Movie gani imekubamba zaidi 2016?

Movie gani imekubamba zaidi 2016?

This March kutoka Olympus has fallen .linakuja kitu cha London has fallen.balaa
Aisee nimeicheki hii movie, duh imeniangusha sana, maana niliisubiri kwa ham kubwa kwa sababu pia niliipenda sana ile olympia has fallen, lakini kitu nilichokiona sijaamini macho yangu

nashindwa hata kuelewa Morgan Freeman alikubalije kuigiza hii movie
 
Angalieni Kitu kinaitwa POINT BREAK hatar sana...jamaa hao wanaiba ela wanagawa kwa watu..yan wanamatukio hatar mpka FBI wanapata kasheshe kuwakamata..movie nzur sana..ishatoka clean copy tangu jana ipo torrent


Pia hunger game mocking jay part 2 imetoka

Leo usiku nashusha ip man3 nimeona tayar ipo bluray
Mkuu upo dar? Nahitaji movie ya deadpool na nyingine Kali nami pia Nina movies Kali ninaweza kupa pia
 
Mkuu upo dar? Nahitaji movie ya deadpool na nyingine Kali nami pia Nina movies Kali ninaweza kupa pia
ya nipo dar mkuu..ila kwann usiweke halotel tu ukashusha movies zako chap
 
movies za mwaka 2016 bado hizi zote za mwaka2015 the best bado
 
Only the Dead

Directors:
Bill Guttentag, Michael Ware
Writers:
Michael Ware, Bill Guttentag | 1 more credit »
Stars:
Abu Musab Al-Zarqawi, Michael Ware

Only the Dead (2015) - IMDb

michael-ware-hbo-docs-iraq.jpg

Arriving in northern Iraq after reporting extensively from Afghanistan, Ware hurried to Baghdad after it was conquered by the American military. Aided by a wonderful group of Iraqi colleagues who are remembered—and in one heartbreaking case, mourned—with great affection in the film, he got to work. As American missteps fueled anger and distrust, Ware made contacts within the various groups that became the insurgency (though “insurgencies” would be be more accurate). That included some Iraqis who had been fired, disastrously, from their posts in the Iraqi military and others who later linked up with Al Qaeda in Iraq (AQI), the ruthless jihadist group run by a little-known Jordanian named Abu Musab al-Zaraqawi. Only the Dead Documents an Iraq War Correspondent's Journey to the Abyss—and Back
 
Kuna movie nmechek jana the 5th wave nzur pia
 
kuna movie kama fast and furious hii ya mwisho ni movie inayofaa kuangalia watoto. imekuwa so computerized na uongo wa wazi wazi mpaka inakera. kiukweli hata mimi si mpenzi wa movie zinazokuwa computerized sana mpaka uhalisia unapotea. movie inapendeza kuwe kuna chembe ya ukweli kiasi flan.



Hio movie Sio full computerized mkuu, maana hizo ndo sizipendi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom