).
Mwenzao mmoja atakufa, watamzika na pikipiki yake... Yaani watamweka juu ya piki piki na kuifunga mabomu, zen wanaisukuma kuelekea kwenye korongo... Kisha wanalipua yale mabomu..
Inshort, mwenye nayo anaisaidie au nawezaje ipata!??
ni noma aisee13 hours on secret solders of Benghaz....noma sana
ebana imeshatoka?Yule msomali aliesumbua sana kwenye CAPTAIN PHILIP ameonekana tena kwenye movie nyingine inaitwa EYE IN THE SKY hiyo kitu ni hataree sana aisee!! ...Opération Eye in the Sky (2015) - IMDb
Tayari kamanda.ebana imeshatoka?
inapatkana wapi? utorrent au extra?au kickassTayari kamanda.
Yap torrent wanayo .. just search EYE IN THE SKY MOVIE TORRENT then fuata hzo links.inapatkana wapi? utorrent au extra?au kickass
we jamaa bana acha uongo uongo movie haijatoka hiyo.....fala weeeeYap torrent wanayo .. just search EYE IN THE SKY MOVIE TORRENT then fuata hzo links.